Kero hii ya kutofikishwa kileleni

Nasikia hata mke wake hamfikishi kileleni ndiyo maana hakuna mtoto toka 2009....Bashite ni shidaaa
 
Haya ndiyo malalamiko yangu ya muda mrefu, viongozi wetu wanaanzisha mambo mengi bila kujipanga mwisho wake hakuna tija yeyote inayoonekana.
 
Hii ni sawa na kujitekenya mwenyewe na kucheka maana iweje sasa kumlambisha dusheleleee mkeo kisha ukachomoa kabla hajakojoa?
Shame on them
 
Hii ni sawa na kujitekenya mwenyewe na kucheka maana iweje sasa kumlambisha dusheleleee mkeo kisha ukachomoa kabla hajakojoa?
Shame on them
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Una bahati umeanza na akili za usiku,,,,ungeweka tuu neno "RC" kwenye heading yako,hii post usingeiona,,,wanainyofoa fastaaa.JF imevamiwa na makada wa ccm
 
Una bahati umeanza na akili za usiku,,,,ungeweka tuu neno "RC" kwenye heading yako,hii post usingeiona,,,wanainyofoa fastaaa.JF imevamiwa na makada wa ccm
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tumefunzwa kuwa wapole kama hua na werevu kama nyoka

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana akili ya kiuandishi!
Sio wengine hapa kujua kusoma na kuandika tunajifanya waandishi na kuleta mada zisizo na kiuno.
Amefanikiwa kukufikisha kileleni jamani?[emoji1]
 
mkuuu mshana jinsi ulivyo iwasilisha hoja yako ni ushaidi tosha kua ukiambiwa uonyeshe vyeti vyako haita chukua sekunde kuweka mzigo mezani.hongera si jambo dogo kuonyesha ubunifu huu wa uwasilishaji wa maada.

mkuu mshana fanya liwezekanalo hata ikiwa kwa yale mambo yetu ya kuzunguka mbuyu ili lissu awe rais wa tls,ili watu walie vizuriiii
 
[emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji817] [emoji817] [emoji111] ya Lissu ni zaidi ya tujuavyo! Kumbuka Ben is silenced forever [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji144] [emoji144] [emoji144] very painful

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…