joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wanayapitisha wapi hayo mahindi ya Zambia?, mbona hatuoni yakipita Tanzania au wanasafirisha kwa ndege?Siyo kweli, Wakenya waliacha kitambo kutegemea mahindi ya Tz wakawa wanachukua Zambia, toka hapo bei yetu ikaporomoka kutoka 1000/kg mpaka 300[emoji22]
Kuna shehena ya vifaranga iliagizwa na Mtanzania toka Kenya lakini mamlaka ya chakula nadhani ikasema vina shida hivyo vikapigwa kibiriti shehena nzimaHii mbona kama nilipitwa vile[emoji849]
Kwa takwimu zipi ulizonazo.Mahindi ya Tanzania yanauzwa Zimbabwe na Afrika kusini!
Mbona hatariKuna shehena ya vifaranga iliagizwa na Mtanzania toka Kenya lakini mamlaka ya chakula nadhani ikasema vina shida hivyo vikapigwa kibiriti shehena nzima
Za maonesho ya sabasaba!Kwa takwimu zipi ulizonazo.
Roho ya kuua inakuwa anaona kawaida..ukwel inauma sanaAisee kuna watu wana roho ngumu sana. Unawezaje kuchoma moto vifaranga ambavyo viko hai?
Congo na zambia soko la kufa mtu la mahindi????.Silinilisikia juzi Kenyatta kaongea na Biden? labda ndo mwendelezo wa vikwazo ili amfurahishe beberu mwandamizi, lakini nadhani bado ni malipizo ya kulikosa bomba la Ohima maake alimshawishi sana M7 na mzee akamkataa kidesign, btw Congo na Zambia kuna soko la kufa mtu, nafikir na S.Sudan na Somalia kikubwa waache magari yetu yapite.
Aisee kuna watu wana roho ngumu sana. Unawezaje kuchoma moto vifaranga ambavyo viko hai?
Mahindi ya kusaga ndio worse. Angalau unga wa pakiti umepimwa na KEBS ila mahindi ya mtaani haijapimwa na yeyote. Kuna documentary ya Dennis Okari kuhusu Aflatoxin, ipo youtube. Aflatoxin imeaffect maeneo ya ukambani sana na hao wanasaga mahindi maana hawawezi kuafford unga wa pakiti. Watu huwa wanakufa kwa sababu ya kula sumu ya aflatoxinDuh! Na nilivyo mpenzi wa ugali dona, sasa suluhu nini, hivi kabla kusaga mahindi kuna uwezekano wa mimi kufanya jitihada za kuondoa hiyo sumu?
Mwambie pia kuwa Zambia inakuja kuchukua soko kubwa la sukari na Mihogo.congo na zambia soko la kufa mtu la mahindi????.
mkuu umepotosha sana, zambia wanalima mahindi kwa kiwango kikubwa mnooo,....sisi tunachoweza kuuza zambia ni viazi na mchele kwa sasa! habari ya mahindi ukanda wa kusini sahau kabisa
Utasikia tuna majirani wanaotumiwa na mabeberu, katika hii vita dhidi ya uzalendo....Nategemea Wizara ya Kilimo ije na majibu ya maana na kwa haraka (na sio majibu tu yenye propaganda) bali majibu ya uchunguzi kwa kushirikiana na waKenya na vipimo vyao..
Sababu kama ni unfit for human consumption kwa Wakenya hata sisi ni Binadamu..., thus tuangalia ni kwanini hizo levels zinakuwa nyingi na how to minimize it...
Majibu ya kitaalamu kabla ya majibu ya Kisiasa yanatakiwa....
Kenya ina tabia mbaya ya kijahili sana. Wanatengeneza game wenyewe, halafu wanalichezesha viungani mwao. Just mwishoni mwa mwaka jana, Vice President Dr Ruto alifanyiwa hivyohivyo.Nategemea Wizara ya Kilimo ije na majibu ya maana na kwa haraka (na sio majibu tu yenye propaganda) bali majibu ya uchunguzi kwa kushirikiana na waKenya na vipimo vyao..
Sababu kama ni unfit for human consumption kwa Wakenya hata sisi ni Binadamu..., thus tuangalia ni kwanini hizo levels zinakuwa nyingi na how to minimize it...
Majibu ya kitaalamu kabla ya majibu ya Kisiasa yanatakiwa....
Mkuu acha tu, humu nimegundua kuna watu wanachangia ila hawajui hata shamba kukoje....!Mwambie pia kuwa Zambia inakuja kuchukua soko kubwa la sukari na Mihogo.
Even a Broken Clock is Right twice a Day....Kenya ina tabia mbaya ya kijahili sana. Wanatengeneza game wenyewe, halafu wanalichezesha viungani mwao. Just mwishoni mwa mwaka jana, Vice President Dr Ruto alifanyiwa hivyohivyo. Walipomwona anazidi kuwawini watu wengi wanamfuata kwa harakati zake za utoaji misaada na esp. chakula kwa wahitaji, they literally put sumu kwenye vyakula na kuvigawa kama msaada. Watu walipokufa na wengine kuathirika, all blames kwa VP. We know it. Hao Wakenya ni watoto sana kwa Bulldozer.
Ndiyo maana ya balanced equationcongo na zambia soko la kufa mtu la mahindi????.
mkuu umepotosha sana, zambia wanalima mahindi kwa kiwango kikubwa mnooo,....sisi tunachoweza kuuza zambia ni viazi na mchele kwa sasa! habari ya mahindi ukanda wa kusini sahau kabisa