Kenya wazindua treni za kisasa

Sisi tuna akili ndogo au wewe ulie andika haya una akili ndogo??? labda nikuulize, kati ya hizo nchi hapo, kuna hata moja imewah nunua ndege kwa cash? mbuna zote sita tumetoa cash?? kupanga ni kuchagua, hatufanani
Akili yangu umezunguka huko ndani ya kichwa, waaaah...

Kwahivo vile mlinunua ndege cash, Ina uhusiano gani Na treni? Hivi unatala utambie kwavile mlinunua cash, basi kuanzia Leo, kila kitu tz wakinunua kitakua bora kuliko Africa nzima?????

Haya basi tuanze Na ule mpango wenu wa kuomba billioni Saba za kujenga hio reli yenu hapo mbeleni.... Hio Ni 3/4 ya bajeti nzima ya Tz, hata pasua misamba Na cash!
 
Sasa unamlalamikia nani ndugu.. kama una njaa waKenya watakusaidia nini..??
 
Na mie nikuulize, hayo mataifa kushindwa kununua tren za kisasa kama ulivyoonyesha dhidi yetu vina uhusiano gani na sisi??? jiran kaamua kununua yakwake hiyo, inatuhusu /uhusiano gani na sisi?


Nilicho maanisha kwenye post ya mwanzo, ukiona wenzio wanavaa pensi sio lazima na wewe uvae pensi, na wewe kutokuvaa pensi haimaniish kwamba hutovaa pensi kabisa, kupanga ni kuchagua, [HASHTAG]#UsifosTufanane[/HASHTAG], yakwao yakwao, yakwetu, yakwetu, kila nchi na maisha yake


Hawajanunua ndege in cash, haimaanish kwamba hawawez kufanya hvyo,


NB: Umekimbilia kwenye UCCM na UCHADEMA, sipo kwenye hizo ligi, nilikua naongelea Tz, nakama wewe sio mtanzania, nakukaribisha Tz "nimeona umeandika Mkakope tena"
 
Habari ina mapungufu makubwa kwa tukio kubwa kama hilo kama ni la ukweli.
Waacheni awa Wakenya awajielewi kabisa.
Mara waseme Gari zao zina wireless, sasa apo unajiuliza kwa Bara Bara za apa Africa, unaweza tumia Internet service
Ni mambo ya kujisifia upuuzi
 
Hahahaaaaa ivi zile Fiat zimepotelea wapi? Sijawah kuziona muda, zilikuwa zinapendwa sana na wasomali, dereva anatafuna gomba njia nzima
Zipo Bandarini zinabeba mizigo
 
Waacheni awa Wakenya awajielewi kabisa.
Mara waseme Gari zao zina wireless, sasa apo unajiuliza kwa Bara Bara za apa Africa, unaweza tumia Internet service
Ni mambo ya kujisifia upuuzi
Tehehehee.... Napenda vile mnatokwa na povu. Tihahahhaaaaa
 
Hahahaaaaa ivi zile Fiat zimepotelea wapi? Sijawah kuziona muda, zilikuwa zinapendwa sana na wasomali, dereva anatafuna gomba njia nzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali maarufu kwa jina la "mbaula 686"

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…