Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Hayo ni majukumu ya familia malalamiko yasitoke nje!!!Hili jambo limesababisha kama familia tuchange ipatikane pesa ya nauli,muhusika ni mdogo wangu,sasa sijui mpotoshaji ni mimi ama wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni majukumu ya familia malalamiko yasitoke nje!!!Hili jambo limesababisha kama familia tuchange ipatikane pesa ya nauli,muhusika ni mdogo wangu,sasa sijui mpotoshaji ni mimi ama wewe?
Usaili unafanyika kwenye mkoa alioombea kazi msailiwa.
Acha kupotosha!!!!
Sio woteUsaili unafanyika kwenye mkoa alioombea kazi msailiwa.
Acha kupotosha!!!!
Tatizo maelezo yake yanasomeka kama kwamba msailiwa amepangiwa kituo cha usaili ilhali ni yeye mwenyewe amejichagulia kituo!Sasa mkuu unabisha nini au hujaelewa?
unategemea nini kwenye nchi ya ukimani. mambo yanaendeshwa ki-kimakima.H
Hii nchi ni y kishenzi sana.
Pamoja na hayo inawezekana kabisa akafanyiwa interview zote sehemu alipo akifaulu ndio aende huo mkoa aliochagua.Tatizo maelezo yake yanasomeka kama kwamba msailiwa amepangiwa kituo cha usaili ilhali ni yeye mwenyewe amejichagulia kituo!
Ila malalamiko hayataisha,,,!!!!Pamoja na hayo inawezekana kabisa akafanyiwa interview zote sehemu alipo akifaulu ndio aende huo mkoa aliochagua.
Hiyo ni namna mojawapo ya kuangalia jambo. Wazidi kuboresha iwe nzuri zaidi.Ila malalamiko hayataisha,,,!!!!
Usaili ulikuwa unafanyika Dodoma, wameboresha kulingana na mahitaji ya wadau na uwezo wa sekretarieti ya ajira na bado malalamiko yanaendelea.
Leo nimeamini hakuna kitu kitakuja kufanywa kwa ubora na kisikose lawama na kubezwa!!!