Kenya tunashinda T.Z katika michezo zote duniani

Kenya tunashinda T.Z katika michezo zote duniani

Kijeshi??? nyoooo...mbona Alshababu wanawatwanga siku zote hapo nyie makunguru!
hawa kenge alshabab wanawatungua daily. mbona alshabab walijaribu juja home(tz) tukawapa show moja tuu wakasanda. nakumbuka kitambo pia kenyata alitaka kujimegea mt kilimanjaro. Mkuu Nyerere akamwambia nitashusha vijana wangu tuchukue coast yote mpaka somalia pale. akasanda.
 
Kujua kusoma sio kujua kuelewa...na km n views pia watu hununua siku hz...

Na vile vile...kutoa nymbo nyingi na kupata views nyingi kw mda mchache haikufanyi wewe kuwa mkali, bali ni jitihada na mhusika tu...nadhani umeshanielewa....
Utanunua views labda kama channel yako haipo monetized na google ads, najua hutanielewa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbwa wa CCM wamerudi tena. Tulikuwa tumepumzika japo kidogo
 
Aiii ukimtoa Wizkid kuna msanii gani mwingine Africa anayemzidi Diamond kwa muziki?!
Jibu hakuna.Na daily anatoa nyimbo za kuvunja records za views wengi youtube kwa muda mchache
Davido
 
[emoji1] [emoji3] [emoji2]
Screenshot_2019-06-28-22-40-22.jpg
 
Hapo kwenye kijeshi umemaanisha au ni muhemuko tu? Ask Ugandans na nyie tunawafagia kama takataka. Our tactics is supreme sister.
Huwa mnashangaza sana nyie, mumeshikilia bango la Uganda miaka yote hii, soma historia upya nini kilitendeka Uganda a kikarahisisha ushindi wenu kule hiyo miaka ya sabini. Idd Amin mwenyewe Waganda hawakua wanamtaka, alikua amewachosha, hivyo hakuna Mganda alikua tayari kufa kwa ajili yake, uzalendo ulikua umewashuka wote.
Kumbuka mlikwenda kwa usaidizi wa waasi wa Uganda akina Museveni ambao walikua wengi sana, pia nyie mlihusika hadi polisi na mgambo, hakusazwa mtu, haikua vita vya jeshi kwa jeshi.
Hebu leo hii mthubutu kuivamia nchi ambayo wananchi wake ni wazalendo kwa nchi yao, kwa mfano mlete huo upupu Kenya ndio mtaelewa nini maana ya kutetema.
 
Hakuna mchezo hata mmoja ambao T.Z wanaweza kutushinda. Sio kandanda sio rugby sio riadha sio volleyball sio Safari Rally sio hockey. Jameni mbona mmelala usingizi wa pono?
Ule wa kitandani tunaingoza 2_0 kupitia Ben Pol na Diamond
 
We bwege kweli.
Museven hakuhusika embu acha uongo.
Idd Amin alipigwa Maubutu akarudi madarakani.
Sawa wananchi walikosa uzalendo ila hakuna muasi aliyehusika.
Ilikua waasi wa Idd Amin na jeshi la Tanzania.
Na ww mkenya huna lolote.Kama Alshabab mshindia kubeli na kandoro anakuvamia west gate na kukuchabanga usifikirie kupigan na JWTZ ambao ilimzima m23 wa Congo.
Tena nyie kwenu tunawaleta wale waliotoka depo juzi tu wawachabangeee.
Kama mna umoja na uzalendo Alshabab waliwafanya nn km sio kuwakeketa na ukiangalia hawana ht mafunzo.
Waasi tu wale basi.
Na huko Somalia wajeda wenu wanakeketwa daily.
Mnajisifu mna jeshi?!
Iangalie JWTZ ilipokuwa Comoros na Congo hadi sasa.
Huwa mnashangaza sana nyie, mumeshikilia bango la Uganda miaka yote hii, soma historia upya nini kilitendeka Uganda a kikarahisisha ushindi wenu kule hiyo miaka ya sabini. Idd Amin mwenyewe Waganda hawakua wanamtaka, alikua amewachosha, hivyo hakuna Mganda alikua tayari kufa kwa ajili yake, uzalendo ulikua umewashuka wote.
Kumbuka mlikwenda kwa usaidizi wa waasi wa Uganda akina Museveni ambao walikua wengi sana, pia nyie mlihusika hadi polisi na mgambo, hakusazwa mtu, haikua vita vya jeshi kwa jeshi.
Hebu leo hii mthubutu kuivamia nchi ambayo wananchi wake ni wazalendo kwa nchi yao, kwa mfano mlete huo upupu Kenya ndio mtaelewa nini maana ya kutetema.
 
Sio uchumi, sio kijeshi, sio elimu, sio miundo mbinu.....yaani tunaweza jaza server za watu tukiandika vyote.
Mnatushinda na ilhali tunaingia hadi border kwenu na kufika huko Mombasa unnoticed?
 
Unaona ulivyo chizi we mtu wa kibera?!
Unaleta records za 2015 sisi tunazungumzia miaka ya sasa?!
U are probably insane
Wah!!dogo mbna we mbishi...haya kula hyo basi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Back
Top Bottom