Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

Binti kuzalishwa na kuachwaisha anakuja kijana anajitolea kumchukua pamoja na kuzalishwa kwake, inabidi mzazi asgukuru, na lakini hao ndo kwanza na mahali inapanda eti na ya uchafuzi😁😁😁, mtu hajakuta hata bikra na kabla ya mechi tayari 1:0, Yan m naona wao ndo ilibidi wampe posho kijana kawaondolea aibu.
 
Huyo kijana mpuuzi

Akikaa mtaan anailaumu serikali ajira hakuna tuishen wanafunz hawalipi vuzur

Lakn swala la.KUTOMBA kaona akope auze vitu vya ndan na kiwanja juu kaweka bond

Kwann hyo NGUVU ya kuuza vitu vya ndan na kuweka bond kiwanja angeihamishia kupata MTAJI WA BIASHARA ambao ungemhakikishia uhakika wa kufanya biashara vizur na kupitia hyo biashara angepata pesa ya kutoa mahali

Kwa umri wake wa miaka 25 angepambana kwenye biashara angekuwa mbali

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kutemana na wife,nikaanza mchakato wa kutafuta toleo jingine kwa ajili ya kusongesha maisha kwani aliniachia watoto wa4 hivyo nilihitaji mtu wa kusaidiana nae nikapata binti fulani 18yrs lakini tayari ana mtoto 2yrs, nikaona isiwe tabu maana kuna kaundugu kwa mbali nikaona huyu atanifaa,posa nikatoa 60,000/=balaa ikaja mahali, nikaambiwa nitoe ng'ombe wa4 na mbuzi 6, ktk kujitetea mama akasema kama huna mahari hiyo muache mwanangu maana ww ndo mwenye shida ya kulelewa watoto, mama mzazi akaniplease mwanangu mchukue tu maadamu mahari utatoa nusu nyingine utamaliza taratibu, nikawaambia hamna shida kwa mahari hii mimi nataka mke tu mtoto abaki na bibi yake, nikajibiwa na mama mkwe huyu mtoto ni wako kama unataka mke na mtoto pia ni wako, ikawa shida kidogo maana baba wa mtoto aliyezaa na binti anamtaka mwanae wazazi wa binti hawataki wanasema aliyemtolea mahari binti ndo mwenye mtoto. Itaendelea
 
Angeongia mitini Kama akili azijawarejeaa wale wazaz badal washukuru mtu kajileta mwenyewe bila shurt wao wanaweka masharti.
 
Umelazimishwa kulipa mahari?
 
Ulistahiki uchumbie Binti mkubwa kidogo zaidi ya huyo wa miaka 18 maana umri huo bado sio mkomavu wa kuvumilia mikwaruzo ya kwenye ndoa na atakuwa na tabia za kufanana na watoto wako.

Kwa story yako ni wazi hao wazazi wa huyo binti waliona muhitaji mkubwa wa kupata msaidizi ulikuwa wewe kwa kuwa una watoto wengi kuliko binti yao ndio maana wamepata uthubutu wa kuweka vikwazo.
 
Inaendelea.

Baada mzozo kati ya baba wa mtoto na ndg wa binti,ikaamriwa binti aondoke na mwanae kuja ninakoishi ili kufanya taratibu za ndoa,baada ya kuwasili kwangu siku tatu nikaanza kupigwa pesa,kumbuka wakati huo mahari sijatoa hata buku,ikaja taarifa mama mkwe kadondoka kilabuni hivyo natakiwa nitume 30,000/= ya kumtibia,nikamwambia binti hivi mama ameenda kunywa pombe za kienyeji kaumia ni lazina mm nimtibie? Binti akanikata jicho siku nzima amenuna,nikawa simwelewi binti muda wt anaongea na simu nikiwepo snatoka hatua kidogo ndo anaongea na simu.

Nikaona haina shida nikapita sehemu nikanunua memory card 8Gb nikaipachika kwnye simu ya binti nikaiset auto record,baada ya siku tatu nikaitoa kwny simu yake nikaiweka kwa simu yangu,mambo niliyoyakuta humo ni balaa tupu,wanamjaza maneno 'huyo mwanaume asikusumbue yy ndo mwny shida kukuacha hawezi,ukiona haeleweki au hataki kusaidia nyumbani kwenu wewe mnunie hata wiki nzima hana ujanja huyo',wengine wanamwambia jitahidi akupachike mimba ndo utakuwa na uhakika.

ila kusema ukweli yule bint kitandani sijawahi kutana na mwanamke gaidi kitandani kama huyu binti yaani mnaweza mkatiana mpaka ukahisi shahawa zimeisha aisee,ukitoka job ukifika chumbani tayari kafunga mlango mboo mdomoni hujakaa sawa tayari kaishaipachika sehemu yaani ilikuwa ni shida,ukimweleza nimechoka ngoja nipumzike atasusa kuwa umetoka kwa hawara zako ndo waliokuchosha,.

Basi bwana tukaendelea na maisha ya wiki kasusa wiki mambo mambo mazuri,alichokuja kuharibu ni kuanza kunyanyasa watoto wangu yaani hapo ndo nikaamua kuwajulisha wazazi wake jambo lililopelekea zoezi la kususa wiki mbili mfululizo.

Baada ya muda akaanza kudai nimrudishe kwao,nikajua kama kawaida mm ndo mwenye shida nikawa nimeuchuna,nikaja pigiwa simu na mama yake mzazi ananiuliza huyu mfanyakazi wako unamrudisha lini? Kitendo cha kuniuliza mfanyakazi wako badala mke wako kiliniuma sana.Kumbuka lengo ni kunitikisa kama walivyokubaliana,nikamjibi sina nauri asubiri mwisho wa mwezi nitamrejesha,akanijibu hovyo nikapotezea.

Jioni hiyo nikawaza huu ujinga hadi lini? Nikapata jibu huyu binti kesho alfajr namsafirisha ghafla kumrejesha kwao bila kutoa taarifa kwao.

Itaendelea.
 
Doooohhh huyo kijana karogwa siyo bure, mwanamke uliyempa mimba na bado unalazimika had kuuza vtu na kukopa kulipa mahari?

mimi binafsi ningeghairi, na wangeniita tena ningewaambia nina milion 1 tu

bint alishazalishwa na ana mimba juu ndo unikomoe ktk mahari?

Amejiendesha kwa hisia mno
 
[emoji28][emoji28]kwaiyo kijana apewe posho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kanjibai hayo maswali usituulize sisi nenda kawaulize hao wazazi wa huyo binti ambae unataka kumuoa.
Usituchoshe akili kututwanga maswali yote na kututaka tukujib as if sisi ndio wakweo watarajiwa(yaan wazazi wa huyo mchumba wako)
 
Huyo rafiki yako mpumbavu sana. Tena sana sana sana. Lofa wa mwisho kabisa. Na huyo binti hana akili.

Ningekua ndo kijana nimeshachapa zangu mimba nasepa. Bakini na litoto lenu. Yaan hiyo fine ndo ujinga kabisa. Kama alizalishwa na akaachwa nini sababu ilifanya atemwe? Familia za kimasikini tatizo sana. Niko against na mahari sana. Mkaja wa mama ndo nadhani kitu cha thamani. Mengine mbwembwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…