Kero: Mfumo mpya wa usaili wa watu kupangiwa kufanya usaili mikoa mbalimbali unagharimu na kuumiza sana watu

Tatizo maelezo yake yanasomeka kama kwamba msailiwa amepangiwa kituo cha usaili ilhali ni yeye mwenyewe amejichagulia kituo!
Pamoja na hayo inawezekana kabisa akafanyiwa interview zote sehemu alipo akifaulu ndio aende huo mkoa aliochagua.
 
Ila malalamiko hayataisha,,,!!!!

Usaili ulikuwa unafanyika Dodoma, wameboresha kulingana na mahitaji ya wadau na uwezo wa sekretarieti ya ajira na bado malalamiko yanaendelea.

Leo nimeamini hakuna kitu kitakuja kufanywa kwa ubora na kisikose lawama na kubezwa!!!
 
Hiyo ni namna mojawapo ya kuangalia jambo. Wazidi kuboresha iwe nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom