Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Fungua kichwa chako kifanye kazi;

Mungu Mlezi anasema wazi "Hakuwaumba wanadamu na majini ILA KWA LENGO MOJA TU LA KUMWABUDU NA KUMTUKUZA YEYE TU" sasa hili la WAISLAM kuabudu Majini unalitoa wapi???

Unastaajabisha huamini uwepo wa MAJINI kama viumbe ambao kuna wema na waovu LAKINI unaamini uwepo wa SHETANI NA MALAIKA WASIOONEKANA!!!!

Mungu kaumba viumbe wengi sana tunaowafahamu na tusiowafahamu!!!

Vyote vipo katika elimu yake.....

Achana na ngano na MASIMULIZI MUABUDU MOLA MOJA ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE....
Hayo ya Mungu mlezi mkadanganyane huko masdij na kitabu chenu. Sisi tuna Mungu original sio mlezi
Unarejea Aya za kitabu hicho ambacho ujio wake ndio umeleta upotoshwaji huu mkuu? fikiria, mtu anaibuka miaka 500 baada ya kristu, anadai eti kadhushiwa kitabu ambacho Aya zake nyinginzinapotosha ambayo tayari yalikuwa yameandikwa kwenye biblia.Anakuja kuhalalisha kuwa makini ni viumbe wazuri wakati biblia ilishatbua kuwa makini yote ni mashetani hata yskijifanya mema, miradi yote wanayofanya kwa mwanadamu ni kumteka mwanadamu huyo, Kuna nini Cha kutafakari kwenye dini hiyo? Wewe wadhani dini inayokubali makini Mungu wao ni nani,? wewe wadhani kitabu ambacho kinawatbua makini na kuweka Aya kibao za makini kwenye kitabu hicho, mwandishi wake ni nani? Tafakari chukua hatua. Ila ukiendelea kuwa na UBONGO wa kukaririshwa zile Aya kwa viboko na kuimba huko madrasa kwamba kilishushwa halafu tena kilikuwepo tangu zamani utaendelea kuamini hivyo hivyo .Ogopa Sana elimu yoyote ya kukaririshwa hupofusha matumizi ya UBONGO wako
 
Fungua kichwa chako kifanye kazi;

Mungu Mlezi anasema wazi "Hakuwaumba wanadamu na majini ILA KWA LENGO MOJA TU LA KUMWABUDU NA KUMTUKUZA YEYE TU" sasa hili la WAISLAM kuabudu Majini unalitoa wapi???

Unastaajabisha huamini uwepo wa MAJINI kama viumbe ambao kuna wema na waovu LAKINI unaamini uwepo wa SHETANI NA MALAIKA WASIOONEKANA!!!!

Mungu kaumba viumbe wengi sana tunaowafahamu na tusiowafahamu!!!

Vyote vipo katika elimu yake.....

Achana na ngano na MASIMULIZI MUABUDU MOLA MOJA ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE....
Ni kweli hana mshirika ni mmoja. Je kuna Jiwe lingine jeusi si ni lile moja mnalisujudia na kuliabudu?
main-qimg-d5b66cc3de50737321d2a2cca162aa4f.jpg
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT Sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga kanisani ni pale mchungaji anakuwa anahubiri Mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri Mweupee ana shepu pale pale unahama kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat. Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati
mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika. Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo.
Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Hii imeendaa
 
Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Kimsingi mchungaji hategemei ugeuke kusalimia mke/mume uliyetoka naye nyumbani kwani haina maana yoyote; badala yake anategemea usalimiane na muumini mliyekutana kanisani siku hiyo ili kujenga umoja.
Hivyo mtoa mada ana hoja ya kuangalia.......
 
Nakubaliana na mleta mada... zamani makanisani kulikuwa na upande wa wanaume na upande wa wanawake. Sijui wameamua kuchanganya kwa lengo gani. Hili limeleta matatizo mengi hata kuhatarisha maisha ya familia. Makanisa yakitafakari kwenyepangilio wa kukaa kati ya wanawake na wanaume

Huu nao ni ubinafsi.... Kwani hawezi kumkumbatia yeyote aliyeko karibu?
Si Bora umkumbatie huyo yeyote bila kubagua! Huyu mwamba amemlenga na kumpamba kuwa ni Pisi kali na ana hela 🤔
 
Ni kweli hana mshirika ni mmoja. Je kuna Jiwe lingine jeusi si ni lile moja mnalisujudia na kuliabudu? View attachment 2744688
"(3:97) In it there are clear signs and the station of Abraham; whoever enters it becomes secure. Pilgrimage to the House is a duty owed to Allah by all who can make their way to it. As for those who refuse to follow His command, surely Allah does not stand in need of anything."
 
Kimsingi mchungaji hategemei ugeuke kusalimia mke/mume uliyetoka naye nyumbani kwani haina maana yoyote; badala yake anategemea usalimiane na muumini mliyekutana kanisani uli kujenga umoja...
Hivyo kuna tatizo hapa.......
Matokeo yake ni Nini ?
 
"(3:97) In it there are clear signs and the station of Abraham; whoever enters it becomes secure. Pilgrimage to the House is a duty owed to Allah by all who can make their way to it. As for those who refuse to follow His command, surely Allah does not stand in need of anything."
Kwa hakika WAISLAM hawaabudu jiwe jeusi,

Ukitaka unaweza kueleweshwa ibada nzima ya hija, alama, matukio mbalimbali yanayohusiana ibada husika....

Kaaba ni Msikiti wa mwanzo kujengwa kwa ajili ya kuabudiwa MOLA MLEZI ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE, na umejengwa na IBRAHIM na Mwanaye Aliyihimu salam na tumeamrishwa kuswali tukielekea Msikiti huu katika ibada zetu na KUZURU angalau mara moja katika UMRI wetu

Shida ni uchache wa elimu na uvivu wa kujifunza!!! Lete rejea kutoka kwenye MAANDIKO yaani Qur'an na authentic ahadith na siyo NGANO ZA KUSIMULIWA
 
Hakuna tofauti Kati ya ukristo na uislam Sema Ukristo umechakachuliwa na wazungu Uislam umechakachuliwa na waarabu. Cha ajabu dini zote Duniani zimeanzia uarabuni.
 
Hakuna tofauti Kati ya ukristo na uislam Sema Ukristo umechakachuliwa na wazungu Uislam umechakachuliwa na waarabu. Cha ajabu dini zote Duniani zimeanzia uarabuni.
Unashindwa kuunganisha DOTS.... aliyewaleta mitume wote KUANZIA NUHU hadi MUHAMMAD Rehema na amani ziwe juu yao ni MOLA MLEZI MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA NA VYOTE VILIVYOMO!!!

UISLAM ndiyo dini ya Mitume wote na MUHAMMAD Rehema na amani ziwe juu yake ndiyo MTUME WA MWISHO...

Vitabu vyote vilivyotangulia vilikuwa specific kwa mataifa husika ISIPOKUWA QUR'AN ndiyo IMELETWA KWA WANADAMU WOTE KWA NYAKATI ZOTE ZILIZOBAKIA ikiwa ni COMPREHENSIVE GUIDANCE kwa wanadam katika NYANJA ZOTE!! siasa, sheria, biashara, afya, maendeleo ya jami, uchumi, malezi na adabu n.k

QUR'AN ni katiba kamili inayoweza kuongoza, kuhukumu n.k katika maisha yote ya mwanadamu!!

hakuna COMPREHENSIVE BOOK ever existed, currently in existence or to came that will match QUR'AN!!!!!

Tenga muda kisome kitabu hiki hutajutia!!! Kwanza kabisa you will find peace and tranquility of your HEART....
 
Fungua kichwa chako kifanye kazi;

Mungu Mlezi anasema wazi "Hakuwaumba wanadamu na majini ILA KWA LENGO MOJA TU LA KUMWABUDU NA KUMTUKUZA YEYE TU" sasa hili la WAISLAM kuabudu Majini unalitoa wapi???

Unastaajabisha huamini uwepo wa MAJINI kama viumbe ambao kuna wema na waovu LAKINI unaamini uwepo wa SHETANI NA MALAIKA WASIOONEKANA!!!!

Mungu kaumba viumbe wengi sana tunaowafahamu na tusiowafahamu!!!

Vyote vipo katika elimu yake.....

Achana na ngano na MASIMULIZI MUABUDU MOLA MOJA ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE....
Samahani naomba kuuliza na majini nao wataingia peponi wale majini wema wanaoswali na kufunga ramadhan
 
Ni kweli hana mshirika ni mmoja. Je kuna Jiwe lingine jeusi si ni lile moja mnalisujudia na kuliabudu? View attachment 2744688

Naomba nikupe Elimu kuhusu jiwe jeusi kwa kifupi sana;
Alkaaba ilijengwa na Ibrahim na mwanae Ismail kwa maelekezo ya Mungu ili wanadamu wapate pa kuelekea wakati wanafanya Ibada. Jiwe alilotumia Ibrahim (kama ngazi) kusimama ili ajenge sehemu ya juu ya Alkaaba lipo hadi leo hapo pembeni ya alkaaba (kwa nje) na lina alama ya Unyayo wake (usiniulize aliwezaje kubonyeza jiwe kwa miguu yake)
Kuhusu jiwe jeusi; Baada ya Ibrahim kukamilisha ujenzi wa alkaaba, alisema aweke alama hata huko baadae kama alkaaba itajengwa upya watu wajue eneo halisi ilipo jengwa; Ili kuweka alama ndio akatafuta jiwe la tofauti na yaliyokuwepo eneo hilo akapata jiwe la tofauti akaliweka (ndilo watu huita jiwe jeusi)
Kwa maelezo hayo; hilo jiwe liliwekwa kama alama ya kuonesha alkaaba ilipojengwa na sio vinginevyo...

Kwa kifupi sana hayo ndio maelezo yake wala hakuna mtu anaye abudu jiwe jeusi; ni UPOTOSHAJI !!!
Usikubali kudanganywa na wasio na Elimu huko mtaani au wanaopotosha uislam kwa manufaa yao binafsi....
 
Naomba nikupe Elimu kuhusu jiwe jeusi kwa kifupi sana;
Alkaaba ilijengwa na Ibrahim na mwanae Ismail kwa maelekezo ya Mungu ili wanadamu wapate pa kuelekea wakati wanafanya Ibada. Jiwe alilotumia Ibrahim (kama ngazi) kusimama ili ajenge sehemu ya juu ya Alkaaba lipo hadi leo hapo pembeni ya alkaaba (kwa nje) na lina alama ya Unyayo wake (usiniulize aliwezaje kubonyeza jiwe kwa miguu yake)
Kuhusu jiwe jeusi; Baada ya Ibrahim kukamilisha ujenzi wa alkaaba, alisema aweke alama hata huko baadae kama alkaaba itajengwa upya watu wajue eneo halisi ilipo jengwa; Ndio akatafuta jiwe la tofauti na yaliyokuwepo eneo hilo akapata jiwe tofauti akaliweka (lipo hadi leo ndilo watu huita jiwe jeiusi)
Kwa maelezo hayo; hilo jiwe liliwekwa kama alama ya kuonesha alkaaba ilipojenjwa na sio vinginevyo...

Kwa kifupi sana hayo ndio maelezo yake;
Usikubali kudanganywa na wasio na Elimu huko mtaani au wanaopotosha uislam kwa manufaa yao binafsi....
Karibu tukuelimishe!!!
Haya tumewaelewa mgeukie mwenzako mwambie Mimi ni handsome
 
Back
Top Bottom