Lamentations
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 285
- 848
Huu ni uongo totally huo ulimi tunaobadilishana ni wa kenge au? Halafu kwani mate tunavyobadilishana ni unayasukuma kwa nje kama unayatema mbona umeiweka kiukatili sana. Watu wapeane mate kwa namna wanavyotaka iwe.Yaan French kiss, wabongo wengi hawawezi, wanachojua wao ni kunyweshana mate, kugongana meno km cheers ya glass, mara kuvutana lips, ptyuuuuuh.
Mtu unamueleza tunabadilishana ndimi (ulimi), lenyewe linakazana kufyonza mate, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru wangu nawafundisha na huwa wanaelewa.
French kiss ni tamu km mnaiweza na mna feel same. Woiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah!!Zimepangwa kama mabehewa vitu vingine msiulizege [emoji23]
Mimi binafsi siwezi hawezi zitapishana kama gari moshiKm wee huwezi poleee, endelea kunywa mimate ya mwenzio.
Ila kwer😂Huu ni uongo totally huo ulimi tunaobadilishana ni wa kenge au? Halafu kwani mate tunavyobadilishana ni unayasukuma kwa nje kama unayatema mbona umeiweka kiukatili sana. Watu wapeane mate kwa namna wanavyotaka iwe.
Mtaro 🙌Sauli 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anatuzingua tu huyuIla kwer😂
Kubadilishana ulimi sio kupeana mate, ndo wengi mnavyojua hivyo, tena mwingne unakuta anayavuta na kujaza mdomoni afu akupee wee.Huu ni uongo totally huo ulimi tunaobadilishana ni wa kenge au? Halafu kwani mate tunavyobadilishana ni unayasukuma kwa nje kama unayatema mbona umeiweka kiukatili sana. Watu wapeane mate kwa namna wanavyotaka iwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi binafsi siwezi hawezi zitapishana kama gari moshi
Mpe mji asiendelee kutuzinguaAnatuzingua tu huyu
Mferejiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtaro [emoji119]
Waruka mitaro wakati mwingine mnawapa kazi za bure 😂Mferejiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu haya mambo hivi hua mnajifunzia wapi?
weka hapa kwa faida ya members woteNjoo nikuoneshe chimbo[emoji3]
Huo ulimi mnaobadilishana unakua na mafuta machafu au? Halafu sio kubadilishana ni kunyonyana tu. Acha kuiweka ki naniliiKubadilishana ulimi sio kupeana mate, ndo wengi mnavyojua hivyo, tena mwingne unakuta anayavuta na kujaza mdomoni afu akupee wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaman kubadilishana ulimi sio kupeana mimatee.
Wanawake walio wengi mnataka mate ya wapenzi wenu ili mgundue nini muhuni anajibana kuyazalisha mdomoni ila dem anasema naomba nitemee mate yako mdomoni😂😂😂niliwaza kuona ujinga uleKubadilishana ulimi sio kupeana mate, ndo wengi mnavyojua hivyo, tena mwingne unakuta anayavuta na kujaza mdomoni afu akupee wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaman kubadilishana ulimi sio kupeana mimatee.
Kumbe Pana machimbo na hamtwambiiiNjoo nikuoneshe chimbo[emoji3]
weka hapa kwa faida ya members wote
🙌😂Wote wanafaham mbona[emoji55] umebaki wew tu
Kumbe Pana machimbo na hamtwambiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zipii?Waruka mitaro wakati mwingine mnawapa kazi za bure [emoji23]