Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Asilimia kubwa barabara ni za vumbi miji mingi imechoka sanaKabla ya kujua Kwa kuambiwa muwe mnaangakia takwimu za GDP ndio zinatoa picha halisi ya Nchi.
Hata hivyo Ghana imeendelea zaidi kimiundombinu kushinda Tanzania.