Wah umetisha aisee kikuyu chako kiko freshi sana! Lakini hapo kwa l zote weka r, hamna l kwa alphabet ya kikuyu! Ulicho'quote' hapo juu si kikikuyu lakini, ni kimeru jombaa!Leke twabe tuneo wathani neguo tuthie nambele guthodeka bololi
Fika kisumu ujione mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kweli?
yaani wahaya kujisifu ni instinct ambayo ipo kwenye damu yao....mda mwingine hujikuta tu wakijisifia au wakisifia issues zao zinazowahusu bila hata wao kujua kuwa wamejisifia.Hahahahaaa,umenikumbusha jana Balile kwenye press conference anamtolea mfano eti mtoto wake anaingia chuo kikuu sijui kamuuliza nini eti,wahaya kwa kujisifu bwana.Ndo itakuwa wahaya unawafananisha na wajaluo.
Aaaahh ,nini wewe kuharibu lugha hivi?. Even as a Meru i can tell you the correct Kikuyu words are "Reke twambe" and the last one is "bururi" and not your incorrect jargon "bololi"Leke twabe tuneo wathani neguo tuthie nambele guthodeka bololi
sio wakenya peke yao,karibia watu wote ambao kiasili wanatokea katika usawa wa mstari wa ikweta,ni weusi zaidi kuzidi wale ambao hawatokei usawa huo.wapo baadhi ya waganda ni weusi sana.Kwa nini wakenya karibia wote ni weusi tukiacha wale wa pwani Mombasa.
sio wakenya peke yao,karibia watu wote ambao kiasili wanatokea katika usawa wa mstari wa ikweta,ni weusi zaidi kuzidi wale ambao hawatokei usawa huo.wapo baadhi ya waganda ni weusi sana.Kwa nini wakenya karibia wote ni weusi tukiacha wale wa pwani Mombasa.
Nikwega muno my cousin .Ati vionthe hadharani? Well ,one thing i like about you guys is the challenge,the inspiration and the odd pressure you put on us to also improve ourselves so my bro there's nothing to be ashamed of.Kina muguku farms ,Chris Kirubi ,Joram Kamau wa Tuskys and Mwangi wa Equity are very very inspirational folks and you should be proud of them.Naatia mukuru? Muuga? Keke! Naatia ukuthithia eeh? Uriuga vionthe hadharani mukuru?Aiii!
wewe ni shemeji ysngu aisee...wameru ni mashemeji zangu...niliwahi ku-date na binti wa kimeru.....[emoji23]Aaaahh ,nini wewe kuharibu lugha hivi?. Even as a Meru i can tell you the correct Kikuyu words are "Reke twambe" and the last one is "bururi" and not your incorrect jargon "bololi"
Kweli kabisa tumepumzika yale mapovu..Najiskia raha kuona leo ndugu wawili wakijadili jambo bila vijembe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afu mnaongelea wanaume tu,au vipi? Wanawake wa kijaluo huwa nawaogopa,kwenye ugomvi wa nyumbani wao ni ving'ora aisee! Wanaitaga wapita njia hadi na majirani wote kwanza, afu ndo wanaanza zao, na kile kiswahili chao! ''Hii ndo manaume buure! Osiepna,huyu ni buuure kabisa, ang'oa! Manaume wanakula omena na ugali kilo mbili na avocado tatu na uji na hawashibi! Uuuuwi, alafu usiku wanachukua nyonyo yangu wanamaliza chakula wote wa matoto yangu Omoss! Hadi Omoss wameshikwa na marassmass! Uuuwi okethoree'' Heheπππ
Lakini sisi ni waMeru wa upande wa mlima Kenya sio wale Meru wa Tz. I hope unaelewa hapo .wewe ni shemeji ysngu aisee...wameru ni mashemeji zangu...niliwahi ku-date na binti wa kimeru.....[emoji23]
sio wakenya peke yao,karibia watu wote ambao kiasili wanatokea katika usawa wa mstari wa ikweta,ni weusi zaidi kuzidi wale ambao hawatokei usawa huo.wapo baadhi ya waganda ni weusi sana.
nadhani ni suala la kisayansi zaidi ambalo linahusiana na masuala ya tabianchi katika usawa wa mstari wa ikweta.sina hakika sana na hili.
Aisee nilipataga mtoto mmeru, ajabu juzikati hapa nikaskia mtoto ameolewa,wewe ni shemeji ysngu aisee...wameru ni mashemeji zangu...niliwahi ku-date na binti wa kimeru.....[emoji23]
Aisee umenikumbusha kuna wasomali fighters kweli kweli, Siku moja nilisema niingie kenya kupitia border ya sirari, na kwa kuwa ilikuwa mara yangu ya kwanza kupitia mpaka huu ilibidi nichukue mda kidogo pale mpakani!ongeza na wasomali hapo..japo wanasifika sana kwa ugaidi ila upande mwingine kibiashara wako vizuri
Game Over katika ubora wako.tisha sana mzazi.Sababu ni hii,
Dunia ni hemisphere, mzunguko wake ni mkubwa zaidi Equator, eneo hilo la ikweta lipo karibu zaidi na Jua ikilinganishwa na maeneo mengine (ndio maana kwenye ncha za dunia (earth poles) kuna baridi sana ukilinganisha na equator.
Kwa maana hiyo tunategemea mionzi hatari ya Jua (ultraviolet radiations) kuwa mikali zaidi eneo la equator kutokana na kupungua kwa umbali kati ya Dunia na Jua (wave frequency varies inversely to Wavelength)
Mionzi hii ya Jua huweza kusababisha matatizo ya ngozi ikiwemo skin cancer..
Kutokana na theories za Evolution (adaptive evolution), kiumbe hubadilika kutokana na mazingira aliyopo ili kuendana na mazingira aliyopo.
Ili kuepuka matatizo ya ngozi yanayoweza kusababishwa na mionzi ya Jua ikiwemo skin cancer watu wa eneo hili wame undergo intensive skin pigmentation kuepuka matatizo ya ngozi yanayoweza kusababishwa na mionzi mikali ya ultraviolet ikiwemo skin cancer ..
Na hapa ndio tunapata Dark skin. Sehemu zenye Jua Kali kama South Sudan watu ni Weusi sana ukilinganisha na sehemu zenye mionzi hafifu ya Jua.
(Naruhusu kurekebishwa)
tatizo lao ni kwamba wengi wametahiriwa....kwenye kale kamchezo inabidi mpini uwe ngangari kweli kweli ili afike kwenye kilele cha mount kenya.Aisee nilipataga mtoto mmeru, ajabu juzikati hapa nikaskia mtoto ameolewa,
Nilisikitika sana aisee.. Amepata mtoto wa kike mzuri kama yeye, though bado ananipenda .
Waswahili tunasema fimbo ya mbali haiui nyoka.