Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Akili yangu umezunguka huko ndani ya kichwa, waaaah...Sisi tuna akili ndogo au wewe ulie andika haya una akili ndogo??? labda nikuulize, kati ya hizo nchi hapo, kuna hata moja imewah nunua ndege kwa cash? mbuna zote sita tumetoa cash?? kupanga ni kuchagua, hatufanani
Kwahivo vile mlinunua ndege cash, Ina uhusiano gani Na treni? Hivi unatala utambie kwavile mlinunua cash, basi kuanzia Leo, kila kitu tz wakinunua kitakua bora kuliko Africa nzima?????
Haya basi tuanze Na ule mpango wenu wa kuomba billioni Saba za kujenga hio reli yenu hapo mbeleni.... Hio Ni 3/4 ya bajeti nzima ya Tz, hata pasua misamba Na cash!