Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Ukizungumzia hilo wapo wanaopata hamu ya ushoga kupitia mgusano huohuo
 
Njoo huku kwa Ngalalekumtwa.
 
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Hizi ni shida zako mkuu sababu wadada wazuri tunakutana na kujumuika nao kwa kugusana, kuongeleshana na kutazamana kwa ukaribu sehemu nyingi tu mathalani kwenye daladala, supermarkets, kwenye masanga n.k...

Tamaa zako mwenyewe ndio zitakuongoza kwenda hatua inayofuata...
 
Kwani kanisani hakuna majini????



Usitafute kuharibu uzi ,ukitaka ligi fungua uzi wako watu watakuja kuchangia huko.


View attachment 2744794
Sio sera ya kanisa kama ilivyo kwenu. Ninyi Kuna Aya kabisa za kuyaita ,kuyatengeneza na kuyatumia majini ( mashetani), Nimetembea karibu Tanzania nzima Kila nje ya nyumba zenu za ibada Kuna vijana wanauza madawa na kutoa tiba za kienyeji.Kwenu mtu akifuga majini (mashetani) anasifiwa kwa kuitwa mamwinyi au masharifu.Kwetu akikengeuka mtu na kujifunza majini au ushirikina akigundulika anafungiwa na kutengwa
 
Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Na upande mwingine atakaa nani?
 
...kampun ya aim global ina hako ka tabia... Hii tabia isifike kwenye mabasi... nakemea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…