Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Ndiyo maana hata kipindi cha Yesu wanaume na wanawake walikuwa hawachangamani.

Mwanamke ameolewa, mumewe yupo masomoni Cuba mwaka wa tatu na hamna mawasiliano, mnashikana mikono kwa maagizo ya mtumishi-ananza kupata hisia maana kwa miaka 3 hajawahi kupata tulizo la moyo, hapo unategemea nini kama si uzinzi?
Mkishikana mikono tu ameloa
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Tatizo sio kanisa wala utaratibu wa kanisa ni kile kilichoko ndani ya Moyo wako , kama Moyo wako umeweka uzinzi hata kama uko wapi utawaza Tu uzinzi, weka ndani yako neno la Mungu uone kama utapata hayo matatizo, kumshika MTU mikono nk haikupi uhalali wakuingia katika Matendo ya dhambi kuna nchi hapa duniani wanawaka hawaruhusiwi hata kutembea peke Yao barabarani lakini bado nchonhigo hiyo unaskia wanabakwa na kufanyiwa ukatili ? Kwa hiyo ni tabia ya mtu

Soma hapa

Zaburi 119:9,11
[9]Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?
Kwa kutii, akilifuata neno lako.

[11]Moyoni mwangu nimeliweka neno lako,
Nisije nikakutenda dhambi.

Pitia hapa

Roho ya uzinzi haishindwi kwa Sheria za Mwili za kutokugusana au kushikana Bali kwa Sheria ya Rohoni

Wakolosai 2:23
[23]Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.

Soma habari za Yusufu ,hapa ..
Mwanzo 39:9Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu cho chote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. Nifanyeje ubaya huu mkubwa nikamkose Mungu?

Usije kumkosa Mungu Kwa sababu ya weupe au shepu ya MTU , uzuri ni ubatili Leo upo kesho haupo tulia kwenye ndoa yako hakuna MTu Mbaya duniani ni maamuzi ya nafsi yako Tu , ndio yanaweza kusema Huyu mzuri au Mbaya , hata Bibi alikuwa binti na Mungu akusaidie
 
Jamani kuna viungo vingine havijui kuokoka hapo ni kosa kubwa kkkt wafanye marekebisho. Pia kuwe na ibada watu wakubwa na watoto na wazee.
Kuna wachungaji wanahubiri mambo ya zinaa umekaa na baba na mama mkwe ni aibu tupu.
Wazee wengi wameacha kwenda kanisani Kwa ajili ya makelele ya wanakwaya .prays wanaimba hata nyimbo huzisikii watu wanakata viuno
Ahhhhh jamani.
 
Haya mambo ndio, nyani alikaa jirani na sokwe church, mchungaji akasema mgeukie mwenzako mwambie " wewe ni nzuri sana"

Nyani akamcheki Sokwe, akamwita mchungaji akamwambia " Mwambie " mwenyewe, sitaki dhambi ya uongo.

Uwe unajiongeza.
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
[emoji23][emoji23]
Una point,usikilizwe

Ila ni kero,
Wengine huwa uncomfortable kupeana mikono

Muda wa kupeana mikono ni mwisho wa ibada, Katikati ya ibada ni kero kwa kweli.
 
Tatizo la KKKT Tanzania mmeiga mifumo ya ibada za kilokole, ambazo hazipo ki litrujia na zimejaa usanii
Hakuna Kanisa lililokuwa na HESHIMA hapa nchini kama Kanisa Katoliki kwani mpangilio wake wa ukaaji ni pande mbili kwa maana wa KIUME na KIKE.
Sasa hivi hasa makanisa ya mjini ni kama kumbi za sinema ukaaji. Utamkuta mtu wa jinsia nyingine bila haya akimsukuma mtu kutaka kukaa ilhali upande wake wa kijinsia una nafasi.

Sent from my LLD-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Kutenganisha watu kwa jinsia zao kanisani au nyumba yoyote ya ibada ni ujuha, uzamani na ulimbukeni uliopitwa na wakati. Kuna watu wamejenga ukuta kwenye nyumba zao za ibada kati ya wanawake na wanaume lakini uadherati na tamaa zipo palepale. Na wakristu tunavyochanganyika haimaanishi tunaeaza ngono muda wote. Wapuuzi wachache wapo Kila idara. Kama umesoma shule za co education na wale wanaosoma zisizo na mchanganyiko utawaona ukubwani
 
Hakuna Kanisa lililokuwa na HESHIMA hapa nchini kama Kanisa Katoliki kwani mpangilio wake wa ukaaji ni pande mbili kwa maana wa KIUME na KIKE.
Sasa hivi hasa makanisa ya mjini ni kama kumbi za sinema ukaaji. Utamkuta mtu wa jinsia nyingine bila haya akimsukuma mtu kutaka kukaa ilhali upande wake wa kijinsia una nafasi.

Sent from my LLD-AL00 using JamiiForums mobile app
Hakuna katoliki wanaotenganisha wanaume na wanawake upande wao. Hiyo huwa inatokea tu. Kwamba jinsia flani wamekaa upande huu na nyingine upande huu. Lakini hulazimishwi kwamba kwasababu we ni mwanaume kaa hapa au kule no.
 
Ukaribu wa sana kama kukaa karibu au kugusana baina ya mwanamke na mwanaume wasio husiana basi shetani huwa kati yao na vishawishi na ni lazima mashawishi yatakuwepo kutamaniana kimwili. Inaonesha huyo mhubiri kanisani anawasogeza karibu na vishawishi.
Hutaki majaribio weka umbali baina yenu
 
Unaingia kanisani tena Katoliki unakuta upande wa wanawake bado kuna nafasi ziko wazi lakini wanawake wamejazana upande wa wanaume. Hii inaonyesha wazi kuwa mwanamke anajisikia kuwa na amani akikaa karibu na mwanaume.
[/QUOTE mi mwenyewe huwa nashangaa
 
Natamani siku moja Mchungaji wangu akisema kuwa mgeukie mwenzako na mshike mkono basi nikutane na mkono wa my damned Demi😁😁😁
 
Hivi kwa nini huwa nakupenda sana?!Ingetokea siku ukanipa ningekut*mba hadi uwashe feni ya kupooshea🚶🚶🚶
Daaaaa maajabu haya ujue. Huwa nahisi unanichukia sana, hii ni mara ya pili nakwambia.

Anyway...kama unamaanisha Thanks kwa upendo, ila wapo wanaotombana hata hawapendani ni nyege tu zinawasumbua😀
 
Daaaaa maajabi haya ujue. Huwa nahisi unanichukia sana, hii ni mara ya pili nakwambia.

Anyway...kama unamaanisha Thanks kwa upendo, ila wapo wanaotombana hata hawapendani ni nyege tu zinawasumbua😀
Mimi nataka nikutombe kwa sababu ya kukupenda
 
Back
Top Bottom