Kenya tunashinda T.Z katika michezo zote duniani

Mwongo wewe,
Huko kwenu hadi leo njaa ipo.
Mnaletewa hadi Food Aid.
Mnacheza rough then msingizie ni njaa?!
Kwanza vp umebadilisha mboga ama still wala sukuma week?
Nangoja uchinje albino uniletee hili nikule Leo usiku.
 
Msauzi pia atawatoa makovu
Aiii ukimtoa Wizkid kuna msanii gani mwingine Africa anayemzidi Diamond kwa muziki?!
Jibu hakuna.Na daily anatoa nyimbo za kuvunja records za views wengi youtube kwa muda mchache
 
Wacha weweee...kutoa nyimbo kila siku haimaanishi km wewe ni mkali africa...

Diamond anajituma...lkn africa sidhani km ni namba mbili
 
Halafu kiukwel diamond ako popular east and central africa kiasi...lkn bado hajaiteka afrika...lkn sijui miaka ijayo
 
Haa😁😂
Raha Sana, Lete Maneno Lete Mambo
By JM Kikwete, Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania (Mstaafu)
 
Halafu kiukwel diamond ako popular east and central africa kiasi...lkn bado hajaiteka afrika...lkn sijui miaka ijayo
Unaota wewe sio mzima.
The whole Africa unapomtoa Wizkid unamleta Diamond.
Kwasababu tuzo mama ya Africa ya muziki Diamond alishawahi ipokea na ndio iliyomtambulisha Africa na ulimwenguni kote.
Mpk kina Rick Ross wanakuja kutoa nae ngoma.
Diamond ni brand no.2 Africa utake usitake
 
Wacha weweee...kutoa nyimbo kila siku haimaanishi km wewe ni mkali africa...

Diamond anajituma...lkn africa sidhani km ni namba mbili
Hata kusoma hujui.
Sijazungumzia nyimbo nyingi,nimezungumzia kuweka records ya nyimbo zake nowadays kupata views wengi ktk muda mchache.
Waelewa kiswahili wewe?!
 
Hapo kwenye kijeshi umemaanisha au ni muhemuko tu? Ask Ugandans na nyie tunawafagia kama takataka. Our tactics is supreme sister.
Sio uchumi, sio kijeshi, sio elimu, sio miundo mbinu.....yaani tunaweza jaza server za watu tukiandika vyote.
 
Hakuna mchezo hata mmoja ambao T.Z wanaweza kutushinda. Sio kandanda sio rugby sio riadha sio volleyball sio Safari Rally sio hockey. Jameni mbona mmelala usingizi wa pono?
Rabda Mchezo wa ukandamizaji wa Demokrasia
 
Hata kusoma hujui.
Sijazungumzia nyimbo nyingi,nimezungumzia kuweka records ya nyimbo zake nowadays kupata views wengi ktk muda mchache.
Waelewa kiswahili wewe?!
Kujua kusoma sio kujua kuelewa...na km n views pia watu hununua siku hz...

Na vile vile...kutoa nymbo nyingi na kupata views nyingi kw mda mchache haikufanyi wewe kuwa mkali, bali ni jitihada na mhusika tu...nadhani umeshanielewa....
 
Unaota wewe sio mzima.
The whole Africa unapomtoa Wizkid unamleta Diamond.
Kwasababu tuzo mama ya Africa ya muziki Diamond alishawahi ipokea na ndio iliyomtambulisha Africa na ulimwenguni kote.
Mpk kina Rick Ross wanakuja kutoa nae ngoma.
Diamond ni brand no.2 Africa utake usitake
Wah!!dogo mbna we mbishi...haya kula hyo basi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Back
Top Bottom