Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

Kweli we ni mzee wa kupambania naona unajipa assist halafu unaikuta kwa mbele mkuu salute.
 
Ni nyingi mno ila hizi sitazisahau maishani mwangu:
1. Kunuka papuchi kama mtu asiyewahi kuoga maishani
2. Kukuta viashiria vya madawa ya kichawi kifuani na maziwa (kujipaka unga kwenye chuchu na kifuani), kuvaa shanga kiunoni zilizofungwa na hirizi
3. Kuwa na mavuzi makwapani na kuwa na ndevu japo ni demu
4. Kula kupitiliza, unakuta demu anakula utadhani hajala miaka kadhaa
5. Kunuka mdomo na makwapa japo kavaa vizuri na kuonekana sopu sopu
6. Kulazimisha kuhamia kwangu
 
Fanya km watoa hewa nje wakati huo mkono/ kiganja kipo kinataka kuidaka hiyo hewa.. utaipata vyema kabisa, so hapo utajua ni uchill ama ukapige mswaki 😃
🙄🙄Harufu inaweza kusababishwa na kuoza kwa meno, ulimi & changamoto huko tumboni. Ambayo unaweza kuijua kirahisi ni ya kuoza meno na ulimi ila hii inayotoka tumboni mara nyingi wahusika wanakua hawajui chochote.....umeelewa binti njiro
 
🙄🙄Harufu inaweza kusababishwa na kuoza kwa meno, ulimi & changamoto huko tumboni. Ambayo unaweza kuijua kirahisi ni ya kuoza meno na ulimi ila hii inayotoka tumboni mara nyingi wahusika wanakua hawajui chochote.....umeelewa binti njiro
Ukweli wa harufu ya mdoma , Watanzania wengi wanakosa package nzuri za kusafisha meno tofauti na wenzetu.

Yaani mswaki tu basi mbona mtu akioga bado anapaka mafuata ,lotion , deodorant na perfume.

Hata kupigwa mswaki bado panahitaji vitu vingine kama mouthwash ,refreshner kibao la sivyo ni patapotea .
 
Hapaa uko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…