KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Live coverage ya Hukumu inayoendelea.Ni kweli kabisa Uchaguzi unarudiwa.
 
Kama hata huna TV fuatilia tweeter live utawaona na kuwasikia Majaji wakisoma hukumu
 
Hayo ndio maamuzi ya mahakama kuu ya Kenya.
Jee demokrasia hiyo yawezekana hapa kwetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…