Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

DRC yenyewe huwa inanunua mahindi yetu kama tuu ya Zambia yameisha

Kule hawalimi kienyeji na hawahifadhi kipuuzi kama Bongo na Zambia ndio wameharibu soko la mahindi la Tzn

Soko wametuharibia hawa wanasiasa washamba wanaopenda kuendekeza migogoro na majirani migogoro ya kitoto
 
Mahindi wanaagiza from Mexico nasikia, tena at more cheaper price..
mfumo wa mikataba ya jumuiya unakataza kufanya hivyo endapo product fulani ambayo mwenzako anayo na kama inapatikana kwa ughali basi wahusika ni ruhusa kukaa na kuliongelea suala hilo la bei
 
Thats good reasoning.
I advise you to convice your Govt to buy maize from Somalia, S Sudan, Uganda and Rwanda.
The maize from Zambia and Malawi will have to be airlifted to Nairobi for good measure.
Surely KQ will have a hell of a deal.
Business is not done with emotions son. The maize will pass through Tanzania and you'll allow it. The maize has been passing through Tanzania and you've been allowing it. The stereotype out here is Tanzanians don't know business, stop confirming it. Relax.
 
The National Cereals and Produce Board on Monday increased maize purchase prices by Sh200.
Joseph Kimote, NCPB managing director, said they have reviewed the buying price for a 90kg bag to Sh2,700 from Sh2,500.
The government directive was to ensure minimum maize prices remain at Sh2,500. We can still go up.
NCPB managing director Joseph Kimote
Speaking to the Star on Monday Kimote said the decision to increase the prices was due to the market dynamics as traders and millers are buying maize at between Sh2,650 and Sh2,700 per bag
 
Thats good reasoning.
I advise you to convice your Govt to buy maize from Somalia, S Sudan, Uganda and Rwanda.
The maize from Zambia and Malawi will have to be airlifted to Nairobi for good measure.
Surely KQ will have a hell of a deal.
Watz buana, eti mzigo kutoka Zambia hauwezi ukafika Kenya bila kusafirishwa kwa ndege, kama hautasafirishwa kupitia Tz? [emoji1] Sasa mahindi kutoka Mexico yanafikaje bandarini Mombasa? Mizigo ikishafika kwenye bandari yeyote ile ambayo ipo karibu na Zambia meli zina uwezo wa kuisafirisha kuenda sehemu yeyote duniani. Kupitia route zao kwenye 'international waters' baharini.
 
Mkuu mbona hamjawahi hata kutuanzishia thread,yaani hao watafiti wametuacha tunakufa kimya kimya kumbe wanajua?

Bora umejifungae macho napunguza kula mahindi la sivyo nachanganya na muhogo au mtama maana umetutisha boss
Mkuu hii kitu ipo kweli kabisa, yaani usifanye utani. Na wanaoangamia kwa sana ni wala ugali, na TMDA (TFDA), TBS etc wapo kimya tu, na kibaya uzalishaji na uhifadhi wa mahindi au karanga Tanzania hauzingatii utalaamu, yaani kila mtu anafanya anvyojua badala ya kufuata kanuni za kitalaamu kama zamani, zamani kulikuwa na msisitizo wa hali ya juu, wakulima waligawiwa vijitabu au vipeperushi vya kanuni bora za kilimo, serikali ilikuwa na hali ya hewa ya kila mkoa na eneo, na ilishauri aina ya mazao, na kanuni za utunzaji, ila kwa sasa kila mtu anafanya anvyojua. Acheni kula ugali ni hatari sana tena sana. Mi siku hizi ni muhogo, ndizi, viazi (lishe, vitamu, mviringo ) na maisha yanaenda.
 
Business is not done with emotions son. The maize will pass through Tanzania and you'll allow it. The maize has been passing through Tanzania and you've been allowing it. The stereotype out here is Tanzanians don't know business, stop confirming it. Relax.
You aint seen Magufuli yet.
Just watch this space.
 
Silinilisikia juzi Kenyatta kaongea na Biden? labda ndo mwendelezo wa vikwazo ili amfurahishe beberu mwandamizi, lakini nadhani bado ni malipizo ya kulikosa bomba la Ohima maake alimshawishi sana M7 na mzee akamkataa kidesign, btw Congo na Zambia kuna soko la kufa mtu, nafikir na S.Sudan na Somalia kikubwa waache magari yetu yapite.
Na magari watasema yanaacha sumu na mashimo kwenye barabara zao
 
You aint seen Magufuli yet.
Just watch this space.
🤣 🤣 🤣
You people and your Magufuli. Magufuli's dictatorship only applies to Tanzanians. He can be as dictator as he wish but that will never affect any Kenyan in any way. You people need to chill. Kelele za chura hazimzuii ngombe kunywa maji. 🤣🤣🤣
 
You need toxins free maize from Zambia?
Talk to Magufuli, not Lungu.
Mark you!
 
Niwakati sasa wa kubuni mbinu mbadala wa matumizi ya mahindi yetu.
Mfano
1. Serikali iwezeshe wawekezaji wa Pombe aina ya Kangara,kwete, Chibuku, kidugugu,mgorigori nk

2.Utengenezaji wa vyakula vya mifugo ilikupunguza migogoro ya wakulima na wafugaji

Mahindi yote yatanunuliwa hapa nchini.

Na mwisho Serikali itangaze kufunga mpaka wa kenya na Tanzania kwa mwaka mmoja na kusitisha mahusiano.

Hii. Itasaidia siku zijazo kabla ya kuropoka kwao watakuja kwenye meza ya mazungumzo pale panapokua na changamoto.

Ni imani yangu kua kweli wote tunahitajiana ila wao wanatuhitaji zaidi.
 
🤣 🤣 🤣
You people and your Magufuli. Magufuli's dictatorship only applies to Tanzanians. He can be as dictator as he wish but that will never affect any Kenyan in any way. You people need to chill. Kelele za chura hazimzuii ngombe kunywa maji. 🤣🤣🤣

You people, you are lucky i am not in Magufuli's position.

If it ever happened that i were the President Of this dear country of mine at this moment, then i would
Make Sure i bleed you white of your pomposity, obstinacy and propaganda against my country and Tanzanians
 
Tumekua tukipiga kelele sana kuwa tulime wao watanunua, naona wamesoma mchezo wameamua kuchomoa, wameamua kutuonyesha kuwa there is always a plan b
Na Uganda walisemaje?.
Usilete siasa kwenye afya za watu.
 
I was recently in uganda and I heard farmers complaining. They do not have access to the Kenyan market and the ugandan market does not offer them the price they need to make a profit. A 90 kg bag of maize was being sold for as low as kes 900 and if you bargain the price would be even lower at kes 750. They complained about Kenya being the country that gives them their daily bread but now their products are banned. Milk too is currently banned. There and then I realised that the kenyan market is very important for alot of farmers in the eac.
I have been thinking that the tactic of banning UG and TZ maize could be a cartel tactic to enable them to import maize from Mexico. Create artificial shortage and then import. I will not be suprised if several ships are already on the ocean coming to Kenya.
 
Hii kitu ni Tanzania kuzuia bidhaa za Kenya kuingia Tanzania hadi hapo baadae, msiwe wepesi wa kukaa na kujadili mambo Yale Yale yanayo jirudia kila mara.
 
Arusha kwa misimu miwili naona kuna mvua chache.Kipindi cha vuli hakukuwa na mvua na sasa hivi mvua hazijaanza.Kipindi Cha nyuma muda kama Huu kulikuwa na mvua za kutosha.Hii ina maana kutokana na huu upungufu wa mvua,Huenda kusiwe na mazao ya kutosha mwaka huu.Hapo sijaongelea tatizo la nzige wa jangwani.Mimi ningeshauri serikali inunue mahindi hayo ambayo yangepelekwa Kenya.Kwa maana kama hali itaendelea hivi,kutakuwa na uhaba wa chakula huku kaskazini!
 
Wazo zuri, hapo wata kuwa wame wasaidia wafanya biashara kwa hasara hiyo na pia kuyahifadhi.
 
Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya

Wamesema mahindi hayo yana kiwango kikubwa cha mycotoxins, hasa aflatoxins na fumonisins ambazo yanajulikana kusababisha saratani

Sumu hizo zimesababisha vifo vya wakenya wengi kwa miaka, hali iliyosababisha wachukue hatua ya kuacha kupokea mahindi kutoka Tanzania na Uganda

Aidha wamesema wataendelea kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na nchi wazoshirikiana nazo kibiashara na wanasubiri kuona washikadau wakilizungumzia tatizo hilo
==
View attachment 1718222
Haya
 
Back
Top Bottom