Kenya wamkejeli Samia kuhusu uhaba wa dola Tanzania

Kenya wamkejeli Samia kuhusu uhaba wa dola Tanzania

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Miezi kadhaa iliyopita Rais Samia alisikika akisema Tanzania ipo vizuri kwenye hifadhi ya fedha za kigeni, huku akisema kuna nchi jirani ina hali mbaya ambayo inahitaji msaada

Kenya walielewa kuwa anailenga nchi yao yenye tatizo la fedha za kigeni pia)

Sasa baada ya Tz kutangaza kuwa na uhaba wa dola, Kenya nao wanaikejeli


Screenshot_20230603-092916.png
en
 
Tanzania na Kenya ni watani wa jadi, mojawao akiwa na husda juu ya mwenzake. Wacha kila nchi ijipiganie, hakuna namna .
 
Waache kulialia kama mwanamke aliyeachwa, wajikite kutafuta mahindi wasife njaa.
 
Back
Top Bottom