Kenya sasa inanunua mahindi kutoka Tanzania mara sita zaidi ya kiwango ilichokuwa ikinunua hapo awali

MY TAKE:
Zezetas word kununuwa can also be viewed as i.e donation, wadanganyika is a donor or should be a donor country.
 
Sasa Bibi atazidisha juhudi za kulima alikata tamaa
 
Njaa hua haivumiliki, tulijua tu it's a matter of time mtaachiia...
 
Hivi unajua pesa kiasi gani nchi yenu imepoteza kwa kununua mahindi toka Americas!!??
 
Wakenya msije kuomba siku waziri mkuu ashike hii nchi yule hana kurudi nyuma kwa vitimbi kama mlivyo kuwa mnamletea magufuli sasa hivi anajifanya mjinga hadi ili kanyanga likilopo Ikulu liondoke madarakani
 
Huo mpango utafsiriwe kwa vitendo.
Hatuwezi kubali kuuwa viwanda vyetu ili kuwafurahisha nyie. Haiwezekani. Aidha mtuuzie mahindi au tununue pahali pengine. Hatununui unga kutoka kwenu kamwe.
 
Hatuwezi kubali kuuwa viwanda vyetu ili kuwafurahisha nyie. Haiwezekani. Aidha mtuuzie mahindi au tununue pahali pengine. Hatununui unga kutoka kwenu kamwe.

Dawa ni simple tu. Kila mtu ashinde mechi za nyumbani kwake.
 
Hawa si ni kama masai. The other time nilikuwa na trip Arusha. Aisee jamaa wana wealth, lkn hata sijui kama inawasaidia kuondokana na shida za dunia. Kwa ng'ombe wale, ni kula bata tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alaa!!
 
Dawa ni simple tu. Kila mtu ashinde mechi za nyumbani kwake.
Sasa kama kila mtu akae kwake mbona mlituma rais wenu Suluhu aje huku kutupigia magoti? Mbona hujaona rais Uhuru akija huko kwenu? Nyinyi ndio mnatuhitaji zaidi.
 
Sasa kama kila mtu akae kwake mbona mlituma rais wenu Suluhu aje huku kutupigia magoti? Mbona hujaona rais Uhuru akija huko kwenu? Nyinyi ndio mnatuhitaji zaidi.

Kwa hiyo nyie mnajitosha kwa kila kitu. Hamhitaji kitu kutoka Tanzania.
 
Lilisaidia bei kutopanda.mnajua wakenya wana njaa sana watanunua kwa bei yoyote sasa sisi wa tz ndio tutakao umia wakulima na madalali wao hawatoumia.
Msione miili yao miembamba na wanakimbizana na fursa za riadha ulaya wana njaa hatari.
 
fala www Unaweza kimbia marathon ukiwa Njaa???Spoilt brat like you hizo ndizo mafikira zako,Najua hata Huwezi kimbia 1km Kama hujakufa🙈Kujazana na Vitambi Kazi kula Bata na Konyagi
 
Wewe au Mimi tunanufaika vipi na hii Biashara?

Wacha maneno ya me vs you tuweke pesa mfukoni .

Mtanzania Kodi fuso koboa mpunga gunia 200 pata mchele chukua na gunia Mia za mahindi peleka Kenya.

We mkenya Kodi Isuzu njoo nayo mpaka (Sirali, Namanga, Tarakea, Holili, Horohoro) chukua mahindi au mchele nenda kauze kenya.

Tuache blah blah
 
Asante. Nakubaliana nawe.
 
Watu kama ww ni mapungu kweli, unaanzaje kumwita Mh. JPM ( may his precious soul rest in eternal peace and power 🙏 amen) eti ana roho mbaya! Mtu aliyehimiza watz wafanye kazi kwa kujituma zaidi ili majirani zake wote waliojifungia kwenye lockdown watakapo funguliwa wakiwa na njaa tuwauzie vyakula!?
Kama asingehimiza hizo safari za SSH zingepeleka maneno tu!? Hayo mahindi meeeengi mnayosifia yanaingia kenya toka Tz yangepatikanaje😜!? Ww kweli unaudumavu wa akili na ubongo!? Mafanikio haya nayo ni matunda ya kazi nzuri iliyotukuka ya Mh. Dr. JPM, rais wetu mpendwa sana, na shujaa wetu watz na waafrika!
Maono yake bado yanalibeba taifa🙏!
Tutakukumbuka daima shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM 🙏😭!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…