Kenya sasa inanunua mahindi kutoka Tanzania mara sita zaidi ya kiwango ilichokuwa ikinunua hapo awali

Kenya sasa inanunua mahindi kutoka Tanzania mara sita zaidi ya kiwango ilichokuwa ikinunua hapo awali

Sasa wewe huoni wakulima wakishindwa kuuza maindi yao kwa muda muafaka na bei nzuri ni hasara hiyo?

Acha kutufanya wabongo tuonekane mambumbumbu..Hizi chochochoko alizozileta mwendazake zilififisha juhudi wa wakulima kujitengenezea kipato..na sio mahindi tu,na kwenye korosho,ufuta n.k.
Hasara ya pesa na hasara ya roho za watu kipi ni hasara zaidi?, Serikali ya Kenya ilipozuia mahindi toka Uganda na Tanzania na kuacha raia wake wakiendelea kufa kwa njaa ndio unadhani wanabusara zaidi yetu?, Punguza uzezeta.
 
Siku walizuia uliona nani akifa njaa Kenya wewe fala? tuliwaonyesha hatuwahitaji kama mnavyo dhania ni nyinyi mnatuhitaji zaidi, fukara wenyu waliumia sana, wewe ndio zezeta la mwaka, mwenzako ako sahihi, peleka shabiki zako za kijinga kule vijiweni unako komaa ukidanganya wapumbavu wenzako.,
 
Tony254 Hatutaki mfe njaa wakati chakula kipo kingi tu.
Hamuna uwezo wa kupea mtu msaada, ufukara wenyu unawafanya muishi maisha ya hand to mouth, hauna chochote cha ziada, yaani zero savings, lazima muuze mazao ili mnunue ata chupi na chumvi.., mko ovyo, wacha kupiga kifua na wewe binafsi unajua pia hauna uwezo., "...from the abundance of the heart the mouth speaks!..,"., reasoning yako inakuumbua tu.,
 
Kweli wewe ndio kiboko cha hawa watu..unawapanga kuwapanga venye inatakikakana..
Lazima nifumanie propaganda na porojo za hawa mifukara kote kote.., wamedanganywa na kudanganyika kama Tanganyika., blind patriotism na inferiority complex ndio maradhi ya wengine wao, kuna wenye wanajielewa even waki reason unaona sense., wengi ni ushabiki wa kitoto tu.,
 
Hivi ni nchi gani iliyozuia mahindi ya Tanzania na Uganda kuingia Kenya bila sababu za msingi?, ninyi wakenya ni watu wenye kupenda chokochoko na majirani zenu wote, "soon honeymoon" will be over mtaanza kukorofishana na mama Samia Suluhu.

Kuhusu hii biashara ya mahindi, mwenye kufaidika zaidi ni ninyi wakenya kwasababu wakenya wengi walikua wanakufa kwa njaa, hakuna mkulima yeyote wa Tanzania aliyekufa kwa sababu ya kutouza mahindi Kenya.
Mbona hii wivu yote,unajua kwamba Kenya ingeweza kununua Mahindi abroad,Ambayo Ni cheaper kuliko yenu!!!!,Lakini Mbona tuwache yenu ambayo iko karibu
 
Angalau Sasa idadi ya wakenya wanaokufa kwa njaa itapungua, sisi ndio tunaoshikilia uhai wa raia wa Kenya, bila chakula toka Tanzania maisha Kenya ni "almost impossible".
Who feeds you, controls you[emoji38][emoji38]
wacha mwanze Chokochoko Tena,tutapiga ban Mahindi na tununuwe Mexico na Brazil,huko wanauza Kama kutupa🤪
 
Mwendazake alitaka tuwauzie unga badala ya mahindi. Alikuwa na akili kubwa.

Vv

Kuna tofauti kati ya kutaka na kutimiza, huyo mwenda zake alikurupuka sana kwenye kila kitu, hakua anatulia na kutafakari, kawawachia miradi mikubwa ambayo kutekelezeka lazima mchunwe sana kwenye tozo za kila aina, mtakaa mlie sana nyie. Aliishia kuibua machokochoko kote, kwa hicho kipindi amekua kiongozi wenu nimejifunza mengi sana, kwamba mkiteleza mnaweza kumpokeza uongozi mtu ambaye atarudisha nchi nyuma sana, naomba sana Kenya tusije kuteleza kwenye uchaguzi ujao, jameni ndugu zangu Wakenya tuwe makini sana kwenye hili.
 
Nilishasema, asili ya uzanzibari ya huyu mama utafanya tuendane vizuri sana kibiashara na mahusiano, chokochoko zitapungua maana hamna chembe chembe za chuki, majungu wala wivu.
Kwa sasa rais wetu ahakikishe hamna mahindi yanaagizwa kutoka sijui wapi huko Brazil, tununue matani yote kutoka kwa hawa licha ya maugomvi yao.
As long as we are Tanzanians , we won't get along with kunyaz.

Take that grains or u gonna starve to death.
 
Angeweka lockdown huyo unamlaumu hayo mahindi mngeyatoa wapi leo?
Hujui mahindi yalikuwa yanunuliwa wapi na nchi ya Kenya muda wote huo wa chokochoko za mwendazake? Yalikuwa yanafika bandarini Mombasa kwa wingi kutoka Brazil, Mexico na S.A. Tena kwa bei nafuu bila gharama zozote za ziada. Ndio kiburi cha aliye na hela mfukoni.
 
As long as we are Tanzanians , we won't get along with kunyaz.

Take that grains or u gonna starve to death.
sio eti TZ pekee Ndio inauza Mahindi🙈Pia huko majuu wanauza Mahindi Kama kutupa,they feed them to Cows and Horses🤑🤣🤣🤣
 
As long as we are Tanzanians , we won't get along with kunyaz.

Take that grains or u gonna starve to death.

Sisi ni mabepari, hatuna huo ujinga wenu wa kuita kila mtu ndugu, tupo kimaslahi zaidi hatuna muda wa ku-get along....ukiwa na bidhaa zako tuuzie, ukijishebedua tunapita mbele, mahindi huwa tunaagiza hadi Mexico, nchi ambayo sidhani kwenye ukoo wako kunaye atakaa ajue iko wapi dunia hii.
Ukiwa na hela zinakupa jeuri....hivyo hela zetu ndio ngao yetu maana hatuombi mtu.
Huyo mama Suluhu ameonyesha uwezo wa kutumia akili, ametanguliza maslahi ya watu wake kwa kuwatafutia soko kubwa na bora la mahindi ukanda huu, ambalo lipo Kenya, sasa labda uwe umerogewa uzezeta kwamba hauwezi kujituma ukalime hayo mapori na kuzalisha mahindi.....
 
Kuna tofauti kati ya kutaka na kutimiza, huyo mwenda zake alikurupuka sana kwenye kila kitu, hakua anatulia na kutafakari, kawawachia miradi mikubwa ambayo kutekelezeka lazima mchunwe sana kwenye tozo za kila aina, mtakaa mlie sana nyie. Aliishia kuibua machokochoko kote, kwa hicho kipindi amekua kiongozi wenu nimejifunza mengi sana, kwamba mkiteleza mnaweza kumpokeza uongozi mtu ambaye atarudisha nchi nyuma sana, naomba sana Kenya tusije kuteleza kwenye uchaguzi ujao, jameni ndugu zangu Wakenya tuwe makini sana kwenye hili.
Rutto vs Raila, makabila matatu tu ndio yenye nafasi na haki ya kutawala nchi yenu, huko kuteleza unakosema wewe ni nini?, Ni Tanzania pekee ndio kwenye uchaguzi, huko kwenu ni ukabila tu
 
Angalau Sasa idadi ya wakenya wanaokufa kwa njaa itapungua, sisi ndio tunaoshikilia uhai wa raia wa Kenya, bila chakula toka Tanzania maisha Kenya ni "almost impossible".
Who feeds you, controls you[emoji38][emoji38]
The buyer is always your boss[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom