Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

We do not export tourism but we earn forex through tourist gains. We earn export by selling Minerals (Gold, tanzanite, nickel, and other precious metals), Agricultural products (Tobacco, coffee, tea sisal, etc), horticulture (flowers ornaments, etc) fish and fish products, seafood and semi-processed agri products just to mention the few.
Atakuja na swali jingine huyu atakua mkimbizi yaan hamna anachokijua
 
The Giant of Africa Kenya has no any significant Export among the top ten. On other side the sleeping Giant is waking up to her long sleepy era and she is taking up her place as the East Africa biggest Economy.

Tanzania is exporting more than 3 Billion usd ahead of any nation in East Africa.

CC: Kenya
Kenyan KENY THOMAS Kenyan B0Y

CC:Tanzania

NB: Tz tujitaidi nchi kama Ghana au Co D’ivoire haitakiwi zitupite kabisa
Bado sana ,GDP ya Kenya ni $107B vs Tanzania $80b. Growth rates ni 5% vs 5.4% respectively,Sasa Kwa Ukuaji huo wa Uchumi ni lini tutawafikia?

Uchumi wa Kenya ni more robust na private led with very innovative labor force wakati uchumi wa Tanzania ni resource driven economy promoted more by government.

Private sector ya Tanzania ni very weak.On top of that Nguvu kazi ya Tanzania Bado sio bunifu na tuna middle income wachache sana,kinachotuokoa zaidi ni wawekezaji wa kigeni kwenye Rasilimali za Nchi.

Mwisho,Ili tuwafikie WaKenya inatakiwa walau tukuze uchumi Wetu Kwa 10% Kwa miaka 10 mfululizo.

Pongezi Kwa Serikali ya SSH Kwa kuifungua Nchi na kukuza uwekezaji
 
Ni habari nzuri ila hatutashinda kwa kushindana na Kenya
Tutashinda kwa kushindana na matatizo yetu changamoto bado ni kubwa sana kwa Sasa viwanda vinauliwa na Plastic products from china serikali lazima iangalie hili suala kwa umakini
Hakuna siku Changamoto zitaisha labda zitapungua.

Hamuwezi kushinda Kwa mipango ya kutumia Trilioni 11 kujenga Sgr ya kutoka Dom-Dar ,huku ni kupoteza pesa bila sababu za msingi.
 
Bado sana ,GDP ya Kenya ni $107B vs Tanzania $80b. Growth rates ni 5% vs 5.4% respectively,Sasa Kwa Ukuaji huo wa Uchumi ni lini tutawafikia?

Uchumi wa Kenya ni more robust na private led with very innovative labor force wakati uchumi wa Tanzania ni resource driven economy promoted more by government.

Private sector ya Tanzania ni very weak.On top of that Nguvu kazi ya Tanzania Bado sio bunifu na tuna middle income wachache sana,kinachotuokoa zaidi ni wawekezaji wa kigeni kwenye Rasilimali za Nchi.

Mwisho,Ili tuwafikie WaKenya inatakiwa walau tukuze uchumi Wetu Kwa 10% Kwa miaka 10 mfululizo.

Pongezi Kwa Serikali ya SSH Kwa kuifungua Nchi na kukuza uwekezaji
Umeenda vizuri ila ulivomalizia😂😂
 
Zamani nilikua najua Ghana ni nchi iliyoendelea sana siku nilivyofika ndo nikashangaa bora ya Tz
Kabla ya kujua Kwa kuambiwa muwe mnaangakia takwimu za GDP ndio zinatoa picha halisi ya Nchi.

Hata hivyo Ghana imeendelea zaidi kimiundombinu kushinda Tanzania.
 
Tunaongoza kwa maneno lakini practically hamna dalili kama Export ziko juu shilling ya Tz isinge kua inadhoufika kila ukicha mwaka 2021 $1 ilikua 21000 Tzs mwaka 2024 $1 iko 2800 Tsh hapo tunapanda au tuna shuka kwasbb balance of trade ndo major determint wa foreign exchange unabisha?
Wewe ni mbumbumbu na hater ,read in between 👇👇

View: https://x.com/WizaraKilimo/status/1829250158242193414?t=upSkxPWgF8V9v30Jgy0pXQ&s=19

View: https://x.com/WizaraKilimo/status/1829259435900039375?t=4up5JmvgCK8gkMpjgJw2ZA&s=19

View: https://x.com/shambamedia/status/1826971950335381533?t=yGmo36jcidB36GIkCv0sFw&s=19
 
Kule Uganda unauza chakula gani? wewe umelewa na uchawa hujui unacho ongelea uliza bei ya sukali Tz ulinganishe na bei ya sukali Kenya, uganda na zambia, pia uulize bei ya nafaka zingine ulinganishe na uganda uniambie uta export je chakula wakati bei iko chini kuliko Tz........
Nilijua tuu kwamba wewe mbumbumbu huna kitu unajua ,Sasa Kwa taarifa Yako tuu ni kwamba kiasi kikubwa Cha Michele wa Tanzania unaenda Uganda ndio exports kuu ya 🇹🇿

Mwisho ulitakiwa ujiulize kama hakuna tunachouza imekuaje tukawapoka Wakunya soko la Uganda?
 
Naomba unijibu, Tanzania ime export nini nje ya nchi?......
Tanzania ni exporter mzuri sana wa chakula processed na ghafi refer to the Azam and Mo, we feed almost of whole of east and central Africa. Nevertheless tuna export minerals, gas and other manufactured materials to the country like Malawi, Zambia, Congo hata Mozambique. Fatilia National Bureau of Statistics reports, Kuna vingi vyakujifunza.
 
The Giant of Africa Kenya has no any significant Export among the top ten. On other side the sleeping Giant is waking up to her long sleepy era and she is taking up her place as the East Africa biggest Economy.

Tanzania is exporting more than 3 Billion usd ahead of any nation in East Africa.

CC: Kenya
Kenyan KENY THOMAS Kenyan B0Y

CC:Tanzania

NB: Tz tujitaidi nchi kama Ghana au Co D’ivoire haitakiwi zitupite kabisa
Bora imeandikwa kwa kizungu naona wataelewa sasa...
 
Hivi kumbe Kenya ameshakuwa the giant of Africa na hamsemi, kweli maisha yanaenda kasi sana mimi siku zote najua Nigeria ndio giant of Africa, by the way hao jirani zetu walichotuzidi ni thamani ya pesa yao tu
 
Nakuambia hivi hamna sekita tunao zidi Kenya acha mambo ya miradi tu, nakupa mfano fanya simple comparison btn kenya airways na air Tanzania tu uone.
Tanzania ndio nchi inayoongoza kuwa na project nyingi endelevu, modern na kubwa in all of east African countries, refer to the SGR, Busisi, Bwawa la Mwl. Nyerere, modern bus terminals, masoko mapya, referral hospitals, airports expansions, viwanda, decorated roads, BRT, Marine service Expansions na etc
 
Ni habari nzuri ila hatutashinda kwa kushindana na Kenya
Tutashinda kwa kushindana na matatizo yetu changamoto bado ni kubwa sana kwa Sasa viwanda vinauliwa na Plastic products from china serikali lazima iangalie hili suala kwa umakini
Well said...ni mentality ya hovyo kufanya maendeleo kwa kujilinganisha na jirani yako badala ya kupambana ili u meet your own realistic economic targets.Huwezi kwa mfano kusema in 5 years to come nataka niwe na nyumba kama jirani but rather nataka niwe na biashara fulani , shamba na niwe na kiwanja eneo fulani.
 
Kujilinganisha ni lazima na muhimu Ili kuona kama unafanya progress au hapama.

Maisha ni mashindano bila hivyo huwezi pata sense ya kupambana utaridhika au fursa zako kuchukuliwa na jirani.
 
Niwe mkweli, kwa sasa watanzania ndio wapo very smart ukilinganisha na nchi nyingine za East Africa, ni vile serikali yetu tu bado haijishughulishi nasi. Laiti support ya serikali ingekuwepo TZ hasa kwenye teknolojia kama ilivo kwa Kenya na rwanda basi tungekua mbali zaidi
Smart kivipi? Maana tungeona mashirika ya Kimataifa hasa ya teknolojia yamiweka Makao Makuu hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom