Kero kutoka mbagala hadi mjini, njia imerudishwa kwenye foleni

Kero kutoka mbagala hadi mjini, njia imerudishwa kwenye foleni

John Mwaisengela

Senior Member
Joined
May 6, 2024
Posts
115
Reaction score
157
Jambo ambalo nashindwa fahamu aliyetoa ushauri njia ya mwendo kasi kuzuiwa kupita hadi magari madogo kuanzia mbagala hadi bendera tatu.

Njia hii inawakazi wengi na wapo ambao wanaenda tafuta mahitaji wapo wanaoenda kutafuta bidhaa na kuja wauzia waliobaki walipotoka na bado wapo ambao wanaenda wahudumia jamii sekta binafsi na umma kwa ujumla.

Sasa njia imerudishwa kwenye foleni ya kufa mtu na hapo hapo kuna malori yanayotoka na kuingia bandarini na zamani BP kufata mafuta. Kwanini msingeachia gari ndogo zikapita hiyo njia ya mwendo kasi? kwani zina uzito gani wa kuharibu barabara?

Fikiria mtu anatoka kuwahi hudumia jamii anajikuta kanasa barabarani zaidi ya masaa na bado akifika bosi wake anaanza mpa barua ya kujieleza huku jamii aliyotakiwa kuhidumia nayo inakuja juu kwa kuchelewa pata huduma.
 
Jambo ambalo nashindwa fahamu aliyetoa ushauri njia ya mwendo kasi kuzuiwa kupita hadi magari madogo kuanzia mbagala hadi bendera tatu. Njia hii inawakazi wengi na wapo ambao wanaenda tafuta mahitaji wapo wanaoenda kutafuta bidhaa na kuja wauzia waliobaki walipotoka na bado wapo ambao wanaenda wahudumia jamii sekta binafsi na umma kwa ujumla. Sasa njia imerudishwa kwenye foleni ya nkufa mtu na hapo hapo kuna malori yanayotoka na kuingia bandarini na zamani BP kufata mafuta. Kwanini msingeachia gari ndogo zikapita hiyo njia ya mwendo kasi? kwani zina uzito gani wa kuharibu barabara? Fikiria mtu anatoka kuwahi hudumia jamii anajikuta kanasa barabarani zaidi ya masaa na bado akifika bosi wake anaanza mpa barua ya kujieleza huku jamii aliyotakiwa kuhidumia nayo inakuja juu kwa kuchelewa pata huduma.

Endeleeni kuvumilia.
Hizi ndio gharama zitokanazo na kuwa na Watawala wa nchi waliokosa maono na fikra za kuweza kuona mbali kimaendeleo. You are reaping what you sow!
 
Mkuu mbagala hupawezi... Nakushauri Hama...
Kiongozi sawa mimi mfano naweza kuhama je ni wangapi watahama huko? Hapo awali hakukuwa na foleni kama sasa imekuwa ni balaa. Sipingi kuwepo na maendeleo ila maendeleo maana yake ni kupunguza garama kwa mwananchi na kurahisisha mwananchi aweze toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.
 
Kama barabara ya mwendo kasi imefungwa safi sana👏🏿👏🏿👏🏿
Maana madereva wa huko hawajielewi wanapita kwenye hiyo barabara kama kwamba wapo kwenye mashindano,Ajali kila siku kufa watu na kuacha ulemavu wa maisha kwa hili serikali ni wapongeze sana sana❤️❤️
 
ushasema barabara ya mwendo kasi sasa ulitaka gari zisimame?siku ukikosa huduma utanielewa.Jua watu wanachelewa toa huduma kwa jamii.
 
Kwamba hukuona Ile clip na mkuu wa wilaya akila za uso kwa niaba ya mkuu wa mkoa
Aliyetoa amri unamjua mwendee na kabango pale ofisini kwake
 
ushasema barabara ya mwendo kasi sasa ulitaka gari zisimame?siku ukikosa huduma utanielewa.Jua watu wanachelewa toa huduma kwa jamii.
Chanzo cha kufungwa hiyo mwendo kasi ni ajali zinazotokana na uzembe wa madereva kwa hiyo wewe bora wenzio wafe kwa uzembe au wapate ulemavu wa Maisha ndio furaha yako,kumbuka kila siku kwenye hiyo barabara alikuwa anakufa mtu au watu zaidi.
 
Hiyo barabara kufungwa ni uamizi mzuri walio chukua Serikali maana madereva walipewa nafasi wakaleta uchizi barabarani.
 
Chanzo cha kufungwa hiyo mwendo kasi ni ajali zinazotokana na uzembe wa madereva kwa hiyo wewe bora wenzio wafe kwa uzembe au wapate ulemavu wa Maisha ndio furaha yako,kumbuka kila siku kwenye hiyo barabara alikuwa anakufa mtu au watu zaidi.
Tusiangalie uzembe kwa kusema madereva tuu barabara watumiaji ni wengi hata watembea kwa miguu wapo ambao pia wanauzembe. Sasa hiyo njia itafungwa maisha? Ilejengwa ya nini?
 
Tusiangalie uzembe kwa kusema madereva tuu barabara watumiaji ni wengi hata watembea kwa miguu wapo ambao pia wanauzembe. Sasa hiyo njia itafungwa maisha? Ilejengwa ya nini?
Yuko sahihi, waweke gari za mwendokasi zipite lakini kuruhusu gari za kawaida kupita watu wengi wamepoteza maisha kwenye hiyo barabara ndio maana wamefunga.
 
Jambo ambalo nashindwa fahamu aliyetoa ushauri njia ya mwendo kasi kuzuiwa kupita hadi magari madogo kuanzia mbagala hadi bendera tatu.

Njia hii inawakazi wengi na wapo ambao wanaenda tafuta mahitaji wapo wanaoenda kutafuta bidhaa na kuja wauzia waliobaki walipotoka na bado wapo ambao wanaenda wahudumia jamii sekta binafsi na umma kwa ujumla.

Sasa njia imerudishwa kwenye foleni ya kufa mtu na hapo hapo kuna malori yanayotoka na kuingia bandarini na zamani BP kufata mafuta. Kwanini msingeachia gari ndogo zikapita hiyo njia ya mwendo kasi? kwani zina uzito gani wa kuharibu barabara?

Fikiria mtu anatoka kuwahi hudumia jamii anajikuta kanasa barabarani zaidi ya masaa na bado akifika bosi wake anaanza mpa barua ya kujieleza huku jamii aliyotakiwa kuhidumia nayo inakuja juu kwa kuchelewa pata huduma.
Changia tonetone
 
Waziri Bashungwa aliruhusu kutumika Kwa hiyo Barabara ya mwendokasi baada ya kuona Foleni imezidi kuwa kubwa, lakini alipo badilishwa wizara tukaona waziri wa Tamisemi Mh. Mchengelwa kapiga marufuku utumiaji wa hiyo Barabara. Kumbuka Mh Mchengelwa ni Mbunge wa kilwa ambapo hii Barabara inatumika kwenda ktk Jimbo lake hakuona hiyo kadhia ya foleni.
Kuanzia pale Bendera 3 Hadi Mbagala ile Barabara imeshakuwa ndogo kwakuwa Malori yanayoingia na kutoka bandarini yameifanya Barabara kuwa na uhitaji wa kupanuliwa kama wanavyofanya ubungo to kimara.
Sijajua walio design ktk ujenzi wa mwendokasi hawakuangalia ongezeko la Malori yanayoingia bandarini? Ni shida sana!!!
Tunapata shida sana!
VIongozi wa huku Temeke ikiwepo
Mbunge - Temeke
mkuu wa wilaya- Temeke
waziri Ulega- Mkuranga
Waziri Mchengelwa- kilwa
Ondoeni hii kelo Kwa wananchi.
Inawezekanaje ubungo to kimara inarudiwa kujengwa lakini huku kwetu Bado changamoto ni zilezile?????
 
Tusiangalie uzembe kwa kusema madereva tuu barabara watumiaji ni wengi hata watembea kwa miguu wapo ambao pia wanauzembe. Sasa hiyo njia itafungwa maisha? Ilejengwa ya nini?
We acha ubishi hapo chanzo cha kufungwa ni ajali zinazotokana na uzembe wa madereva hapo mara ya mwisho gari zimegongana uso kwa uso watu 20 walifariki hapo hapo,sehemu ya kuvuka watu kwa miguu madereva hawapunguzi mwendo kina mama hapo msikitini mtoni wameuwa sana watu kwa uzembe we unakaza fuvu si bure ni mchawi 😕😕😕
 
Dereva anatoka kisemvule kariakoo anataka atumie dakika 20 ukiuliza napita mwendo kasi yaani hapo hazingatii hata sehemu ya wavuka kwa miguu we unayetetea upuuzi ni kwa vile hujaondokewa na mpendwa wako kisa uzembe wa dereva barabarani
 
Back
Top Bottom