Wewe bingwa wa kutumia akili, ebu nieleweshendio sababu tukasema mzungu anatumia teminology zake katika mambo aliyoyaanzisha yeye,ni wakati kila binaadam kutumia akili.
ndio sababu nikakuuliza tukitoa sifuri moja kwenye kila pesa yetu matokeo yatakuwa kitu gani,lengo langu utumie akili tu.sio unieleweshe naelewa.
Vipi kwako iwapo shilingi ya kenya imesambaratika mwezi huu na bado hujaifikia? Si masaibu tupu?!
nikupe mfano mdogoWewe bingwa wa kutumia akili, ebu nieleweshe
Yatoshe hapo. Sikutaka kulumbana kwingi. Cha muhimu sisi ni majirani. Tujitahidi sote kuiboresha Afrika mashariki. Alamsiki!sarafu ni yangu mimi mtz,cha ajabu ni kipi??
au kila nchi ilishushiwa sarafu yake kutokea mbinguni??
unadanganywa na rates hizo zinakupoteza ndugu.Vipi kwako iwapo shilingi ya kenya imesambaratika mwezi huu na bado hujaifikia? Si masaibu tupu?!
Haiwezekani. Na fedha hizo mtazitumia TZ pekee. Mkija Kenya ama muende nchi nyingine, fedha zenu hazitatambulika. Hio itakuwa na maana mtafanya biashara kwenu tu.nikupe mfano mdogo
kuanzia kesho iwe 1ksh=0.21tsh,tumeamua kutoa sifuri mbili kila pesa yetu.note yetu ya mwisho sasa ni 100.
je pesa hii sasa ina nguvu kudhidi ile ya kenya,maana sasa itakuwa mtz mwenye shilingi elfu moja ya tz atakwenda apewe elfu kumi ya kenya.au haitawezekana!!!kwanini??
Kujifananinsha na Tanzania kila siku. Ni ishara ya kutojiamini.Yatoshe hapo. Sikutaka kulumbana kwingi. Cha muhimu sisi ni majirani. Tujitahidi sote kuiboresha Afrika mashariki. Alamsiki!
haiwezekani vipi uliza zambia walifanya nini kwa kwacha yao.Haiwezekani. Na fedha hizo mtazitumia TZ pekee. Mkija Kenya ama muende nchi nyingine, fedha zenu hazitatambulika. Hio itakuwa na maana mtafanya biashara kwenu tu.
Uamuzi wa shilingi moja ya tz inatoshana vipi na hela nyingine unategemea kitu kinachoitwa demand and supply. Sio kuamua tu.
Wewe umeona kujifananisha wapi hapa???Kujifananinsha na Tanzania kila siku. Ni ishara ya kutojiamini.
Wapi?Wewe umeona kujifananisha wapi hapa???
Wewe huelewi. Haijazidiwa thamani.unadanganywa na rates hizo zinakupoteza ndugu.
yen ya japan imezidiwa thaman na shilingi ya kenya,but you know what.............
kwa mfano huu unadhani ni sababu ipi inafanya pesa fulani inakuwa na nguvu zaidi ya nyingine??Wewe huelewi. Haijazidiwa thamani.
Rates zake ni 100yen = 100.9 ksh. Sina uhakika kama ni nukta 9. Ila kama ukilinganisha Yen 100 na fedha za kenya na upate kuwa fedha za kenya ni nyingi ina maana fedha za kenya ni dhaifu.
bwana wee ndio ndugu zetu hawa inabidi tuwasaidie tu[emoji23][emoji23][emoji23].
tutafanyaje sasa!!
mbona hamkutupatia nyinyi?mbona UAE hamkununua shida ilikuwa ni gani???
mbona hamkutupatia nyinyi?
kwa Hela zetuTumechangia sana kwenye standing for kenya campaign.
Kwa hiyo nyinyi hamuelewi kwamba Zambia ilikuwa na inflation ya juu sana ndo maana wakarebase? Je baada ya kurebase hela zao zilipata nguvu?? Je, ulinganishi wa dola na hela za Zambia kinguvu ni zipi?bwana wee ndio ndugu zetu hawa inabidi tuwasaidie tu[emoji23][emoji23][emoji23].
tutafanyaje sasa!!
Je, unajua kwamba GDP na nguvu za hela za nchi zinafuatana sana kimaana?Hahaha...tatizo vichwa vizito hao. Wanajidai wanajua kumbe hawajui. Ila wataelewa tu.
Pia nawe jiulize mbona mtu wa kwa mfano Kenya au Tz anayefanya kazi marekani akituma hela kama elfu za marekani zinafanya ujenzi ambao hela hizo kule marekani haziwezi kutekeleza? Je, hela za marekani ni rahisi kuzipata marekani?
kwa Hela zetu