Umbea wa e'mwe kwa e'emweMùrohia nda mùgìcùnga ndangari ici.
- acheni umbea. Wanaume wa kidanganyika ni wambea sana lol[emoji23][emoji23] [emoji23]
hawa kenge alshabab wanawatungua daily. mbona alshabab walijaribu juja home(tz) tukawapa show moja tuu wakasanda. nakumbuka kitambo pia kenyata alitaka kujimegea mt kilimanjaro. Mkuu Nyerere akamwambia nitashusha vijana wangu tuchukue coast yote mpaka somalia pale. akasanda.Kijeshi??? nyoooo...mbona Alshababu wanawatwanga siku zote hapo nyie makunguru!
Utanunua views labda kama channel yako haipo monetized na google ads, najua hutanielewa [emoji23][emoji23][emoji23]Kujua kusoma sio kujua kuelewa...na km n views pia watu hununua siku hz...
Na vile vile...kutoa nymbo nyingi na kupata views nyingi kw mda mchache haikufanyi wewe kuwa mkali, bali ni jitihada na mhusika tu...nadhani umeshanielewa....
Sitokuelewa kw sababu wajua unabishaUtanunua views labda kama channel yako haipo monetized na google ads, najua hutanielewa [emoji23][emoji23][emoji23]
DavidoAiii ukimtoa Wizkid kuna msanii gani mwingine Africa anayemzidi Diamond kwa muziki?!
Jibu hakuna.Na daily anatoa nyimbo za kuvunja records za views wengi youtube kwa muda mchache
Hahaha[emoji1] [emoji3] [emoji2] View attachment 1141574
[emoji1] [emoji3] [emoji2] View attachment 1141574
Huwa mnashangaza sana nyie, mumeshikilia bango la Uganda miaka yote hii, soma historia upya nini kilitendeka Uganda a kikarahisisha ushindi wenu kule hiyo miaka ya sabini. Idd Amin mwenyewe Waganda hawakua wanamtaka, alikua amewachosha, hivyo hakuna Mganda alikua tayari kufa kwa ajili yake, uzalendo ulikua umewashuka wote.Hapo kwenye kijeshi umemaanisha au ni muhemuko tu? Ask Ugandans na nyie tunawafagia kama takataka. Our tactics is supreme sister.
Ule wa kitandani tunaingoza 2_0 kupitia Ben Pol na DiamondHakuna mchezo hata mmoja ambao T.Z wanaweza kutushinda. Sio kandanda sio rugby sio riadha sio volleyball sio Safari Rally sio hockey. Jameni mbona mmelala usingizi wa pono?
Wenye njaa walitwanga wenye utapiamlo
Acha dhihaka ukakosa mume bure then uishi kibera milele
We nawe.
Hata utapia mlo unaujua?!
Sidhani ht utapia mlo km unaujua.
Tulivimbiwa ndio maana mkashinda wenye njaa.
We keshaolewa na mkisii huyo, ohooo!
Aliachwa coz Ana kiuno kigumu na anafanana na mwai kibaki
Huwa mnashangaza sana nyie, mumeshikilia bango la Uganda miaka yote hii, soma historia upya nini kilitendeka Uganda a kikarahisisha ushindi wenu kule hiyo miaka ya sabini. Idd Amin mwenyewe Waganda hawakua wanamtaka, alikua amewachosha, hivyo hakuna Mganda alikua tayari kufa kwa ajili yake, uzalendo ulikua umewashuka wote.
Kumbuka mlikwenda kwa usaidizi wa waasi wa Uganda akina Museveni ambao walikua wengi sana, pia nyie mlihusika hadi polisi na mgambo, hakusazwa mtu, haikua vita vya jeshi kwa jeshi.
Hebu leo hii mthubutu kuivamia nchi ambayo wananchi wake ni wazalendo kwa nchi yao, kwa mfano mlete huo upupu Kenya ndio mtaelewa nini maana ya kutetema.
Davido
Mnatushinda na ilhali tunaingia hadi border kwenu na kufika huko Mombasa unnoticed?Sio uchumi, sio kijeshi, sio elimu, sio miundo mbinu.....yaani tunaweza jaza server za watu tukiandika vyote.
Umbea wa e'mwe kwa e'emwe
Wah!!dogo mbna we mbishi...haya kula hyo basi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
10 Most Popular African Music Singles - Africa.com
Some popular African music singles to add to your playlist for your next party, including Kenya's Sauti Sol, and Nigerian hitmaker Davido.www.africa.com
AiseehWambea nn wewee?!
Ndio maana umefanana na mwai kibaki