Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Unaenda wapi kuja hapa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaenda wapi kuja hapa..
Makini ndo vitu gani?Hayo ya Mungu mlezi mkadanganyane huko masdij na kitabu chenu. Sisi tuna Mungu original sio mlezi
Unarejea Aya za kitabu hicho ambacho ujio wake ndio umeleta upotoshwaji huu mkuu? fikiria, mtu anaibuka miaka 500 baada ya kristu, anadai eti kadhushiwa kitabu ambacho Aya zake nyinginzinapotosha ambayo tayari yalikuwa yameandikwa kwenye biblia.Anakuja kuhalalisha kuwa makini ni viumbe wazuri wakati biblia ilishatbua kuwa makini yote ni mashetani hata yskijifanya mema, miradi yote wanayofanya kwa mwanadamu ni kumteka mwanadamu huyo, Kuna nini Cha kutafakari kwenye dini hiyo? Wewe wadhani dini inayokubali makini Mungu wao ni nani,? wewe wadhani kitabu ambacho kinawatbua makini na kuweka Aya kibao za makini kwenye kitabu hicho, mwandishi wake ni nani? Tafakari chukua hatua. Ila ukiendelea kuwa na UBONGO wa kukaririshwa zile Aya kwa viboko na kuimba huko madrasa kwamba kilishushwa halafu tena kilikuwepo tangu zamani utaendelea kuamini hivyo hivyo .Ogopa Sana elimu yoyote ya kukaririshwa hupofusha matumizi ya UBONGO wako
Na upande wa pili wa kwako na WA mpenzi wako atakaa nani?Unapoingia kanisani hakikisha unakaa na mke wako karibu au mpenzi wako.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Lakini umesahau kuwa bar ikifungwa huo upendo huhamishiwa lodgeAcha hizo ni upendo tuu mbona bar tunapeana hug,tunagonga glass,tunanunuliana pombe tunakaribishana nyama ni upendo tuuu
Kbs .Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Auto phone edditer, kwa mtumiaji wa simu za android usingeuliza hili niliandika MAJINIMakini ndo vitu gani?
Mkuu nimekuelewa. Kama unaona kero kukumbatiana na wake za watu, hamia kule wanakokaa wasichana ili wasaa wa makumbatiano ukifika uibue kimwana spinister ambaye jimbo liko wazi.Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.
Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.
Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Lakini umesahau kuwa bar ikifungwa huo upendo huhamishiwa lodge
Madhara ya kufunga PM, mwamba analazimika kumwaga yote hapa. Kama vipi msabahi PM kwake michapo iendelee.Kama tunaanza mizagamuano hakuna mapenzi hapa. We sema upwiru umekaba
Mkuu umejuaje nimefunga PM? Umetest?Madhara ya kufunga PM, mwamba analazimika kumwaga yote hapa. Kama vipi msabahi PM kwake michapo iendelee.
Nimeona mahali analalamika. Msikilize, ana hoja.Mkuu umejuaje nimefunga PM? Umetest?
Ni upwiru unamsumbua kesho tu atakuwa sawaNimeona mahali analalamika. Msikilize, ana hoja.
Upwiru natupa kule,nampenda Demi wangu.All my life I prayed for someone like youKama tunaanza mizagamuano hakuna mapenzi hapa. We sema upwiru umekaba
Hutasikia tena wala kuona lile jina lenye sijui my damned nini nini😁😁😁Sasa hivi ni mwendo wa dear Demi wangu😁He he hee unanipa raha leo