Kenya Police Special Forces raid Alshabaab camp in Lamu

Kenya Police Special Forces raid Alshabaab camp in Lamu

Wadhani hii ni operation ya kwanza?

Huyo hapo alishikwa huko Lamu miezi kadhaa iliyopita,mkubwa wao. Kundi lake pia kilipata kipigo.

This time round kikosi cha AP kiko ready.
Picha za kutengeneza,mnakamata panya road mnadai Alshabab ili kujifariji
Kama magaidi wameweza kuvuka mpaka na kuingia msituni,basi Kuna tatizo sehemu,mkifumuliwa msianze kutafuta huruma
 
Screenshot_2021-01-02-14-38-30-295_com.facebook.katana.jpg
 
wazee wa nduki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si unakimbiaga ukizidiwa humu [emoji23][emoji23][emoji23]
hopefully wikii yote sitakuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20210102_153701.jpg
 
Picha za kutengeneza,mnakamata panya road mnadai Alshabab ili kujifariji
Kama magaidi wameweza kuvuka mpaka na kuingia msituni,basi Kuna tatizo sehemu,mkifumuliwa msianze kutafuta huruma
The fight against terror is an ideological war..
Ningependa ujiulize kwanini watanzania husafiri toka Tanzania kwenda Somalia kujiunga na Alshabaab....inamaana kuwa Tanzania Kuna recruitment cells na sleeper cells za magaidi.
 
These journalists walijaribu sana. Yaani kuenda kushoot camera wakati wa war sio mchezo.
 
Back
Top Bottom