Acha mawazo ya kimaskini wewe
hapa nimepinga?Siku Mama akialikwa utapinga?
hapa tunazungumzia watu wenye hadhi sawa kwenye nchi zao!Ungejiuliza pia, mathalani wewe ukaalikwa ikulu na Samia, faida zake ni zipi?
Kenya ni nchi tofauti na Tanzania!! Mipango na malengo yao ni tofauti na yetu!! Ili tutimize malengo yetu hatuhitaji kwenda white house.Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
ungetuambia mapema kwamba hii mada yako ni ya taarabu.Kiswahili rahisi wanasema asiyejua maana haambiwi maana
Hayo ni mambo ya lobying tu, hamna kitu cha maana, ni nipe nikupe style.
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Ujinga mtupu.Heri wewe umetambua Kenya siyo EA tu bali Africa nzima wameonekana.
Msingi wa mada hatuna cha kujifunza?
Hivi wale wawakilishi wao mahakamani na mabango haya yana afya kweli kwa taifa hili?
View attachment 1974918
Siyo hizi mburumundu Zuhuraz Crocodiletooth
Kenya ni nchi tofauti na Tanzania!! Mipango na malengo yao ni tofauti na yetu!! Ili tutimize malengo yetu hatuhitaji kwenda white house.
Kwa mujibu wa taarifa iliyopo maongezi huko yatahusu demokrasia na haki za binadamu!! Kwa Wamarekani haki ya binadamu na demokrasia zinzhusisha kuruhusu ushoga, usagaji na ndoa za jinsia moja!! Je bado unatamani mama aende white house kwa ajenda hizo? maana kwa maelezo yako ni kama unaionea wivu kenya kualikwa white house!! Ona hapa:
White House spokesperson Jen Psaki said in a statement that the two would discuss "efforts to defend democracy and human rights!!!
Ashakum si matusi: Wanaenda kuongelea kupigania haki za kufirana na kusagana!! Mungu apishe mbali!! Hatuihitaji hiyo white house ya mafirauni!!
Kama hakuna haja kwenda WH kwa nini Mulamula alihangaika bila mafanikio kumtafutia maza appointment na beberu?Hangaya hajasema anataka kwenda White House. To some people, it could sound going to WH is the standard measure.
For me, it is one of those things which might happen...and if they don't happen, the course of life will just remain the same.
Tunawashobokea sana hawa watu mpaka tunatia aibu
Hayo hayana impact yoyote, huyo mzungu mnayenyenyekea anachojali ni maslahi yake, hizo mbanga za demokrasia ni maagizo tu.
Kama hukuwa hukijua , now you know, upo hapo ?
Yaani mimi siku nikija kuwa Rais halafu ikatokea kama ilivyotokea hivi nitafurahi zaidi kwa sababu nitagundua kuwa kuna tricky inafanywa ili na mimi nitamani kualikwa. Kwa hiyo nitajua kuwa possibly mimi ni wa muhimu zaidi pengine hata kuwazidi wawili wote hawa ambao tayari wameshakutana. Hapo sasa itabidi nianze kujiuliza sababu ya mimi kuwa muhimu kiasi cha kutaufutiwa kuvutwa kwa kutumia mwaliko ni nini!Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Yaani mimi siku nikija kuwa Rais halafu ikatokea kama ilivyotokea hivi nitafurahi zaidi kwa sababu nitagundua kuwa kuna tricky inafanywa ili na mimi nitamani kualikwa. Kwa hiyo nitajua kuwa possibly mimi ni wa muhimu zaidi pengine hata kuwazidi wawili wote hawa ambao tayari wameshakutana. Hapo sasa itabidi nianze kujiuliza sababu ya mimi kuwa muhimu kiasi cha kutaufutiwa kuvutwa kwa kutumia mwaliko ni nini!
Si kweli kwamba kila mahali panapoonyesha kuwa huhitajiki, huhitajiki. Kwani wewe katika maisha yako, hujawahi kutumia mbinu ya kujifanya humpendi msichana unayemhitaji zaidi ili uweze kumpata kirahisi asikusumubue?
CCM ile nyumba yao pale DODOMA wanaiita Whitehouse! Ndo ujue White house umuhimu wake kwa viongozi wa Africa kuitwa pale!Kwa hiyo white house ni ahera, kiasi kwamba watu tusipumue kisa hatujaalikwa white house.........akili za kitumwa ni shida sana.
Kuna shida katka kufikiri kwa mtu mweusi!! Taliban wenyewe wanaitwaga white house unafikir anaeenda huko anaheshimiwa??
Au n njia ya kumfanya kibaraka!! Ulishasikia nchi zilizoendelea wanalilia kufika white house?? Huna akili !!! Ingekua amri yangu matahira kama ww hamfai hata kuongea kw social media
ungetuambia mapema kwamba hii mada yako ni ya taarabu.
Shida yenu nyinyi hamjui mnachokihitaji mpaka sasa, yaani kiufupi ni hamna ajenda mnayosimamia. Nongwa ndo zimezidi, mim nina uhakika mama angealikwa huko white house ndo mngetukana mpaka matusi yote mngemaliza; mngesema ameende kuuza nchi tayari. Yaani hamueleweki mnasimamia lipi.Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.