KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Kwa hiyo Nchi kwa sasa itasimamiwa/kuongozwa na nani?
 
Jaji aliyetengua matokeo ajihadhari kuondolewa kichwa maana yake watu wapande hizo siyo wa wavivu wa kuondoa vichwa vya wale wanaoonekana kutofauti nao.
 
Hii ndio maana ya demokrasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mafisadi wa kisiasa wanazungumziaga gharama ili wabaki madarakani kiharamu
Sijaelewa yaani mimi ndie umeniita "fisadi wa kisiasa"? if yes, kwanini umeniita hivyo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…