John Mwaisengela
Senior Member
- May 6, 2024
- 115
- 157
Jambo ambalo nashindwa fahamu aliyetoa ushauri njia ya mwendo kasi kuzuiwa kupita hadi magari madogo kuanzia mbagala hadi bendera tatu. Njia hii inawakazi wengi na wapo ambao wanaenda tafuta mahitaji wapo wanaoenda kutafuta bidhaa na kuja wauzia waliobaki walipotoka na bado wapo ambao wanaenda wahudumia jamii sekta binafsi na umma kwa ujumla. Sasa njia imerudishwa kwenye foleni ya nkufa mtu na hapo hapo kuna malori yanayotoka na kuingia bandarini na zamani BP kufata mafuta. Kwanini msingeachia gari ndogo zikapita hiyo njia ya mwendo kasi? kwani zina uzito gani wa kuharibu barabara? Fikiria mtu anatoka kuwahi hudumia jamii anajikuta kanasa barabarani zaidi ya masaa na bado akifika bosi wake anaanza mpa barua ya kujieleza huku jamii aliyotakiwa kuhidumia nayo inakuja juu kwa kuchelewa pata huduma.
Kiongozi sawa mimi mfano naweza kuhama je ni wangapi watahama huko? Hapo awali hakukuwa na foleni kama sasa imekuwa ni balaa. Sipingi kuwepo na maendeleo ila maendeleo maana yake ni kupunguza garama kwa mwananchi na kurahisisha mwananchi aweze toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.Mkuu mbagala hupawezi... Nakushauri Hama...
Kiongozi sawa mimi mfano naweza kuhama je ni wangapi watahama huko? Hapo awali hakukuwa na foleni kama sasa imekuwa ni balaa. Sipingi kuwepo na maendeleo ila maendeleo maana yake ni kupunguza garama kwa mwananchi na kurahisisha mwananchi aweze toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.Mkuu mbagala hupawezi... Nakushauri Hama...
Kiongozi drs 7 tu inatosha mtendaji awe na diplomaEndeleeni kuvumilia.
Hizi ndio gharama zitokanazo na kuwa na Watawala wa nchi waliokosa maono na fikra za kuweza kuona mbali kimaendeleo. You are reaping what you sow!
ushasema barabara ya mwendo kasi sasa ulitaka gari zisimame?siku ukikosa huduma utanielewa.Jua watu wanachelewa toa huduma kwa jamii.Kama barabara ya mwendo kasi imefungwa safi sanaππΏππΏππΏ
Maana madereva wa huko hawajielewi wanapita kwenye hiyo barabara kama kwamba wapo kwenye mashindano,Ajali kila siku kufa watu na kuacha ulemavu wa maisha kwa hili serikali ni wapongeze sana sanaβ€οΈβ€οΈ
Chanzo cha kufungwa hiyo mwendo kasi ni ajali zinazotokana na uzembe wa madereva kwa hiyo wewe bora wenzio wafe kwa uzembe au wapate ulemavu wa Maisha ndio furaha yako,kumbuka kila siku kwenye hiyo barabara alikuwa anakufa mtu au watu zaidi.ushasema barabara ya mwendo kasi sasa ulitaka gari zisimame?siku ukikosa huduma utanielewa.Jua watu wanachelewa toa huduma kwa jamii.
Tusiangalie uzembe kwa kusema madereva tuu barabara watumiaji ni wengi hata watembea kwa miguu wapo ambao pia wanauzembe. Sasa hiyo njia itafungwa maisha? Ilejengwa ya nini?Chanzo cha kufungwa hiyo mwendo kasi ni ajali zinazotokana na uzembe wa madereva kwa hiyo wewe bora wenzio wafe kwa uzembe au wapate ulemavu wa Maisha ndio furaha yako,kumbuka kila siku kwenye hiyo barabara alikuwa anakufa mtu au watu zaidi.
Yuko sahihi, waweke gari za mwendokasi zipite lakini kuruhusu gari za kawaida kupita watu wengi wamepoteza maisha kwenye hiyo barabara ndio maana wamefunga.Tusiangalie uzembe kwa kusema madereva tuu barabara watumiaji ni wengi hata watembea kwa miguu wapo ambao pia wanauzembe. Sasa hiyo njia itafungwa maisha? Ilejengwa ya nini?
Changia tonetoneJambo ambalo nashindwa fahamu aliyetoa ushauri njia ya mwendo kasi kuzuiwa kupita hadi magari madogo kuanzia mbagala hadi bendera tatu.
Njia hii inawakazi wengi na wapo ambao wanaenda tafuta mahitaji wapo wanaoenda kutafuta bidhaa na kuja wauzia waliobaki walipotoka na bado wapo ambao wanaenda wahudumia jamii sekta binafsi na umma kwa ujumla.
Sasa njia imerudishwa kwenye foleni ya kufa mtu na hapo hapo kuna malori yanayotoka na kuingia bandarini na zamani BP kufata mafuta. Kwanini msingeachia gari ndogo zikapita hiyo njia ya mwendo kasi? kwani zina uzito gani wa kuharibu barabara?
Fikiria mtu anatoka kuwahi hudumia jamii anajikuta kanasa barabarani zaidi ya masaa na bado akifika bosi wake anaanza mpa barua ya kujieleza huku jamii aliyotakiwa kuhidumia nayo inakuja juu kwa kuchelewa pata huduma.
We acha ubishi hapo chanzo cha kufungwa ni ajali zinazotokana na uzembe wa madereva hapo mara ya mwisho gari zimegongana uso kwa uso watu 20 walifariki hapo hapo,sehemu ya kuvuka watu kwa miguu madereva hawapunguzi mwendo kina mama hapo msikitini mtoni wameuwa sana watu kwa uzembe we unakaza fuvu si bure ni mchawi πππTusiangalie uzembe kwa kusema madereva tuu barabara watumiaji ni wengi hata watembea kwa miguu wapo ambao pia wanauzembe. Sasa hiyo njia itafungwa maisha? Ilejengwa ya nini?