Kenya wazindua treni za kisasa

Kenya wazindua treni za kisasa

Sisi tuna akili ndogo au wewe ulie andika haya una akili ndogo??? labda nikuulize, kati ya hizo nchi hapo, kuna hata moja imewah nunua ndege kwa cash? mbuna zote sita tumetoa cash?? kupanga ni kuchagua, hatufanani
Akili yangu umezunguka huko ndani ya kichwa, waaaah...

Kwahivo vile mlinunua ndege cash, Ina uhusiano gani Na treni? Hivi unatala utambie kwavile mlinunua cash, basi kuanzia Leo, kila kitu tz wakinunua kitakua bora kuliko Africa nzima?????

Haya basi tuanze Na ule mpango wenu wa kuomba billioni Saba za kujenga hio reli yenu hapo mbeleni.... Hio Ni 3/4 ya bajeti nzima ya Tz, hata pasua misamba Na cash!
 
Halafu nyie mi wana ccm msipende kubeba mawazo yetu wa tz wote,

Jamani Wakenya huku kwetu sehemu kibao zina njaa kali ila rais amewakataza wakuu wa mikoa na wilaya kutangaza kuwa wana njaa, pia kasema serikali haitatoa msaada wa chakula kwa yeyote, maana serikali sio iliyoleta njaa na anasema ni propaganda za wanasiasa na matajiri wamenunua vyombo vya habari ili kumkosoa...

Ila ukweli Tz kuna ukame na sehem kibao wana njaa kali ila viongozi wanamuogopa Rais ambaye mkali kama pilipili..

No freedom of speech hapa Tz , wasijisifu chochote ccm , hata mabehewa waliyonunua badala ya mapya waliuziwa ya zamani tena mabovu na aliyehusika saivi ni waziri wa sheria , hajagilushwa!
Sasa unamlalamikia nani ndugu.. kama una njaa waKenya watakusaidia nini..??
 
Akili yangu umezunguka huko ndani ya kichwa, waaaah...

Kwahivo vile mlinunua ndege cash, Ina uhusiano gani Na treni? Hivi unatala utambie kwavile mlinunua cash, basi kuanzia Leo, kila kitu tz wakinunua kitakua bora kuliko Africa nzima?????

Haya basi tuanze Na ule mpango wenu wa kuomba billioni Saba za kujenga hio reli yenu hapo mbeleni.... Hio Ni 3/4 ya bajeti nzima ya Tz, hata pasua misamba Na cash!
Na mie nikuulize, hayo mataifa kushindwa kununua tren za kisasa kama ulivyoonyesha dhidi yetu vina uhusiano gani na sisi??? jiran kaamua kununua yakwake hiyo, inatuhusu /uhusiano gani na sisi?


Nilicho maanisha kwenye post ya mwanzo, ukiona wenzio wanavaa pensi sio lazima na wewe uvae pensi, na wewe kutokuvaa pensi haimaniish kwamba hutovaa pensi kabisa, kupanga ni kuchagua, [HASHTAG]#UsifosTufanane[/HASHTAG], yakwao yakwao, yakwetu, yakwetu, kila nchi na maisha yake


Hawajanunua ndege in cash, haimaanish kwamba hawawez kufanya hvyo,


NB: Umekimbilia kwenye UCCM na UCHADEMA, sipo kwenye hizo ligi, nilikua naongelea Tz, nakama wewe sio mtanzania, nakukaribisha Tz "nimeona umeandika Mkakope tena"
 
Habari ina mapungufu makubwa kwa tukio kubwa kama hilo kama ni la ukweli.
Waacheni awa Wakenya awajielewi kabisa.
Mara waseme Gari zao zina wireless, sasa apo unajiuliza kwa Bara Bara za apa Africa, unaweza tumia Internet service
Ni mambo ya kujisifia upuuzi
 
Waacheni awa Wakenya awajielewi kabisa.
Mara waseme Gari zao zina wireless, sasa apo unajiuliza kwa Bara Bara za apa Africa, unaweza tumia Internet service
Ni mambo ya kujisifia upuuzi
Tehehehee.... Napenda vile mnatokwa na povu. Tihahahhaaaaa
 
Hahahaaaaa ivi zile Fiat zimepotelea wapi? Sijawah kuziona muda, zilikuwa zinapendwa sana na wasomali, dereva anatafuna gomba njia nzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali maarufu kwa jina la "mbaula 686"

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hizi ndo passenger locomotives
fea6ca5a033a76a9c9897038448d79be.jpg
c65a013844683a5fc9bcb47cfeaa809d.jpg
49bb3a93a416e5917919c6ef8128a2d4.jpg
 
Back
Top Bottom