Kenya wakimaliza kuvurumishana, wataikuta Tanzania imerusha satellite yake anga za juu

Kenya wakimaliza kuvurumishana, wataikuta Tanzania imerusha satellite yake anga za juu

Magufuli alikuwa anaelekea huko, lakini hata mama Samia hayuko mbali na direction hiyo. Nimefika Dar es Salaam mwezi August nikakuta mji mzima vumbi linatimka kwa ujenzi wa barabara za kisasa kabisa. Nikakuta siku hizi kutoka DSM-Dodoma ni masaa 3 tu. Kilimo kimewekewa mkakati unaoeleweka na kuelezeka, nishati ya kupikia imewekewa msukumo wa maana, usambazaji wa maji unarindima kila kona ya tz. Satellite ya kwanza tz haiko mbali. Rais mwanamke pekee Afrika hawezi kufanya upuuzi utakaowakatisha tamaa wanawake wenzake Afrika. Nimekaa paleee. Mabeberu kupitia akina Lissu walijaribu kutaka kuingiza mkono wao mchafu kwenye plan zake kupitia kutekwa kwa mzee Kibao (RIP), akawapa kalipio kali sana la kikakamavu haraka sana mbele ya camera.

Speed yetu inawaogopesha, Mama ana uwezo, fedha na jeuri ya kutoa ndege kwa timu ya taifa kupeleka wachezaji kucheza mechi zao kokote wanakokwenda. Unataka nini wewe?
Mtu mpumbavu kweli., anatamani fikra zake zikue ukweli ila utangoja sana.., Kenya iliwatangulia zamani sana.., Tanzania jiji ni moja tu Dar kisha ufukara umesambaa mitaani, yaani ni uswazi kila kona kisha unabweka humu, hizi hadithi za vijiweni kahadithie mamburula wenzako kule vijiweni mjitekenye mkicheka wenyewe.., eti unazungumzia na sattelite., liboya kweli! Tanzania naijua yoote na uwezo wake na udhaifu., kila kitu cha maana kiko Dar; flyovers Dar, BRT Dar!.., uchumi 80% Dar!!.., ujinga mzigo..,
2023 second sattellite
1728472431431.png

1728472278031.png
 
View attachment 3119824
View attachment 3119822
Kenya kila kitu ni cha mzungu kwaajili ya mzungu na vitagauchumi vya mzungu, hapo veepe wajemeni!!!!. Kuwa wakenya ni manamba dunia nzima cheap labours wa dunia, hapo napo nadanganya wajemeni? Jamaa yenu aliandika Not yet Uhuru, hapo napo ni uongo!!! Tz tuko comfortable no matter what, matunda, chakula, wanyama na reli ya kisasa kabisa vipo huku. Hivi na ile ligi yenu ya kandanda si inaonyeshwa duniani na mtz, au na hapo nakosea wajemeni? Tuko vizuri nadhani ulikuja zamani sana, sasa hivi kila kijiji kuna steamer. mat*ko we!!!

Inawezekana, jamaa si wanayo military base yao hapo?

Tanzania tunatengeneza satellite sisi wenyeweeeee, sio hiyo ya kulinda basee za jamaa

View: https://www.youtube.com/watch?v=Zt9yn6zUtjM
 
Walijiweka rock down sisi tunaingia shambani ila ajabu pesa Yao inazidi kuimarika dhidi ya dollar ya USA
Mpaka hapa tayari jambo lao hili limeshasababisha mipasuko mikubwa mingi ndani ya Kenya. Kuna mpasuko kati ya:
1. Gashagua na Ruto
2. Watu wa Gashagua na Ruto
3. Watu wa Ruto na watu wa Gashagua
4. kabila la gashagua na Ruto
5. Kabila la gashagua na kabila la Ruto
6. Gashagua na mleta hoja
7. Gashagua na Raila
8. Watu wa gashagua na Raila
9. kabila la Gashagua na kabila la raila.
10 Senators na wabunge

Mchafukoge!!!!
 
Mkuu hujui siasa za Kenya, unayoyaona yapo kitambo na yanaishia majukwaani, ila kwenye ofisi za umma ni KAZI KAZI sisi huku hatuwezi kutenganisha siasa na utumishi/KAZI wala biashara
 
Una uhakika na unaloongea?
Jibu na wewe swali hili. Kwanini wimbo wa Ruto must go umégeuzwa kuwa Gashagua must go? Nani amegeuza verses kwenye wimbo ule?
 
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.

Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?

Rais Ruto aliwaahidi wapiga kura wake kuwa hakutakuwa na serikali ya "nusu mkate" lakini sasa wana serikali ya "robo mkate" (Ruto, Gashagua, Raila, na nchi za magaribi).

Dunia nzima alishikwa na butwaa kumuona Ruto yuko USA anaunga mkono juhudi za Biden kule Ukraine. Aliwashirikisha wapiga kura wake? Alipewa nini?

Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.

Soma Pia: Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua
Itatuchukua miaka 500 kwa upuuzi huu tulionao
 
Itatuchukua miaka 500 kwa upuuzi huu tulionao
Kwani wewe unataka nini? Kwangu mm maendeleo ni haki ya kuishi, kusafiri, elimu, matibabu, kuvaa , usalama na makazi. Kama haya yapo kila la kheri mtawala. Unachotaka wewe ni kubadilisha wapigaji na namna ya upigaji lakini sio maendeleo. Kenya wamebadilisha wapigaji kila wakati lakini hali ya wananchi Iko vilevile palepale. As long as hali ya UN, IMF, WB na WTO Iko vilevile na malengo yaleyale hali itakuwa ngumu hata kama utamchagua nani kwenda ikulu.
 
Kwani wewe unataka nini? Kwangu mm maendeleo ni haki ya kuishi, kusafiri, elimu, matibabu, kuvaa , usalama na makazi. Kama haya yapo kila la kheri mtawala. Unachotaka wewe ni kubadilisha wapigaji na namna ya upigaji lakini sio maendeleo. Kenya wamebadilisha wapigaji kila wakati lakini hali ya wananchi Iko vilevile palepale.
Tuendelee kumsifu mtesi wetu,kwa kua hajatuua bado
 
Tuendelee kumsifu mtesi wetu,kwa kua hajatuua bado
Nionyeshe nchi ya Africa chini ya jangwa la Sahara yenye afadhali ya maisha kuliko Tanzania. Kule south Africa ni Not yet Uhuru kama Kenya TU. Unachokiona Kenya ni struggle za kutafuta Uhuru wao kamili alizozianzisha odinga odinga. Hawako huru wale bado. Wanatawaliwa na magharibi bado.
 
Sisi tunatawaliwa na china na mwarabu, tofauti iko wapi? Uhuru wa bendera tunao,aliuleta Nyerere!
 
Mbona Kenya walisharushaga Sattelite kitambo tu, na nadhani wanazo kama tatu hivi. Nenda google utazipata hizi taarifa.
 
Kama tuna reli ya umeme na barabara za mabasi ya haraka kama nchi za magharibi tutashindwa nn kuwa na satellite yetu? Kenya wanavyo?
Wewe jamaa kabla haujaleta Uzi hapa JF, cha kwanza fanya tafiti ujiridhishe kama Kenya walirusha Sattelite au la.

Acha nikujuze kwa uchache vingine utatafuta mwenyewe mtandaoni A.K.A google.

Kenya walirusha Sattelite ya kwanza mwaka 1970 waliyoipa jina la Uhuru.

Pia kenya walirusha Sattelite mwaka 2018 ambayo iliundwa kwa ushiriano wa Wanasayansi wa Kenya kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi na wanasayansi kutoka Japan. Hiyo Sattelite ilirushiwa au ilikuwa launched nchini Japan.

Mwaka 2023 tena Kenya ilirusha Sattelite waliyoipa jina la TAIFA 1, na hii sattelite ya 2023 ilitengenezwa na wanasayansi wa Kenya kwa asilimia mia(100%) na waliirushia nchini Marekani, California kupitia kituo cha SPACE X.

Sattelite ya Taifa 1 ilirushwa kwaajili ya uchunguzi wa Kilimo na Kijeshi, kwahiyo unaweza ukakuta Wakenya wanatuspy tu kupitia Sattelite yao. Ikitokea vita watakuwa hata na uwezo wa kujua wapige wapi kwakuwa sattelite itawaongoza, japo sio rahisi kwakuwa wanatakiwa kuwa nazo nyingi kidogo ili zifanye kazi kwa ufanisi.

Hivyo basi kwa upande wa Sattelite tusijilinganishe na Kenya kwani wametuacha mbali. Nawasilisha hoja.
 
Mbona Kenya walisharushaga Sattelite kitambo tu, na nadhani wanazo kama tatu hivi. Nenda google utazipata hizi taarifa.
Satellites zao sio zao kwaajili yao. Za kwetu zitakuwa zetu kwaajili yetu. Kenya Kuna military bases za magharibi na Kuna uwekezaji mkubwa wa magharibi lazima wavilinde vitu na mali zao kwa nguvu zote.
 
Ni
Wewe jamaa kabla haujaleta Uzi hapa JF, cha kwanza fanya tafiti ujiridhishe kama Kenya walirusha Sattelite au la.

Acha nikujuze kwa uchache vingine utatafuta mwenyewe mtandaoni A.K.A google.

Kenya walirusha Sattelite ya kwanza mwaka 1970 waliyoipa jina la Uhuru.

Pia kenya walirusha Sattelite mwaka 2018 ambayo iliundwa kwa ushiriano wa Wanasayansi wa Kenya kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi na wanasayansi kutoka Japan. Hiyo Sattelite ilirushiwa au ilikuwa launched nchini Japan.

Mwaka 2023 tena Kenya ilirusha Sattelite waliyoipa jina la TAIFA 1, na hii sattelite ya 2023 ilitengenezwa na wanasayansi wa Kenya kwa asilimia mia(100%) na waliirushia nchini Marekani, California kupitia kituo cha SPACE X.

Sattelite ya Taifa 1 ilirushwa kwaajili ya uchunguzi wa Kilimo na Kijeshi, kwahiyo unaweza ukakuta Wakenya wanatuspy tu kupitia Sattelite yao. Ikitokea vita watakuwa hata na uwezo wa kujua wapige wapi kwakuwa sattelite itawaongoza, japo sio rahisi kwakuwa wanatakiwa kuwa nazo nyingi kidogo ili zifanye kazi kwa ufanisi.

Hivyo basi kwa upande wa Sattelite tusijilinganishe na Kenya kwani wametuacha mbali. Nawasilisha hoja.
Nishalijibu hilo, ni Marekani kwaajili ya ulinzi wake kwenye Kanda hii. Kenya ni koloni la Marekani kwa ushirikiano na Uingereza. Hapo veepee unabisha?? Kenya colony Iko kwenye mipango ya malkia Elizabeth na sasa mwanawe Charles. Kenya na Zimbabwe ndiyo yalikuwa maghala ya chakula ya Uingereza.
 
Kwa nini unafuatilia bunge la Kenya badala ya kufuatilia bunge lako??
Literature review!! I think globally, then act locally. Kenya ni neighbors au sio wajemeni. Rafiki Yako namba Moja ni jirani yako, na adui Yako namba Moja ni jirani yako pia. Jirani akiwa na kisu wewe kuwa na jambia, akiwa na SMG wewe kuwa na AK47. You never know.
 
Ushauri wengu kama third part, mwacheni gashagua amalize miaka yake 5 kama DP, baada ya hapo Ruto achague mtu mwingine kuwa DP kwenye next election.
 
Back
Top Bottom