Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Deni la Kenya ni 67% ya pato la taifa kwa mujibu wa IMF.
Alafu bado unaongelea ukubwa wa GDP kwa hali kama hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Deni ni deni na GDP ni GDP

Deni halijumlishwi kwenye GDP

GDP ni uzalishaji

Wametuzidi kwenye kuzalisha

Deni ni kitu kingine

Per capita deni letu ni aslimia ngapi ya GDP?

Tunatia huruma sana
 
Deni ni deni na GDP ni GDP

Deni halijumlishwi kwenye GDP

GDP ni uzalishaji

Wametuzidi kwenye kuzalisha

Deni ni kitu kingine

Per capita deni letu ni aslimia ngapi ya GDP?

Tunatia huruma sana
Sasa kama unazalisha sh. 100 alafu sh. 67 unaenda kulip deni unabaki na 33 hiyo ndio ulipe mishahara, ujengee miundombinu, ununue madawa, nk
Hizo ni akili au matope?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya mnawaonaga wa maana sana yani,kenya na tz hakuna tofauti kubwa kiivo.kikubwa tuheshimiane kama nchi,wakileta upumbavu tunawafanyia ufala

Sent using Jamii Forums mobile app

Kenya are good kwenye uzalishaji zaidi yetu!

Lets agree on that na namba zinahakikisha hili!

Kwa kila tunachofanya cha uzaishaji,Kenya wanafanya mara mbili yake!

Thats a fact!

Kenya imetupita mambo haya kwa ufupi:

1.Judicial System yao inafanya kazi hasa...sio ya kwetu mawe akimpigia simu Jaji mtu anafungwa regardless...Hiyo judicial system au mavi?

2.Democratic System yao ni vibrant...ya kwetu ni mavi,lawama zote ni kwa mawe on this!

3.Katiba Mpya ya Kenya ni next to South Africa and Ghana...Ya kwetu ni mavi,mawe wa kulaumu on this!

Sasa wewe acha kujifunza endelea kuongelea chooni na kutoa laana na chuki za kisenge senge tu!
 
Mkuu democrasia,mahakama wanazalisha?

Kenya wana vitu vichache tu wanatushinda na sisi vipo vingi tu tunawashinda .lakini baadhi ya watu wakiongelea kenya na tz,wanadhan kila kitu tz inatakiwa ikaige kenya kitu ambacho si kweli

Kenya ni kanchi kenye upuuzi mwingi tu wala hata sio kanchi kakuigwa kiivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I
Its only the matter of time! ni wachache wanaoweza kufa na tai shingoni! Soon or later pride will be thrown over board!
[/Q

As I predicted, pride has been thrown over board! No father can withstand the cry of a child for food! This is a good move(refering to the speech of Kenyan envoy to Tanzania) which should be not be despised for our common good! The truth is that we badly need each other!!
 
Kwahiyo wewe una akili kuliko IMF?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nina akili zaidi ya yeyote vile

Hadi mungu,if at all that nonsense exists!

IMF anatoa takwimu,mimi kazi ya akili yangu ni kuitafsiri kwendana na ninavyoona mimi sio wewe!

Wewe pia tafsiri unavyoona kivyako...ku-convince mtu ni jambo jingine entirely!
 
Mkuu democrasia,mahakama wanazalisha?

Kenya wana vitu vichache tu wanatushinda na sisi vipo vingi tu tunawashinda .lakini baadhi ya watu wakiongelea kenya na tz,wanadhan kila kitu tz inatakiwa ikaige kenya kitu ambacho si kweli

Kenya ni kanchi kenye upuuzi mwingi tu wala hata sio kanchi kakuigwa kiivo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Topic ya Democray and Development hukusoma Form II?

Hilo swali ulifaulu vipi Form Four?

Democracy ni topic iliyopo masomo 3 O’Level!

History,Civics na Agriculture,Geography,etc.....

Democracy ALevel ya nchi hii unaisoma kwenye General Studies

Democracy ni topic unaisoma Chuo Kikuu kwenye somo la DS (Development Studies)

Na swali la Democracy ni lazima utalifanya ngazi yeyote nchi ya Tanzania

Leo hii hujui maana ya Democracy and Development???Huu unafiki ni wa kiwango cha mavi!

Mahakama ndio mhimili wa sheria,judicial system!

Makampuni yakiibiana yanapelekana mahakamani,mtu akiiba patent ya kampuni ingine anapata haki yake mahakamani!

Serikali ikionea mtu au kampuni yeyote haki inapatikana mahakamani...Halafu leo Microsoft au Morgan&Stanley ije ifungue headquarters Dar es Salaam halafu Waziri fulani sababu anakichaa kichwani mwake aionee halafu wakaenda Mahakamani then mawe apige simu wafungwe sababu kaamua yeye kama yeye....mfumo wa mavi namna hii hakuna mtu anakuja hapa!

Wote wataenda Nairobi penye systems that work na sio kima mmoja anaamua nani afungwe na nani aachwe na nani afilisiwe na nani asifilisiwe...What a jungle full of monkeys!
 
Achana nae mfuasi wa mboi huyo huoni hata maneno yake ,hao wenyewe ndio wale wanaojiita wapinzani hata mm mpinzani ila cna akili Kama zake mara mahakama mara democrasia Kama yeye anajua kuhusu ya kenya kuliko wakenya wenyewe uhuru alishinda uchaguz ?
Mkuu democrasia,mahakama wanazalisha?

Kenya wana vitu vichache tu wanatushinda na sisi vipo vingi tu tunawashinda .lakini baadhi ya watu wakiongelea kenya na tz,wanadhan kila kitu tz inatakiwa ikaige kenya kitu ambacho si kweli

Kenya ni kanchi kenye upuuzi mwingi tu wala hata sio kanchi kakuigwa kiivo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Mtanzania

Umenipa Ukenya,thats cool too,wote Wabantu walewale!

Shida ni kwetu sisi tusiokua na GDP yenye mabavu kama wao!

Wao wana GDP yenye uzito,they can buy any food from anywhere!

Be serious!

Im holding my breath siku inatokea mvua imegoma kunyesha nchini kwa mwaka mmoja,what catastrophe will come out in TZ?

It will be a disaster my nigga!

Ishu hapa tujifunze kuzalisha na kufanya biashara na kuacha upumbavu na utoto huu
kwanza iyo GDP unajua maana yake mkuu hadi udai wao kuwa na GDP kubwa basi uchumi wao imara?
 
Topic ya Democray and Development hukusoma Form II?

Hilo swali ulifaulu vipi Form Four?

Democracy ni topic iliyopo masomo 3 O’Level!

History,Civics na Agriculture,Geography,etc.....

Democracy ALevel ya nchi hii unaisoma kwenye General Studies

Democracy ni topic unaisoma Chuo Kikuu kwenye somo la DS (Development Studies)

Na swali la Democracy ni lazima utalifanya ngazi yeyote nchi ya Tanzania

Leo hii hujui maana ya Democracy and Development???Huu unafiki ni wa kiwango cha mavi!

Mahakama ndio mhimili wa sheria,judicial system!

Makampuni yakiibiana yanapelekana mahakamani,mtu akiiba patent ya kampuni ingine anapata haki yake mahakamani!

Serikali ikionea mtu au kampuni yeyote haki inapatikana mahakamani...Halafu leo Microsoft au Morgan&Stanley ije ifungue headquarters Dar es Salaam halafu Waziri fulani sababu anakichaa kichwani mwake aionee halafu wakaenda Mahakamani then mawe apige simu wafungwe sababu kaamua yeye kama yeye....mfumo wa mavi namna hii hakuna mtu anakuja hapa!

Wote wataenda Nairobi penye systems that work na sio kima mmoja anaamua nani afungwe na nani aachwe na nani afilisiwe na nani asifilisiwe...What a jungle full of monkeys!
Acha kuzunguka zunguka,sema kenya wanazalisha nini kuliko tz.

Democracy ni mfumo wa kuendesha nchi na si mfumo wa uzalishaji

Mahakama sio mfumo wa uzalishaji

Weka bayana wanachozalisha Kenya .

Kwa jinsi unavyojizungusha kwenye mahakama na demo kama uzalishaji hata dini utasema ni uzalishaji.

Narudia tena kenya ni kanchi kama tz,amna tofauti kati yake .uendeshaji wa mahakama unaendana tu.

Mahakama hizi ndio zilikuepo wakati wa jk,mtu mmoja asitufanye tuichukulie poa nchi yetu na kushadadia tu inchi tuingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kuna viwanda?

Nikae hapa nasikiliza mawe anasema eti TZ kuna viwanda?Fvck it!

Cherehani eti nayo kiwanda!

Read this,TZ hakuna viwanda!!!

Muulize mpiga domo Mwijage akuambie,ni propaganda tupu!

Kadanganyeni watoto huko!

Mlimaji mahindi nae anajifanya ana control soko?Fo what hasa?

Chakula ambacho hawajui kuhifadhi,hawana teknolojia wala nini,uozo mtupu!

Msimu huu ukipita brother we are in deep shit!

Plus hawa wafanyabishara wanaofanya hizi kazi wamechoka,mmewanyanyasa,na sasa hivi watanyamaza hakuna kuuza chochote popote!

Eti tunauza,unauza wewe kama nani?CCM ilishalima chochote dunia hii?
Wee kenge unalopoka tu subir ukuni ukuingie vizur Nani kakwambia hakuna viwanda Tz au unaongea shobo tu . Tuliza kichwa hicho ona viongoz wenu wanavyohaha kuomba poo Wanajua watakavyoumia kiuchumi pimbi wee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako wewe mawazo yako yote yametawaliwa na neno "Kenya" sijui kwanini, jaribu kuzungusha ubongo wako nyuzi 360.

Huyo jamaa aliyekua na magari ya Summry, hajawahi kuhuza hata gunia moja la mahindi kwa nchi ya Kenya, yeye yupo Sumbawanga, ni zaidi ya Kilometa 2000 hadi Nairobi, gharama ya kusafirisha mahindi toka Sumbawanga ni kubwa sana.

Summry na mikoa yote ya kusini mwa Tanzania, masoko yao yapo DRC, Zambia, Malawi, Zimbabwe na Msumbiji. Nchi ilipiga marufuku kuuza chakula nje ya nchi, ndio sababu wakulima walilalamika, wewe unageuza unasema walizuia kwenda Kenya pekee, wacha kufikiria Kenya kama nchi pekee, Solo la Kenya kwa chakula cha Tanzania, halizidi 10%, DRC ni soko kubwa kwetu kuliko Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana naye huyo hajui kitu . Yaan nitoe mahind katavi kuja kuwauzia hao manyang'au wa kibera . Wakenya wengi ni masikin tu kenge hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza iyo GDP unajua maana yake mkuu hadi udai wao kuwa na GDP kubwa basi uchumi wao imara?

Mkuu sometimes uache unazi

GDP ni “output” ya uzalishaji

Wanazalisha zaidi yetu mara mbili ya sisi

Kama mtu kakuzidi GDP mara mbili halafu bado unaclaim uchumi wake mdogo zaidi yako basi utakua kijukuu cha shetani

Wanafanyakazi ya uzalishaji zaidi yetu mara mbili!

Enough said!
 
Acha kuzunguka zunguka,sema kenya wanazalisha nini kuliko tz.

Democracy ni mfumo wa kuendesha nchi na si mfumo wa uzalishaji

Mahakama sio mfumo wa uzalishaji

Weka bayana wanachozalisha Kenya .

Kwa jinsi unavyojizungusha kwenye mahakama na demo kama uzalishaji hata dini utasema ni uzalishaji.

Narudia tena kenya ni kanchi kama tz,amna tofauti kati yake .uendeshaji wa mahakama unaendana tu.

Mahakama hizi ndio zilikuepo wakati wa jk,mtu mmoja asitufanye tuichukulie poa nchi yetu na kushadadia tu inchi tuingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Demokrasia ni mfumo wa kuendesha nchi,na uzalishaji haupo kwenye mfumo wa nchi?

Hivi unatenganishaje Democracy na Development?Hii topic ya D&D ulisoma kweli!

Kenya wanatuuzia finished Industrial Goods ambazo ni expensive!

Sisi tunawauzia raw mahindi kama wajima yasiyokua na thamani yeyote compared na finished industrial goods!

Turnover kwenye hii bilateral trade upande wa Kenya itakua kubwa maradufu ya turnover yetu sisi maana tunauza raw materials ya chakula na wala hata sio cash crops,ni mahindi the lowest valued produce!

Walao hata tungesaga tupeleke Unga,tunapeleka mahindi yaliyopukusuliwa kwa kutwanga na magunia....What a lowly valued product compared na engineered products za viwandani ambazo ni expensive?

Akili zenu za mavi kabisa
 
Wee kenge unalopoka tu subir ukuni ukuingie vizur Nani kakwambia hakuna viwanda Tz au unaongea shobo tu . Tuliza kichwa hicho ona viongoz wenu wanavyohaha kuomba poo Wanajua watakavyoumia kiuchumi pimbi wee

Sent using Jamii Forums mobile app

Lets get this outta way:

Sio “unalopoka” ni “unaropoka”!

Jifunze Kiswahili fasaha acha upimbi!

Tanzania hatuna viwanda,thats the fact!

Viwanda vya cherehani ndio definition ya CCm ya viwanda,you niggas are monkeys kabisa!

Ukuni alipigwa bibi yako akazaliwa mama yako akapigwa ukuni ukazaliwa wewe,cha ajabu wewe ndio unapigwa ukuni now!

What a development!
 
Back
Top Bottom