MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Jana ilikuwa patashika ktk mitandao yaondioo maana hazina mvuto kabisaaaa
Wazee wakutafuta sifa jana ilikuwa full kejeli wao kwa wao!!
Wengi waliziponda na kusema kuna mpunga umepigwa hapo
Maana ghalama ni kubwa kuliko Hiyo mitungi eti Treni yakisasa,!!
Serikali yao inajitetea kwakusema watu wanaleta siasa
Siasa nani hana macho kuona kitreni cha 1970 kimepakwa Rangi!!!