Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

Hii issue hata si ya kuwacheka wakenya,serikali yetu nayo ijitose kuwaombea watanzania na wenyewe wapate hiyo ajira,m 4 kwa mwezi kama wanapewa sehemu ya kulala na chakula free itawalipa kimtindo
 
- Waje fasta na huku!
Shida ni pale bila ya refa wa nguvu kijana wa kawaida hatoonekana.
- Haya ni mambo ya kawaida, mkindoa udini na vita, kuwaonyesha vijana duniani kulivyo.
 
Hebu acha kashfa wakati watu wanahangaika kutafuta ajira.
Hayo ya kusema sijui manamba, unaweza kuyasema wewe mwenye Ajira au unayelamba asali.
Dhana kama zako ndio hufanya watu waendelee kuwa masikini
Hivi mtu akikupa kazi ya kuhudumia shamba huku anakupatia vifaa vyote stahiki kuna tatizo gani?
kwa hesabu rahisi; huo mshahara wa shs 4000,000 ni sawa na malipo ya shs 130,000 kwa siku ambao ni mshara wa mwezi wa hapa nyumbani.
Nafikiri tututmie akili zetu vizuri kwa mambo serious!
Waliokimbia ni wajinga ila wewe ndio una akili au siyo?
 
Back
Top Bottom