Kenya wazindua treni za kisasa

ndioo maana hazina mvuto kabisaaaa
Jana ilikuwa patashika ktk mitandao yao
Wazee wakutafuta sifa jana ilikuwa full kejeli wao kwa wao!!
Wengi waliziponda na kusema kuna mpunga umepigwa hapo
Maana ghalama ni kubwa kuliko Hiyo mitungi eti Treni yakisasa,!!

Serikali yao inajitetea kwakusema watu wanaleta siasa
Siasa nani hana macho kuona kitreni cha 1970 kimepakwa Rangi!!!
 
Hahahaha... Wadanganyika Mungu aliwabariki na vitu vingi sana lakini kuna nyingine aliwapa double double, WIVU NA KINYONGO... Shikamoo Danganyika
jambo la kushangaza ni kuwa East Africa nzima ni hawa hawa bongolala wanao chuki, wivu na roho mbaya kwa wakenya...huwezi ukapata mganda ama mrwanda akiwa na tabia hizi za udanganyika
 
jambo la kushangaza ni kuwa East Africa nzima ni hawa hawa bongolala wanao chuki, wivu na roho mbaya kwa wakenya...huwezi ukapata mganda ama mrwanda akiwa na tabia hizi za udanganyika

Ni utabia mlo.... Tihihihi
 
Hahahaha... Wadanganyika Mungu aliwabariki na vitu vingi sana lakini kuna nyingine aliwapa double double, WIVU NA KINYONGO... Shikamoo Danganyika
Marahaba chizi kutoka Kenya
 
😀😀😀😀😀😀 mitungi ya chang'aa heh ila kwa mtu makini lazima ashtuke tuu kwamba hapa sio kabsaa. Hayo yalishapaki huko china, wamepaka rangi kisha wanatuletea hukuu. labda hiyo reli ndo inaafadhali japo hapa hatuzungumzii reli. Ila hayo makitu me nilivoyaona tuu nafsi yangu imekataa bora hata wangeyeyusha vyuma tuu hakuna usasa hapo.
 
we enda ukalale una usingizi akilini.... kama hautaki jadili ya watu basi pita kimia kimia
 
we enda ukalale una usingizi akilini.... kama hautaki jadili ya watu basi pita kimia kimia
Unasababu ipi hasa ya kujadili ya watu labda? hata hivyo hii hakuna sehem yeyote iliyo fanywa kama "mada"


Nachopingana na wewe, ni pale unapotaka kuaminisha watu kwamba kwasababu Angola, Ethiopia, Nigeria sijui na Kenya wamenunua Fiat zao basi wote tununue Fiat, na sio kwamba tununue FIAT tu, kwa maelezo yako n kwamba hatuna uwezo/uamuzi wa kununua kitu bora zaid ya walichofanya wenzetu, napokuambia yakwao n yakwao simaanishi hilo ulilo elewa wewe, namaanisha, walicho kifanya wao kwasasa, kwao wao wameona kinawafaa, usije ukatuhusisha na sisi kwa namna yeyote na wao, kwao wao hilo ndio wameona bora, wapongezwe kwa hilo, ila sio kuja kusema eti kwasababu wao wamenunua hivyo basi ni ujinga sisi kuwaza kununua tofaut na wao, upuuz mtupu
 
Hio kwa ki mombo inaitwa common sence.... Unajua hizo reli zote za ghana,Naigeria,Ethiopia zimejengwa na loan za kichina.... Tanzania imeshatayarishiwa loan na benki ileile iliowapatia hizo nchi zengine Tanzania gets $7.6 bln loan from China's Exim Bank for railway | Reuters
Kumbuka hapo, ukitaka treni nzuri zaidi inamaanisha loni kubwa zaidi.....Kulingana na hizo pesa mlizopewa na kilometer zitakazojengwa , ni pesa kidogo sana zitabaki za kununua hizo treni....... kwahivyo kilalaheri ukingojea bullet train
 
Aise poleni sana majirani zetu. Kwikwikwikwikwi badala ya kupiga hatua moja mbele mmepiga hatua 10 nyuma.
 
Hakuna popote nilipo sema nahitaji/tegemea tununue train za aina fulan... Soma maelezo yangu yako very clear na yanajieleza hata mtoto mdogo ataelewa ni wapi napingana na wewe
 
Nyang'au mmekutana na nyang'au mwingine.Yani mmepigwa mchana mchana,mavichwa gani sasa hayo ya tren ata kifaru kinasura nzuri kuliko hayo maboksi yaliyopigwa rangi.
 
Ww ni chizi labda, baba, yako na mama yako wameshindwa, kukulisaha
Tanzani hatuna njaa mjinga.
Tanzania sio kenya
 
Nyang'au mmekutana na nyang'au mwingine.Yani mmepigwa mchana mchana,mavichwa gani sasa hayo ya tren ata kifaru kinasura nzuri kuliko hayo maboksi yaliyopigwa rangi.
tulienda shopping kule uchina tukitafuta diesel enging ya power rating ya 2000... wakatuzungusha kampuni zote za kutengeneza hayo madude...... bei na ufundi ulioturidhisha kulingana na bajeti ilikua ni hizo unazoziona hapo za kubeba mizigo..... walikubali tute ma engeneer wetu wakahakikishe zinazotengenezwa ni mpya wala si 'second hand' ... alafu kumbuka tunataka vichwa zaidi ya hamsini, tano za abiria na 54 za mizigo.... kisha badae tukiweka stima tutataka zengine.......





nyinyi ambao hamna hata reli mtulie kidogo, sije mkaja tukawacheka hapahapa

walipokua window shopping


mojawepo ya abiria inafanyiwa final touches uchina

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…