Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

Hii issue hata si ya kuwacheka wakenya,serikali yetu nayo ijitose kuwaombea watanzania na wenyewe wapate hiyo ajira,m 4 kwa mwezi kama wanapewa sehemu ya kulala na chakula free itawalipa kimtindo
 
- Waje fasta na huku!
Shida ni pale bila ya refa wa nguvu kijana wa kawaida hatoonekana.
- Haya ni mambo ya kawaida, mkindoa udini na vita, kuwaonyesha vijana duniani kulivyo.
 
Waliokimbia ni wajinga ila wewe ndio una akili au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…