Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kwani hao ni walokole?Wee jamaa' kuna kitu kinaitwa wearing code
Kwann padri havai bukta?
Au sister kimini??
Does not matterKwani hao ni walokole?
Utu si mavazi na wokovu si mavazi,hata kama akitembea uchi kama roho yake ni safi haina shida,msikimbilie kusafisha vikombe nje wakati ndani vimejaa ukokoHabari ya mda Huu..
Asilimia kubwa ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, na uwepo huu wa Mungu umeleta Imani tofauti tofauti za ambazo binadamu huziishi. Na Imani hizi zinaheshimiwa, wapo wenzetu waroma, wakatholiki, wapentekoste, kila imani inataratibu zake na miiko yake inayoheshimiwa na kila muumini wa dini hiyo.
Kwa upande wa wapentekoste, sote twajua namna miiko yao ilivyo hasa katika mavazi, tumeona kwa waroma tumeona kwa waanglikana, zaidi sana hata kwa wenzetu waislamu.Uwepo wa dini hizi umekuwa msaada sana kwa jamii hasa kuibadilisha jamii na hasa vijana kuwa na miiko na heshima.
Lakini siku za hivi karibuni, kumekuwepo na wimbi la vijana wanaokimbilia ulokole lakini matendo yao hayaendani na miiko ya kilokole, bika kupepesa pepesa kumekuwa na celebrity huyu anayefahamika kama "Massanja mkandamizaji" ama "Emmanuel Mgaya" huyu amekuwa akijiita PASTOR.
Kumekuwa na malalamiko mengi hasa toka wa vijana wakilokole wakilalamika mienendo ya celebrity huyu na mavazi yake yasiyoendana na miiko ya kilokole, ki ukweki kuna wakati ukimwona ni kama kijana mwingine tu wa mitaani, kuvaa mlegezo, kusuka nywele, kofia kuvalia nyuma, hivi haviendani na miiko ya kikristo.
Kwenye jamii inaonyesha picha kuwa Anajifichia kwenye mwamvuli wa kipentekoste ili hali si mpentekoste...sasa unamdanganya nani massanja? hata moyo wako ukushuhudie kuwa.
Unachokifanya hakiendani na maadili ya kipentekoste, kumbuka wewe ni kioo na ni maarufu, hivyo either ubadili namna unavyovaa au uache kutumia ulokole kama kivuli cha maovu!
Unaharibu Taratibu za kipentekoste!
Ujumbe huu ukufikie mahali pote ulipo
Siasa kanisani ni sawa tu. Dini inajishughulisha na maisha ya watu na siasa nayo hivyo hivyo. Kiongizi yoyote wa Dini anejiepusha na siasa hajui wajibu wake.Gwajima je siasa kanisani?
bila shaka na wewe, ni mvaaji wa mavazi yasiyo na maadili ya kipentekoste,Yaani watu bwana
Hivi unajua haya mambo ni ya rohoni? Uhusiano wa Mungu na mtu ni personal,mwingine utaishia kuongea tu!
Kwa mavazi hayo kwny picha sioni tatizo!
Hayo ya kusuka ,milegezo sidhani tangu aache komedy bado anafanya nachojua alishaacha kabisa!
Ht page yake baada ya kuoa alifuta pics zote sijui km kaanza tena kuweka
Real . Haishi katika maadili yakiroho.Huyu jamaa bado anaushamba flani hivi pamoja na mafanikio yote aliyonayo.
Kuna siku niliona amepost picha ndani ya ndege na mama mmoja wa kizungu amelala ameachama mdomo! ule ni ujinga wa kiwango kikubwa. Yule mama angaliona picha ile angalimfungulia mashtaka ya udhalilishaji.
Yaani hata kama kaamua awe mpiga hela bac naajifiche angalau asisababishe ukristo wote kudharaulikaNa hii inaleta ukakasi sana, hata watu ukiwashuhudia wanakupiga maswali tena wakimhusisha massanja yaani mpaka unachoka!
Duh, pastaaaa
Kabisa!Huyu mwizi tu kama wezi wengine tuache kupepesa macho na imani kabisa dini kivuli huyu bwana
Huyu mwizi tu kama wezi wengine tuache kupepesa macho na imani kabisa dini kivuli huyu bwana
Sio kweli kuhusu Ngada.WalimsingiziaaaaàNani alikwambia kila celebrity kanisani kafuata injili? Hiyo chumvi tu kwenye mboga, ukizingatia kuna biashara kubwa huko. Ndio maana kila siku unawaona kanisa la "nabii" mpya linapokatwa pochi nene zaidi. Rose Muhando si yule pale, Oo Yesu, Yesu (wakati ana pesa) alivyofulia akamiss msikitini (kasahau kashatuimbia kila kitu ni possible kwa Yesu) mara ghafla huyooo kwenye ngada.