Kenyatta kaalikwa White House, Tanzania tunakwama wapi ?

Yani Kenyata aulizwe na wamarekani mambo ya tz?

Ya kenya anaulizwa nani?

..Ndio.

..umesahau Kikwete alivyokuwa akiulizwa masuala ya Kenya wakati ule wana mgogoro wa kisiasa?

..Na Annan, Mkapa, na Machel, waliposhindwa kuwasuluhisha si Kikwete ndiye aliye-intervene akiwa na ultimatum toka kwa Wamarekani?
 

Kwani mwenyewe au mjumbe wake US mheshimiwa JK au Mulamula wanasema kama wewe?
 
..Ndio.

..umesahau Kikwete alivyokuwa akiulizwa masuala ya Kenya wakati ule wana mgogoro wa kisiasa?

..Na Annan, Mkapa, na Machel, waliposhindwa kuwasuluhisha si Kikwete ndiye aliye-intervene akiwa na ultimatum toka kwa Wamarekani?

Akikuelewa usiache japo kutunong'oneza
 
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.

Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting

Hatuna cha kujifunza kweli?

Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!

Mwenye macho haambiwi tazama.
Ukisha alikwa faida yake nini?
Nambaie malaisi waliowahi kwenda Whitehouse nchi zao zimepata nini cha kujivunia?

Huyo Kenyata wala sio mara ya kwanza kualikwa huko, sasa kenya wako kama ulaya au USA?
Sifa zingine ni za kijinga.
 
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.

Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting

Hatuna cha kujifunza kweli?

Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!

Mwenye macho haambiwi tazama.
Wakati wa Kikwete Alikua ndio anaalikwa White House halafu anakuja EA kuwapa maagizo akina Uhuuru na akina museveni.
Sasa hivi hata Sadec to tunadharaulika.
Tunaishia kualikwa Ilikua ya Kigali tu.
Ukweli tumeshuka Sana.
 

Could you share your education level, please?
 
Mama kamualika yule Muingereza Tony Blair nongwa zimewajaa wabongo, mnamsema Mama kama vile kaua mchana kweupe.

..tukubali kwamba taswira na heshma ya Tz ktk diplomasia ilitetereka ktk awamu ya 5.

..hatukutakiwa kutumia lugha mbaya dhidi ya mataifa ya nje, haswa ya magharibi, au kutoheshimu maazimio ya jumuiya za kimataifa.

..uongozi wa awamu ya 6 una kibarua cha kurekebisha hali hiyo.

..Hatua za mwanzo zilikuwa ni Raisi kutembelea nchi majirani na kuhudhuria UNGA.

..Na utachukua muda mpaka turudi pale Kikwete alipoicha nchi kidiplomasia.
 
Uvccm watakwambia ni kuendekeza ubeberu wakati chanzo zao wanachanjwa kwa kasi na mikopo wanapokea

Askofu Severine Niwemugizi keshawaambia Mabosi wao wanastahili bakora.

Hapo miye si nasukuma mlevi tu?
 
Ukweli unauma ubinadamu ni kutambulikana na wengine unyama ni kujitenga.
 
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.

Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting

Hatuna cha kujifunza kweli?

Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!

Mwenye macho haambiwi tazama.
Yaan ulichoandika ndugu yangu kinafikirisha sana na kunitia wasiwasi sana kuhusu uimara wa ubongo wetu wa Tanzania. Kwa hiyo wakenya wakialikwa huko white house ,ndio qualifications ya uchumi?Mbona Kikwete alialikwa white house,ikaishia Obama kutuletea kampuni fake ya umeme ya symbion?Ndugu wa Tanzania ,hasa vijana tujipime uwezo wetu wa kifikiri na kudadavua mambo.Nina wasiwasi elimu tunayopata inatupeleka kuwategemea wazungu zaidi.Hatuwezi kuwa na elimu ya kuwa wabunifu ,wachapa kazi na tuzalishe bidhaa ambazo tutauza duniani na watu watugombee.Tusibaki kufikiria kukaribishwa White house.Usipokaribishwa haufai kuwa Rais wa Tz.
 
Iko wazi hiyo Kenya ndo wanaongoza kwa demokrasia ktk ukanda wetu wa Afrika Mashariki na pembe ya Afrika. Kenya pia ni nchi ya kimkakati Kuna Western investments za kutosha Kenya kuliko nchi yeyote ktk ukanda huu.
Vilevile hali ya kkutotulia kwa Somalia,Southern Sudan na recently Tigray na Ethiopian Federal kuwa ktk vita nako kunaifanya Kenya kuwa kimbilio ili itumie utulivu wake kuleta amani ktk ukanda huu. So mixture ya demokrasia na utulivu vinaibeba Kenya but mostly DEMOCRACY. Lumumba mna la kujifunza hapo msikwepe.
 
Aliwaonyesha attitude mbaya wakati afya yake inawategemea hao hao wazungu. Akashindwa kwenda kutibiwa kwao akafa akijiona.
 


..mnasema hivyo kwasababu hamjakaribishwa huko white house.

..mbona majuzi Maza alipozungumza kwa simu na Angela Merkel mlikuwa mkisifia?

..kualikwa white house ni fursa. Ni juu yake aliyepata fursa hiyo kuitumia vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…