KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Tukiwa na dhamira ya dhati yawezekana....

Tatizo ni Mfumo tulionao hauko tayari kwa Katiba Mpya ..achilia mbali Tume Huru ya Uchaguzi...

Hawako tayari kwa Marekebisho yoyote ambayo wanaona yataleta mabadiliko ya Kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ka kenya wana hiyo tume huru ila ilishindwa kufanya kazi kwa ufanisi kuepuka irregularities.
 
Rest in Peace Msando. Sasa na tume itabadilishwa ama ? Sasa team ya UHURU itakubali au itakata rufaa ? Let us keep folllowing. Im proud to live seeing this.
hiyo kesi haiwezi rudiwa ndio maana inaitwa SUPREME COURT its a court of last resort ukishindwa ni hivyo
 
Nilifikiri kama wewe kabla ya kuusoma huu uzi..

Maajabu ni kwamba mleta uzi amemaanisha kabisa..

Ukweli usiofichika ni kwamba baadhi ya wapiga debe wa CCM mitandaoni ni sifuri kwelikweli..
Hamna sacarsm hapo, ni pure stuff.
 
Huwezi kuwa na Tume huru ambayo wajumbe wote ni wateuliwa wa Mwenyekiti wa CCM halafu utegemee uhuru wa Tume hiyo.

MACCM yanajua fika kwamba kwa uchaguzi uliokuwa huru na wa haki utakaosimamiwa na Tume huru hayaoni ndani kwa jinsi yalivyochokwa ja Watanzania walio wengi kila kona nchini. Hii ndiyo sababu ya kupiga chenga hili swala la katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru.

 
Habari!
Watanzania tumekuwa tukililia kuwa na tume huru ya kusimamia shughuli yote ya uchaguzi kwa kusema kuwa NEC haina. Hivyo wengine kudiriki kusema iko controlled na walio ktk dola kuweka matokeo kutokana na matakwa ya walio ktk dola.

Wenzetu wa Kenya wana IEBC kama tume huru ya kusimamia shughuli za uchaguzi. Ila ni wazi baada ya mahakama ya juu kutengua ushindi wa Uhuru Kenyatta ambaye alitangazwa na IEBC kuwa ni mshindi ktk uchaguzi ambao ilisemekana ni Free and Fair.

Mahakama kuu imetambua kuwa kuna udukuzi ulifanyika ktk mchakato ambao ulimwezesha Uhuru "kushinda", hivyo wametengua ushindi huo.

Je baada ya kuwapongeza sana wakenya kwa kuwa na tume huru ya uchaguzi, je ni kweli kuwa na tume huru kutaleta matokeo huru?? Je tume huru italeta mgombea aliyechaguliwa na wananchi kihalali??
Ni wazi tume hii haiko "huru" maana imeingiliwa na ni wazi wajumbe wake wamehusika!!

Je kwa haya ya Kenya, je NEC huru ni moja ya solution ya uchaguzi huru na wa haki??
Hapa ishu ni tume huru na Mahakama huru...Bunge huru....serekali itajiju..kama ni huru au Huria..ndio tutapona vidonda vya TUMBO NA MOYO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jecha alijua kuwa matokeo yamedukuliwa hivyo alifanya jambo sahihi kwa wakati sahihi
 
Wakuu Salaam
Kama Afrika naona tunasonga mbele na kuheshimu maamuzi ya vyombo vyetu mzee wetu jecha alionyesha njia kua uchaguzi wenye dosari ufutwe na kenya wameiga sio kukalia kimya kitu chenye dosari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuwa na Tume huru ambayo wajumbe wote ni wateuliwa wa Mwenyekiti wa CCM halafu utegemee uhuru wa Tume hiyo.

MACCM yanajua fika kwamba kwa uchaguzi uliotukuka huru na wa haki utakaosimamiwa na Tume huru hayaoni ndani kwa jinsi yalivyochokwa ja Watanzania walio wengi kila kona nchini. Hii ndiyo sababu ya kupiga chenga hili swala la katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru.


Kwenye hili nakuunga mkono suala la rais kichagua wajumbe wa tume ya uchaguzi sio sahihi, ila suala la kuchokwa, chadema ndo iko hoi bon taaban, haikunaliki kabisa.
 
Back
Top Bottom