Tetesi: Kenya na Uganda zinapenyeza majasusi kupitia shule za binafsi Tanzania

Nachoweza kusema ni kuwa mwaka 2015 walikuwa wapiga debe wakubwa wa Lowassa.

Duh mkuu, umenikumbusha ile ambush pale Kijitonyama maana walidhani hawakuwa wamegundulika.

Tanzania ina vijana makini na wapo kazini masaa 24.

Tuendelee kuwaamini vijana wetu.
 
sasa hao majasusi sijui shuleni watakuwa wanafanya ujasusi gani majasusi hupenyezwa kwenye taasisi za ulinzi na si shuleni over

Mleta mada anamaanisha kwamba hawa jamaa wanatumia "cover" ya ualimu kufanya shughuli za kijasusi nchini.
 
Ivi kuna mambo negative yanatokea tz chini ya utawala makini wa Jiwe? Nafkiri umepotea, kila kitu ni +ve tu mkuu
 


Uko sahihi kuna shule naifaham iko halmadhauri ya tarime vijijin maeneo ya Sirari inafanya vzur kweli na INA watz 90%
 
Wewe ni mzalendo kweli kweli walahi
Na pia mleta Uzi huu ni kwamba tunatakiwa kuwajibika kwa umakini mkubwa kila mtumishi. Au RAIA wa Tz kwa nafasi yake na uzalendo.
 
Ao ni wananchi wa kawaida wanatafuta rizk, Wenzetu wametawanyika karibu Nchi nyingi kutafuta rizki ila sisi tumerizika na hapa nyumbani. Kinachotakiwa wawe na vibali vya kazi. Sisi uwalimu tunaukimbia, wao wanautumia kama fursa.
 
Umeamua kuja na fitna. Mwalimu anayetafuta kazi au tofauti ya mishahara?
 
Uko sahihi kuna shule naifaham iko halmadhauri ya tarime vijijin maeneo ya Sirari inafanya vzur kweli na INA watz 90%
Kwa hiyo na wewe unaunga mkono kwamba hiyo 10% iliyobaki ambayo ni ya wageni ni majasusi?
 
Kama umewagundua hao sio mashushushu/secret agents.
Waganga njaa tu,shushushu anakuwa na mafunzo ya hari ya juu ya deception,intelligencia aliyefunzwa vzr,anaweza kuishi mtaani,na usijue Kama ni mkenya au mganda.
Lakini huu ni utaratibu wa dunia yote,kila nchi huwa na agents wake wa siri wasio na kinga ya kidiplomasia katika nchi zingine,hawa wakikamatwa,huwa ni kifo tu adhabu yao,kwa hiyo kabla hawajapelekwa nchi husika,hupewa mafunzo ya hari ya juu.
 
Kwanini hukuripoti wakati huo huo wa 2015? Kinachoonekana hapa ni wivu tu hamna lingine. Msitake kuingiza masuala ya siasa kwa majirani zetu. Sisi tunaishi mipakani tunategemeana hata watoto wetu wengi wanasoma upande wa pili hawabaguliwi. Wewe ukiona mwenzako kanunua kipande cha kanga nawe nunua cha kitenge sio unakuja humu kulialia.
 
ahsante kwa kutoa taarifa za msingi, nadhani wenye mamlaka na wahusika watafanyia kazi hili suala.
 
Siwezi kuishuku hoja yako, huenda una sababu za msingi na unajua kuwatambua mashushushu. Wanaohusika(TISS) wachunguze zaidi. But kwa upande wa pili, waTanzania tusije tukawa xenophobic kama South Africa...yaani tusianze kuwachukia na kuwahofu wageni wote wanaokuja nchini.
 
Swala lako nitalifikisha ofisini kwetu leo na tutalishughulikia lkn tutahitaj zaid ushirikiano wako uli kuwabain mienendo yao na kuitathmin hatar yake kwa taifa letu kabla ya kuwachukulia hatua
 
Hofu yako ni kuachwa nyuma .
Je waTz walioenda kufundisha kiswahili pote ulimwenguni nao watiwe msukosuko ?!.

Tukubali shule zetu za serikali zima mapungufu kwa kiwango Kikubwa kulinganisha na shule za binafsi.
Mkuu odhiambo safari ndio ishawadia hiyo,kua mpole
 
Umewasahau wanyarwanda, wanaingia wengi sana wanajidai wauza vyombo vya ndani na wengine wanajidai madada poa, tena hawa wanalala sana na viongozi wetu..
 
Umewasahau wanyarwanda, wanaingia wengi sana wanajidai wauza vyombo vya ndani na wengine wanajidai madada poa, tena hawa wanalala sana na viongozi wetu..
Mkuu hawa madada poa wa Kinyarwanda wanapatikana wapi nikafanye upembuzi yakinifu. Haaaha haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…