Kenya sasa inanunua mahindi kutoka Tanzania mara sita zaidi ya kiwango ilichokuwa ikinunua hapo awali

Kenya sasa inanunua mahindi kutoka Tanzania mara sita zaidi ya kiwango ilichokuwa ikinunua hapo awali

Hivi ni nchi gani iliyozuia mahindi ya Tanzania na Uganda kuingia Kenya bila sababu za msingi?, ninyi wakenya ni watu wenye kupenda chokochoko na majirani zenu wote, "soon honeymoon" will be over mtaanza kukorofishana na mama Samia Suluhu.

Kuhusu hii biashara ya mahindi, mwenye kufaidika zaidi ni ninyi wakenya kwasababu wakenya wengi walikua wanakufa kwa njaa, hakuna mkulima yeyote wa Tanzania aliyekufa kwa sababu ya kutouza mahindi Kenya.
March 2021
Hatutanunua mahindi kutoka Tanzania kwa sababu yana sumu kuvu hivyo tutaaagiza Mexico ili kulinda afya za wananchi wetu.

August 2021
Tutaaagiza mahindi ya Tanzania mara sita zaidi ya tulivyokuwa tunaagiza mwanzo.

Ila chakula bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani wanakukuruka lkn wapii wanakuja wenyewe, jamaa wanadhiki mnoo, tunawasumbua kweli kweli wakileta jeuri tunaminya kidogoo, haoo wanapiga magoti, who feeds you controls you [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa halijielewi hilo, mambo ya wakulima awachie wakulima

Ndio tatizo la wengi wao, yaani inawauma sana kusikia wakulima wanatoka kwenye umaskini, ujamaa hufanya watu waoneane wivu kwamba kila mtu abaki chini muogelee wote kwenye matope.
 
Angalau Sasa idadi ya wakenya wanaokufa kwa njaa itapungua, sisi ndio tunaoshikilia uhai wa raia wa Kenya, bila chakula toka Tanzania maisha Kenya ni "almost impossible".
Who feeds you, controls you[emoji38][emoji38]
Sio nyinyi pekee mnaopanda mahindi duniani.
 
March 2021
Hatutanunua mahindi kutoka Tanzania kwa sababu yana sumu kuvu hivyo tutaaagiza Mexico ili kulinda afya za wananchi wetu.

August 2021
Tutaaagiza mahindi ya Tanzania mara sita zaidi ya tulivyokuwa tunaagiza mwanzo.

Ila chakula bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Empty stomach can't fight [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hamuna uwezo wa kupea mtu msaada, ufukara wenyu unawafanya muishi maisha ya hand to mouth, hauna chochote cha ziada, yaani zero savings, lazima muuze mazao ili mnunue ata chupi na chumvi.., mko ovyo, wacha kupiga kifua na wewe binafsi unajua pia hauna uwezo., "...from the abundance of the heart the mouth speaks!..,"., reasoning yako inakuumbua tu.,

Kama umeshiba kama mimi hasira za nini!!?
Anyways, we all know that, the hungry man is the angry.

IMG_2414.jpg
 
Ndio tatizo la wengi wao, yaani inawauma sana kusikia wakulima wanatoka kwenye umaskini, ujamaa hufanya watu waoneane wivu kwamba kila mtu abaki chini muogelee wote kwenye matope.
Ndio hapo sasa, eti yeye anapinga km wakulima hapo wame boost-ka..
Tatizo hyo jama yupo kishabiki sana
 
Mwenye pesa hafi kwa njaa Wala hapewi food donations, only in failed states this can occur
Kwhyo mumetupa bure sio[emoji1787][emoji1787]
Si jamaa unatesekea sana na ujamaa system, yani hapo unaugua kuskia km kuna baadhi ya wakulima tayari umaskini bye bye..
Pole sana ndugu
 
Nimesema idadi ya wanaokufa kwa njaa itapungua huko kwenu, hatuwezi kumaliza kabisa tatizo la njaa Kenya, lakini angalau litapungua. Njaa, rushwa, ukabila na slums ni identity yenu, sio rahisi kuvitokomeza
Ile siku vyakula madukani kenya vitaisha au kukosa wateja kisa hela unitag[emoji1787][emoji1787]

Wakulima wameomoka bana, Mungu ni Mkubwa japokua kuna baadhi ya watu wanawaonea wivu wakulima manake sio kw mpunga ule
 
Kama umeshiba kama mimi hasira za nini!!?
Anyways, we all know that, the hungry man is the angry.

View attachment 1883928
Hyo hapo ana ngombe mia moja, zikimrudi ataacha kununua bunduki na kujipanga na stock wakati wa kiangazi kuliko kutegemea matunda ya mwituni..

Alafu waturukana ki networth 90% wamekupiga gepu la kimataifa, bado utabisha[emoji1787][emoji1787]
 
Mwenye pesa hafi kwa njaa Wala hapewi food donations, only in failed states this can occur
Tanzania imetoa nini kw hzo donations[emoji1787][emoji1787]
Bali sisi ndio huwasaidia nyinyi "matajiri" wa EA kwenda nyuma
 
Yani wanakukuruka lkn wapii wanakuja wenyewe, jamaa wanadhiki mnoo, tunawasumbua kweli kweli wakileta jeuri tunaminya kidogoo, haoo wanapiga magoti, who feeds you controls you [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenye dhiki hanunui hulima[emoji1787][emoji1787]

MK254 uliskia wapi mwenye dhiki akanunua vitu, si tulielewana mwenye dhiki hulima jamani
 
Hyo hapo ana ngombe mia moja, zikimrudi ataacha kununua bunduki na kujipanga na stock wakati wa kiangazi kuliko kutegemea matunda ya mwituni..

Alafu waturukana ki networth 90% wamekupiga gepu la kimataifa, bado utabisha[emoji1787][emoji1787]

Hawa si ni kama masai. The other time nilikuwa na trip Arusha. Aisee jamaa wana wealth, lkn hata sijui kama inawasaidia kuondokana na shida za dunia. Kwa ng'ombe wale, ni kula bata tu.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom