Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

Muoaji na wakwe zake wote hawana akili.



Binti mwenyewe ni mchafu alizaa akiwa na miaka 18 tena nje ya ndoa.

Wazazi wengine bhana sijui ata wanaujinga gan vichwan mwao, mtu kaamua kuficha aibu ya mtoto wao ila bado wanamuona mjinga
Nakuunga mkono mkuu
 
Kuna baadhi ya wazazi ni wapuuz sana.

Sema TU kijana alimpenda Sana binti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni mawili. Kama jamaa ameamua kutafuta pesa awalipe hao wazee then wajue kwenye harusi watakuja kwa gharama zao, na ni lazima wachangie ndipo wapate kadi ya mualiko.

Pili, kijana akishafunga ndoa na bi dada then ukweni ndio nitoleee hiyo. Yaani wasianze zile za oooh baba anaumwa tumtumie pesa kidogo ajiuguze, hiyo ni NO. Jibu hapo ni watumie ile pesa ya mahari.

Na ikitokea wamekuja mjini kumtembelea yeye na binti yao, then watalala hotelini kwa gharama zao na chakula watajitegemea. Waje kupiga story tu.

Wakisema wamlaumu kuwa ana roho mbaya na yeye awaulize walichofanya kipindi cha posa ni tabia za wapi.
 
[emoji28]iyo Itakua revenge sasa kwa wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha haya! Kijana wa watu ana nia njema ya kumstiri mtoto wao tena aliyeteleza, lakini bado wazazi wanaleta mambo mengi yasiyokuwa na msingi.

Nilitegemea hao wazazi wamshukuru Mungu aliyemleta kijana huyo, ili kumstiri mtoto wao ambaye alijikwaa kwa kuzaa nje ya ndoa. Wanamtajia mahari kubwa utafikiri yeye ndiye aliyemzalisha mtoto wa kwanza!

Huyo kijana nae kuna kitu alitakiwa kujifunza kutoka kwenye vuta nikuvute ilionyeshwa na wazazi hao kwa kudai mahari kubwa bila sababu za msingi. Kama wazazi hao wameonyesha utata kwenye jambo lisilohitaji utata itakuwaje huko mbeleni?​
 
Duh ndoa imekuwa biashara!

Ingelikuwa mimi ndio huyo mwanaume ningemuacha huyo binti azalie mtoto wa pili kwao.Nakuhakikishia hao wazazi wangekubali hata mahari ya laki 5.

Ndoa ni baraka sio chanzo cha kuongeza uchumi.Kwani yeye binti mwenyewe anasemaje?Hamuonii huruma mumewe mtarajiwa anaanza kuingia na madeni ya mikopo kabla ya ndoa yenyewe? Na hapo kuna mtoto anatarajiwa pia ambae atahitaji matunzo.Lazima afikirie kuhusu future yao.

Wahenga wanasema jikune unapojifikia.Mimi sishauri hio ndoa ifungwe kwa shurti alizowekewa huyo kaka,its not worthy it!
 
Mwambie asitake sifa Ukweni kama vipi apige chini tu
 
Sasa hata huy bint haon hali ya mtu wake akaongea na wazaz wake yan mpka anafkia hatua yakuuza vitu na mkopo juu Sasa kwnye hyo ndio wataanza kuish vip au ndio kaz yakulipa madeni tu vitu vingn vinahitaj akil kdog tu
 
Kwa hiyo kanunua single maza kwa mil 3 angejifanya kama amesusa wangemtafuta wenyewe wampe bure

Kwa hiyo kanunua single maza kwa mil 3 angejifanya kama amesusa wangemtafuta wenyewe wampe bure
Jamaa nae ni boya tuu.... Kijana mdogo unaenda kuoa mwanamke aliyeskwisha zaa.... Ni uzwazwa huo... Angewaachia tuu akatafute binti Mbona wako wengi tuu
 
Kawaida sana hii huko Ukweni kwangu karagwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…