Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

Atakuja na swali jingine huyu atakua mkimbizi yaan hamna anachokijua
 
Bado sana ,GDP ya Kenya ni $107B vs Tanzania $80b. Growth rates ni 5% vs 5.4% respectively,Sasa Kwa Ukuaji huo wa Uchumi ni lini tutawafikia?

Uchumi wa Kenya ni more robust na private led with very innovative labor force wakati uchumi wa Tanzania ni resource driven economy promoted more by government.

Private sector ya Tanzania ni very weak.On top of that Nguvu kazi ya Tanzania Bado sio bunifu na tuna middle income wachache sana,kinachotuokoa zaidi ni wawekezaji wa kigeni kwenye Rasilimali za Nchi.

Mwisho,Ili tuwafikie WaKenya inatakiwa walau tukuze uchumi Wetu Kwa 10% Kwa miaka 10 mfululizo.

Pongezi Kwa Serikali ya SSH Kwa kuifungua Nchi na kukuza uwekezaji
 
Ni habari nzuri ila hatutashinda kwa kushindana na Kenya
Tutashinda kwa kushindana na matatizo yetu changamoto bado ni kubwa sana kwa Sasa viwanda vinauliwa na Plastic products from china serikali lazima iangalie hili suala kwa umakini
Hakuna siku Changamoto zitaisha labda zitapungua.

Hamuwezi kushinda Kwa mipango ya kutumia Trilioni 11 kujenga Sgr ya kutoka Dom-Dar ,huku ni kupoteza pesa bila sababu za msingi.
 
Umeenda vizuri ila ulivomalizia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Zamani nilikua najua Ghana ni nchi iliyoendelea sana siku nilivyofika ndo nikashangaa bora ya Tz
Kabla ya kujua Kwa kuambiwa muwe mnaangakia takwimu za GDP ndio zinatoa picha halisi ya Nchi.

Hata hivyo Ghana imeendelea zaidi kimiundombinu kushinda Tanzania.
 
Hakuna siku Changamoto zitaisha labda zitapungua.

Hamuwezi kushinda Kwa mipango ya kutumia Trilioni 11 kujenga Sgr ya kutoka Dom-Dar ,huku ni kupoteza pesa bila sababu za msingi.
Zilitakiwa zitumike ngap
 
Wewe ni mbumbumbu na hater ,read in between ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://x.com/WizaraKilimo/status/1829250158242193414?t=upSkxPWgF8V9v30Jgy0pXQ&s=19
View: https://x.com/WizaraKilimo/status/1829259435900039375?t=4up5JmvgCK8gkMpjgJw2ZA&s=19
View: https://x.com/shambamedia/status/1826971950335381533?t=yGmo36jcidB36GIkCv0sFw&s=19
 
Nilijua tuu kwamba wewe mbumbumbu huna kitu unajua ,Sasa Kwa taarifa Yako tuu ni kwamba kiasi kikubwa Cha Michele wa Tanzania unaenda Uganda ndio exports kuu ya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mwisho ulitakiwa ujiulize kama hakuna tunachouza imekuaje tukawapoka Wakunya soko la Uganda?
 
Naomba unijibu, Tanzania ime export nini nje ya nchi?......
Tanzania ni exporter mzuri sana wa chakula processed na ghafi refer to the Azam and Mo, we feed almost of whole of east and central Africa. Nevertheless tuna export minerals, gas and other manufactured materials to the country like Malawi, Zambia, Congo hata Mozambique. Fatilia National Bureau of Statistics reports, Kuna vingi vyakujifunza.
 
Bora imeandikwa kwa kizungu naona wataelewa sasa...
 
Hivi kumbe Kenya ameshakuwa the giant of Africa na hamsemi, kweli maisha yanaenda kasi sana mimi siku zote najua Nigeria ndio giant of Africa, by the way hao jirani zetu walichotuzidi ni thamani ya pesa yao tu
 
Nakuambia hivi hamna sekita tunao zidi Kenya acha mambo ya miradi tu, nakupa mfano fanya simple comparison btn kenya airways na air Tanzania tu uone.
Tanzania ndio nchi inayoongoza kuwa na project nyingi endelevu, modern na kubwa in all of east African countries, refer to the SGR, Busisi, Bwawa la Mwl. Nyerere, modern bus terminals, masoko mapya, referral hospitals, airports expansions, viwanda, decorated roads, BRT, Marine service Expansions na etc
 
Ni habari nzuri ila hatutashinda kwa kushindana na Kenya
Tutashinda kwa kushindana na matatizo yetu changamoto bado ni kubwa sana kwa Sasa viwanda vinauliwa na Plastic products from china serikali lazima iangalie hili suala kwa umakini
Well said...ni mentality ya hovyo kufanya maendeleo kwa kujilinganisha na jirani yako badala ya kupambana ili u meet your own realistic economic targets.Huwezi kwa mfano kusema in 5 years to come nataka niwe na nyumba kama jirani but rather nataka niwe na biashara fulani , shamba na niwe na kiwanja eneo fulani.
 
Kujilinganisha ni lazima na muhimu Ili kuona kama unafanya progress au hapama.

Maisha ni mashindano bila hivyo huwezi pata sense ya kupambana utaridhika au fursa zako kuchukuliwa na jirani.
 
Smart kivipi? Maana tungeona mashirika ya Kimataifa hasa ya teknolojia yamiweka Makao Makuu hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ