Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hiyo ya kukumbatiana haijafika huku kwetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafika tu mkiss jirani yako.Hiyo ya kukumbatiana haijafika huku kwetu
Ukizungumzia hilo wapo wanaopata hamu ya ushoga kupitia mgusano huohuoMimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.
Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
SidhaniItafika tu mkiss jirani yako.
NakaziaIngekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Yaani akasali sehemu Moja na Majin(a.k.a mashetani) wamwombe Mungu mmoja? Yaani hapo ndio unamdumbukiza shimoni kabisa
Njoo huku kwa Ngalalekumtwa.Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.
Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.
Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.
Ni sahihiSamahani naomba kuuliza na majini nao wataingia peponi wale majini wema wanaoswali na kufunga ramadhan
🤣🤣🤣Tutafika tumechoka 😂😂😂
Kwani huwa ni lazima kugeukiana, nikiwa na mawazo yangu kichwa wala huwa sihangaiki kugeuka au kupunga mkonoYaani akasali sehemu Moja na Majin(a.k.a mashetani) wamwombe Mungu mmoja? Yaani hapo ndio unamdumbukiza shimoni kabisa
Sio sera ya kanisa kama ilivyo kwenu. Ninyi Kuna Aya kabisa za kuyaita ,kuyatengeneza na kuyatumia majini ( mashetani), Nimetembea karibu Tanzania nzima Kila nje ya nyumba zenu za ibada Kuna vijana wanauza madawa na kutoa tiba za kienyeji.Kwenu mtu akifuga majini (mashetani) anasifiwa kwa kuitwa mamwinyi au masharifu.Kwetu akikengeuka mtu na kujifunza majini au ushirikina akigundulika anafungiwa na kutengwaKwani kanisani hakuna majini????
Usitafute kuharibu uzi ,ukitaka ligi fungua uzi wako watu watakuja kuchangia huko.
View attachment 2744794
Na upande mwingine atakaa nani?Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
BoraKwani huwa ni lazima kugeukiana, nikiwa na mawazo yangu kichwa wala huwa sihangaiki kugeuka au kupunga mkono