Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
- #41
Ndio Mimi vipi unamchongo mwana tupeane mahela.Hivi ww ndio yule jamaa wa redioni anajiita pascal ndege wa kilimapofu au ni majina yamefanana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Mimi vipi unamchongo mwana tupeane mahela.Hivi ww ndio yule jamaa wa redioni anajiita pascal ndege wa kilimapofu au ni majina yamefanana
Hayo ya Mungu mlezi mkadanganyane huko masdij na kitabu chenu. Sisi tuna Mungu original sio mleziFungua kichwa chako kifanye kazi;
Mungu Mlezi anasema wazi "Hakuwaumba wanadamu na majini ILA KWA LENGO MOJA TU LA KUMWABUDU NA KUMTUKUZA YEYE TU" sasa hili la WAISLAM kuabudu Majini unalitoa wapi???
Unastaajabisha huamini uwepo wa MAJINI kama viumbe ambao kuna wema na waovu LAKINI unaamini uwepo wa SHETANI NA MALAIKA WASIOONEKANA!!!!
Mungu kaumba viumbe wengi sana tunaowafahamu na tusiowafahamu!!!
Vyote vipo katika elimu yake.....
Achana na ngano na MASIMULIZI MUABUDU MOLA MOJA ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE....
Huu nao ni ubinafsi.... Kwani hawezi kumkumbatia yeyote aliyeko karibu?Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Ni kweli hana mshirika ni mmoja. Je kuna Jiwe lingine jeusi si ni lile moja mnalisujudia na kuliabudu?Fungua kichwa chako kifanye kazi;
Mungu Mlezi anasema wazi "Hakuwaumba wanadamu na majini ILA KWA LENGO MOJA TU LA KUMWABUDU NA KUMTUKUZA YEYE TU" sasa hili la WAISLAM kuabudu Majini unalitoa wapi???
Unastaajabisha huamini uwepo wa MAJINI kama viumbe ambao kuna wema na waovu LAKINI unaamini uwepo wa SHETANI NA MALAIKA WASIOONEKANA!!!!
Mungu kaumba viumbe wengi sana tunaowafahamu na tusiowafahamu!!!
Vyote vipo katika elimu yake.....
Achana na ngano na MASIMULIZI MUABUDU MOLA MOJA ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE....
Hii imeendaaMimi ni muumini wa kanisa la KKKT Sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga kanisani ni pale mchungaji anakuwa anahubiri Mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri Mweupee ana shepu pale pale unahama kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat. Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati
mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika. Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo.
Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Kimsingi mchungaji hategemei ugeuke kusalimia mke/mume uliyetoka naye nyumbani kwani haina maana yoyote; badala yake anategemea usalimiane na muumini mliyekutana kanisani siku hiyo ili kujenga umoja.Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Nakubaliana na mleta mada... zamani makanisani kulikuwa na upande wa wanaume na upande wa wanawake. Sijui wameamua kuchanganya kwa lengo gani. Hili limeleta matatizo mengi hata kuhatarisha maisha ya familia. Makanisa yakitafakari kwenyepangilio wa kukaa kati ya wanawake na wanaume
Si Bora umkumbatie huyo yeyote bila kubagua! Huyu mwamba amemlenga na kumpamba kuwa ni Pisi kali na ana hela 🤔Huu nao ni ubinafsi.... Kwani hawezi kumkumbatia yeyote aliyeko karibu?
"(3:97) In it there are clear signs and the station of Abraham; whoever enters it becomes secure. Pilgrimage to the House is a duty owed to Allah by all who can make their way to it. As for those who refuse to follow His command, surely Allah does not stand in need of anything."Ni kweli hana mshirika ni mmoja. Je kuna Jiwe lingine jeusi si ni lile moja mnalisujudia na kuliabudu? View attachment 2744688
Sina mchongo nilikua naunganisha dots tuNdio Mimi vipi unamchongo mwana tupeane mahela.
Matokeo yake ni Nini ?Kimsingi mchungaji hategemei ugeuke kusalimia mke/mume uliyetoka naye nyumbani kwani haina maana yoyote; badala yake anategemea usalimiane na muumini mliyekutana kanisani uli kujenga umoja...
Hivyo kuna tatizo hapa.......
🤣🤣🤣Huna hata mchongo wa kulima vitunguu mdau.Sina mchongo nilikua naunganisha dots tu
Kwa hakika WAISLAM hawaabudu jiwe jeusi,"(3:97) In it there are clear signs and the station of Abraham; whoever enters it becomes secure. Pilgrimage to the House is a duty owed to Allah by all who can make their way to it. As for those who refuse to follow His command, surely Allah does not stand in need of anything."
Hakuna tofauti Kati ya ukristo na uislam Sema Ukristo umechakachuliwa na wazungu Uislam umechakachuliwa na waarabu. Cha ajabu dini zote Duniani zimeanzia uarabuni.Kwa hakika WAISLAM hawaabudu jiwe jeusi,
Ukitaka unaweza kueleweshwa ibada nzima ya hija, alama, matukio mbalimbali yanayohusiana ibada husika....
Kaaba ni Msikiti wa mwanzo kujengwa kwa ajili ya kuabudiwa MOLA MLEZI ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE, na umejengwa na IBRAHIM na Mwanaye Aliyihimu salam na tumeamrishwa kuswali tukielekea Msikiti huu katika ibada zetu na KUZURU angalau mara moja katika UMRI wetu
Shida ni uchache wa elimu na uvivu wa kujifunza!!! Lete rejea kutoka kwenye MAANDIKO yaani Qur'an na authentic ahadith na siyo NGANO ZA KUSIMULIWA
Unashindwa kuunganisha DOTS.... aliyewaleta mitume wote KUANZIA NUHU hadi MUHAMMAD Rehema na amani ziwe juu yao ni MOLA MLEZI MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA NA VYOTE VILIVYOMO!!!Hakuna tofauti Kati ya ukristo na uislam Sema Ukristo umechakachuliwa na wazungu Uislam umechakachuliwa na waarabu. Cha ajabu dini zote Duniani zimeanzia uarabuni.
Samahani naomba kuuliza na majini nao wataingia peponi wale majini wema wanaoswali na kufunga ramadhanFungua kichwa chako kifanye kazi;
Mungu Mlezi anasema wazi "Hakuwaumba wanadamu na majini ILA KWA LENGO MOJA TU LA KUMWABUDU NA KUMTUKUZA YEYE TU" sasa hili la WAISLAM kuabudu Majini unalitoa wapi???
Unastaajabisha huamini uwepo wa MAJINI kama viumbe ambao kuna wema na waovu LAKINI unaamini uwepo wa SHETANI NA MALAIKA WASIOONEKANA!!!!
Mungu kaumba viumbe wengi sana tunaowafahamu na tusiowafahamu!!!
Vyote vipo katika elimu yake.....
Achana na ngano na MASIMULIZI MUABUDU MOLA MOJA ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE....
Ni kweli hana mshirika ni mmoja. Je kuna Jiwe lingine jeusi si ni lile moja mnalisujudia na kuliabudu? View attachment 2744688
Haya tumewaelewa mgeukie mwenzako mwambie Mimi ni handsomeNaomba nikupe Elimu kuhusu jiwe jeusi kwa kifupi sana;
Alkaaba ilijengwa na Ibrahim na mwanae Ismail kwa maelekezo ya Mungu ili wanadamu wapate pa kuelekea wakati wanafanya Ibada. Jiwe alilotumia Ibrahim (kama ngazi) kusimama ili ajenge sehemu ya juu ya Alkaaba lipo hadi leo hapo pembeni ya alkaaba (kwa nje) na lina alama ya Unyayo wake (usiniulize aliwezaje kubonyeza jiwe kwa miguu yake)
Kuhusu jiwe jeusi; Baada ya Ibrahim kukamilisha ujenzi wa alkaaba, alisema aweke alama hata huko baadae kama alkaaba itajengwa upya watu wajue eneo halisi ilipo jengwa; Ndio akatafuta jiwe la tofauti na yaliyokuwepo eneo hilo akapata jiwe tofauti akaliweka (lipo hadi leo ndilo watu huita jiwe jeiusi)
Kwa maelezo hayo; hilo jiwe liliwekwa kama alama ya kuonesha alkaaba ilipojenjwa na sio vinginevyo...
Kwa kifupi sana hayo ndio maelezo yake;
Usikubali kudanganywa na wasio na Elimu huko mtaani au wanaopotosha uislam kwa manufaa yao binafsi....
Karibu tukuelimishe!!!
Alafu wamepeana na namba kabisa huku ameseviwa kama "mchungaji" ajabu analeta vosingizio kibaoSijasoma yote ila mnajitafutizia sababu tu. Mungu awasaidie.