Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Makini ndo vitu gani?
 
Mkuu nimekuelewa. Kama unaona kero kukumbatiana na wake za watu, hamia kule wanakokaa wasichana ili wasaa wa makumbatiano ukifika uibue kimwana spinister ambaye jimbo liko wazi.
 
Kama tunaanza mizagamuano hakuna mapenzi hapa. We sema upwiru umekaba
Madhara ya kufunga PM, mwamba analazimika kumwaga yote hapa. Kama vipi msabahi PM kwake michapo iendelee.
 
Hahahaha hata mimi kwa kweli sipendagi huu upuuzi. Huwa sigeukiagi jirani wa mtu wala nini. Na nimehamia misa ya kingereza huko hamna mambo mengi wanafuata liturgy kama ilivyo. Kwanza si mnajua unavyochoka kukiongea kinge kama sio lugha yako ya kwanza. KKKT wameanza kuwa na mambo mengi na itafutwe platform ya kuadress hivi vitu.
 
He he hee unanipa raha leo
Hutasikia tena wala kuona lile jina lenye sijui my damned nini nini😁😁😁Sasa hivi ni mwendo wa dear Demi wangu😁

and I promise to never fall in love with a stranger
 
Sasa km kipimo kidgo icho kinakushinda uko Mbinguni utafikaje sasa
Majaribu ya Mungu ayo na Ata Yesu mwana wa Mungu alijalibiwa na shetani na kushinda majaribu sasa ww majaribu madogo ayo yanakushinda ad unataka serikal iingilie kati je na kwenda Mbinguni utaomba serikal ya Samia iingilie kati
 
Hutasikia tena wala kuona lile jina lenye sijui my damned nini nini😁😁😁Sasa hivi ni mwendo wa dear Demi wangu😁

and I promise to never fall in love with a stranger
But i am a stranger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…