Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Hayo ya Mungu mlezi mkadanganyane huko masdij na kitabu chenu. Sisi tuna Mungu original sio mlezi
Unarejea Aya za kitabu hicho ambacho ujio wake ndio umeleta upotoshwaji huu mkuu? fikiria, mtu anaibuka miaka 500 baada ya kristu, anadai eti kadhushiwa kitabu ambacho Aya zake nyinginzinapotosha ambayo tayari yalikuwa yameandikwa kwenye biblia.Anakuja kuhalalisha kuwa makini ni viumbe wazuri wakati biblia ilishatbua kuwa makini yote ni mashetani hata yskijifanya mema, miradi yote wanayofanya kwa mwanadamu ni kumteka mwanadamu huyo, Kuna nini Cha kutafakari kwenye dini hiyo? Wewe wadhani dini inayokubali makini Mungu wao ni nani,? wewe wadhani kitabu ambacho kinawatbua makini na kuweka Aya kibao za makini kwenye kitabu hicho, mwandishi wake ni nani? Tafakari chukua hatua. Ila ukiendelea kuwa na UBONGO wa kukaririshwa zile Aya kwa viboko na kuimba huko madrasa kwamba kilishushwa halafu tena kilikuwepo tangu zamani utaendelea kuamini hivyo hivyo .Ogopa Sana elimu yoyote ya kukaririshwa hupofusha matumizi ya UBONGO wako
Makini ndo vitu gani?
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Mkuu nimekuelewa. Kama unaona kero kukumbatiana na wake za watu, hamia kule wanakokaa wasichana ili wasaa wa makumbatiano ukifika uibue kimwana spinister ambaye jimbo liko wazi.
 
Kama tunaanza mizagamuano hakuna mapenzi hapa. We sema upwiru umekaba
Madhara ya kufunga PM, mwamba analazimika kumwaga yote hapa. Kama vipi msabahi PM kwake michapo iendelee.
 
Hahahaha hata mimi kwa kweli sipendagi huu upuuzi. Huwa sigeukiagi jirani wa mtu wala nini. Na nimehamia misa ya kingereza huko hamna mambo mengi wanafuata liturgy kama ilivyo. Kwanza si mnajua unavyochoka kukiongea kinge kama sio lugha yako ya kwanza. KKKT wameanza kuwa na mambo mengi na itafutwe platform ya kuadress hivi vitu.
 
Sasa km kipimo kidgo icho kinakushinda uko Mbinguni utafikaje sasa
Majaribu ya Mungu ayo na Ata Yesu mwana wa Mungu alijalibiwa na shetani na kushinda majaribu sasa ww majaribu madogo ayo yanakushinda ad unataka serikal iingilie kati je na kwenda Mbinguni utaomba serikal ya Samia iingilie kati
 
Back
Top Bottom