Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

Mapenzi yanampeleka puta kijana
 
Walitaka kukuchukulia zoba zoba flani wkt unamsitiri binti yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote tu na mtoa mada kundi moja
 
Wazazi nao tatizo utawasikia "nimetumia hela nyingi kumsomesha mtoto wangu........",ndio maana wengine wanazalisha wanasogezana wanakaa wenyewe,mwisho wa siku mzazi mwenyewe anaomba kuongea na mkwe wake ili amuoe mwanae.
 
Aafu unakuta umeletewa na mtoto asiye wako
 
Nashaanga sana familia zinazo endekeza mila za hovyo kama hiyo ya kumpiga fine mwanaume,hivi wanajiulizaga kama huyo mwanaume angeamua kukataa mimba hiyo fine wangempiga nani? Angeamua kukataa kumuoa hiyo fine wangempiga nani? Ilipaswa washukur kwanza kwa huyo kijana kuwa tayari kumuoa binti yao na amekua muungwana kwako.
 
Okey, sawa, tuseme fine ziwepo ili vijana wafate taratibu zinazotakiwa. Kwanini fine iwe ya kukomoana? Na lwa huyo aliyemzalisha je? Hayo mazingira ya binti yao hawayaoni ama? Huyo binti hap ndo malaika? Hakujua kama hayukonsalama atashika mimba?
 
Okey, sawa, tuseme fine ziwepo ili vijana wafate taratibu zinazotakiwa. Kwanini fine iwe ya kukomoana? Na lwa huyo aliyemzalisha je? Hayo mazingira ya binti yao hawayaoni ama? Huyo binti hap ndo malaika? Hakujua kama hayukonsalama atashika mimba?
Sasa hapo itakuwa wanamuadhibu mwanaume tu kwa kumpiga fine,hali ya kuwa binti alimpelekea jamaa ili wastarehe pamoja.ndo maana mimi sioni logic hapo ya fine
 
Ningekuwa ni mimi, ningewapa laki nane na ningeanza rasmi kuishi na huyo binti na hakuna chochote ambacho wangeweza kunifanya.
 
Binti kama sio bikra automatic anakuwa valueless. Hii ni kwa wenye imani tu.
 
Siwezi kuuza vitu vyangu kwa ajili ya kutoa mahari. Nitafanya biashara au kutafut pesa kwa kazi zangu ila siyo kwa kukopa. Hata kama tuna mtoto, nitalea tu
Huyo jamaa atakuwa ni limbukeni wa mapenzi tu.
Ni KERO sana, unabaki unajiuliza huu Ni ustaarabu wa namna gani kwa jamii yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…