Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Deni la Kenya ni 67% ya pato la taifa kwa mujibu wa IMF.
Alafu bado unaongelea ukubwa wa GDP kwa hali kama hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Deni ni deni na GDP ni GDP
Deni halijumlishwi kwenye GDP
GDP ni uzalishaji
Wametuzidi kwenye kuzalisha
Deni ni kitu kingine
Per capita deni letu ni aslimia ngapi ya GDP?
Tunatia huruma sana